Wakili Mwabukusi akataa kuvuruga amani ya nchi, asema Rais hafokewi

Mathayo Fungo

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2018
Posts
320
Reaction score
515
Rais wa Chama cha wanasheria Nchini (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi amesema hayupo tayari kuwa mmoja wa watanzania watakaohamasisha vurugu au kulazimisha wananchi kutojitokezakupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa Rais,Wabunge na Madiwani kwani yeye hawezi kutumika wakati Maisha yake na familia yake yapo hapa hapa Tanzania.

Pia soma >> GE2025 - Rais wa TLS, wakili Mwabukusi: Anakwambia kinukishe, mwingine yupo Ulaya

Akifanya Mahojiano na kituo cha Televisheni cha Clouds asubuhi ya leo 15/09/2025 jijini Dar es Salaam Mwabukusi amesema kuna baadhi ya watu ambao wamekuwa akimshawishi na wengine kumtumia jumbe za simu zenye lengo la kumshawishi atoe matamko ambayo yana lengo la kuvuruga amani nayeye hayupo tayari kwa hilo….

"Mimi sifanyi kazi kwa kuburudisha watu. Nilimwambia mtu mmoja nyumbani kwangu ninapotoka kunajulikana, watoto wangu wanaposoma kunajulikana. Sijifichi

"Mwingine anayekwambia pambana. Kinukishe au kafanye hivi hajulikani anapoishi. Akikuandikia meseji anajiita Mti mkavu haweki jina lake halisi

* Yeye anajidai shujaa. Mwingine yupo Ulaya hayupo Tanzania"
Rais wa TLS, wakili Boniface Anyisile Kajunjumele Mwabukusi.

Na nataka niwaondoe Hofu watanzania kuwa tuna Rais Msikivu na Muungwana Sana kwani Tulipoenda kumwona alitupokea vizuri akatupa ushirikiano mkubwa ambao hatukutegemea,
niwahakikishie kuwa wewe ukiwa kiongozi Bo rana unayeelewa maana ya Uongozi Huwezi kumfokea Rais,

‘’Rais Samia Suluhu Hassan aliniahidi atafanyia kazi na alitusikiliza kwa kuvumilia unajua mambo mengine yanakera na mengine yalifika kwa maandishi na Rais Samia Suluhu alitusikiliza vizuri sana.

"Na baadhi alisema atayafanyia maelekezo na mengine inabidi tukae ili tuone namna gani ya kufanya ila ametusikia na amehaidi kuyafanyia kazi
.

"Na suala ya Tundu Lissu alisema atafanya ila hawataingilia kinachoendelea mahakamani"

Alimalizia Rais wa TLS, wakili Boniface Anyisile Kajunjumele Mwabukusi.

IMG-20250915-WA0028.jpg
 
Nilitegemea utatuwekea na hiyo clip ya video ya kutamka hayo maneno yote uliyo yaandika hapa, wakati anahojiwa! Badala yake umetuwekea tu risala yenye maelezo mengi huku ukiwa huna ushahidi wa kusababisha tukuamini!
 
Rais wa Chama cha wanasheria Nchini (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi amesema hayupo tayari kuwa mmoja wa watanzania watakaohamasisha vurugu au kulazimisha wananchi kutojitokezakupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa Rais,Wabunge na Madiwani kwani yeye hawezi kutumika wakati Maisha yake na familia yake yapo hapa hapa Tanzania.

Akifanya Mahojiano na kituo cha Televisheni cha Clouds asubuhi ya leo 15/09/2025 jijini Dar es Salaam Mwabukusi amesema kuna baadhi ya watu ambao wamekuwa akimshawishi na wengine kumtumia jumbe za simu zenye lengo la kumshawishi atoe matamko ambayo yana lengo la kuvuruga amani nayeye hayupo tayari kwa hilo….

"Mimi sifanyi kazi kwa kuburudisha watu. Nilimwambia mtu mmoja nyumbani kwangu ninapotoka kunajulikana, watoto wangu wanaposoma kunajulikana. Sijifichi

"Mwingine anayekwambia pambana. Kinukishe au kafanye hivi hajulikani anapoishi. Akikuandikia meseji anajiita Mti mkavu haweki jina lake halisi

* Yeye anajidai shujaa. Mwingine yupo Ulaya hayupo Tanzania"
Rais wa TLS, wakili Boniface Anyisile Kajunjumele Mwabukusi.

Na nataka niwaondoe Hofu watanzania kuwa tuna Rais Msikivu na Muungwana Sana kwani Tulipoenda kumwona alitupokea vizuri akatupa ushirikiano mkubwa ambao hatukutegemea,
niwahakikishie kuwa wewe ukiwa kiongozi Bo rana unayeelewa maana ya Uongozi Huwezi kumfokea Rais,

‘’Rais Samia Suluhu Hassan aliniahidi atafanyia kazi na alitusikiliza kwa kuvumilia unajua mambo mengine yanakera na mengine yalifika kwa maandishi na Rais Samia Suluhu alitusikiliza vizuri sana.

"Na baadhi alisema atayafanyia maelekezo na mengine inabidi tukae ili tuone namna gani ya kufanya ila ametusikia na amehaidi kuyafanyia kazi
.

"Na suala ya Tundu Lissu alisema atafanya ila hawataingilia kinachoendelea mahakamani"

Alimalizia Rais wa TLS, wakili Boniface Anyisile Kajunjumele Mwabukusi.

Huyu jamaa hakuondoka na begi la hela kweli pale ikulu?!
 
Kalamba product ya nyuki tayari, alivyokua akiongea kwa mikwara "tunamtaka mdudee" leo kwisha habari yake
 
Mbona kakanunusha kuwa hajasema hivyo..
 
Mwabukusi wa DP world ameshikwa na Butwaa Kumuona Mwabukusi wa TLS
 
Back
Top Bottom