Wakili Mwabukusi akataa kuvuruga amani ya nchi, asema Rais hafokewi

Naomba mtu mmoja ajitokeze, anicomentie hapa, maana me sielewi, sjui Tumepagwa au Tumepanguliwa, siansa iliyo tumika ni ngumu sana hapa...
 
Mleta mada anatumika na wahuni. Picha hiyo imewekwa na mwabukusi kwa lengo LA kukanusha upotoshaji.

Screenshot_20250915-232408.png
 
Rais wa Chama cha wanasheria Nchini (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi amesema hayupo tayari kuwa mmoja wa watanzania watakaohamasisha vurugu au kulazimisha wananchi kutojitokezakupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa Rais,Wabunge na Madiwani kwani yeye hawezi kutumika wakati Maisha yake na familia yake yapo hapa hapa Tanzania.

Pia soma >> GE2025 - Rais wa TLS, wakili Mwabukusi: Anakwambia kinukishe, mwingine yupo Ulaya

Akifanya Mahojiano na kituo cha Televisheni cha Clouds asubuhi ya leo 15/09/2025 jijini Dar es Salaam Mwabukusi amesema kuna baadhi ya watu ambao wamekuwa akimshawishi na wengine kumtumia jumbe za simu zenye lengo la kumshawishi atoe matamko ambayo yana lengo la kuvuruga amani nayeye hayupo tayari kwa hilo….

"Mimi sifanyi kazi kwa kuburudisha watu. Nilimwambia mtu mmoja nyumbani kwangu ninapotoka kunajulikana, watoto wangu wanaposoma kunajulikana. Sijifichi

"Mwingine anayekwambia pambana. Kinukishe au kafanye hivi hajulikani anapoishi. Akikuandikia meseji anajiita Mti mkavu haweki jina lake halisi

* Yeye anajidai shujaa. Mwingine yupo Ulaya hayupo Tanzania"
Rais wa TLS, wakili Boniface Anyisile Kajunjumele Mwabukusi.

Na nataka niwaondoe Hofu watanzania kuwa tuna Rais Msikivu na Muungwana Sana kwani Tulipoenda kumwona alitupokea vizuri akatupa ushirikiano mkubwa ambao hatukutegemea,
niwahakikishie kuwa wewe ukiwa kiongozi Bo rana unayeelewa maana ya Uongozi Huwezi kumfokea Rais,

‘’Rais Samia Suluhu Hassan aliniahidi atafanyia kazi na alitusikiliza kwa kuvumilia unajua mambo mengine yanakera na mengine yalifika kwa maandishi na Rais Samia Suluhu alitusikiliza vizuri sana.

"Na baadhi alisema atayafanyia maelekezo na mengine inabidi tukae ili tuone namna gani ya kufanya ila ametusikia na amehaidi kuyafanyia kazi
.

"Na suala ya Tundu Lissu alisema atafanya ila hawataingilia kinachoendelea mahakamani"

Alimalizia Rais wa TLS, wakili Boniface Anyisile Kajunjumele Mwabukusi.

Kama mnataka kuongea vitu muwe mnaongea kwa uwazi sio kutafuta vijimaneno vya kijinga jinga na uchawa. Huyu jamaa tunajua haungi mkono kesi za uzushi za kijinga lakini mnataka kuweka kama vile ana support ujinga ujinga wa serikali ya mama. Kama ni chawa anadika mambo yako sio kuzushia watu wengine. Kusema kunukisha sio uhaini
 
M.
L.
E.
T.
A

M.
A.
D.
A.

N.
I.

M.
P.
O.
T.
O.
S.
H.
A.
J.
I.

A.
N.
A.
T.
U.
M
K.
A.

N.
A.

W.
A.
H.
U.
N.
I.

M.
W.
A.
B.
U.
K.
U.
S
I.

K.
A.
W
E.
K.
A.

H.
I.
Y.
O.

P.
I.
C.
H
A.

K.
W.
A.

L..
E.
N.
G.
O.

L.
A.

K.
U.
O.
N.
D.
O.
A .

U.
P.
T.
O.
S.
H.
A.
J.
I.

Screenshot_20250915-232408.png
 
Hahaha walimshutumu Mbowe alilamba!asali, nao walipoitwa ikulu chai ilizidi sukari wakajua ndio hali halisi.

Nadhani akiendelea kuhojiwa humo studio atasema October tuna tick.
 
Raisi anafokewa tu Ukiwa online na Fake ID kama hapa JF. And by the way Ukimfokea Rais does it change any thing?
 
Rais wa Chama cha wanasheria Nchini (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi amesema hayupo tayari kuwa mmoja wa watanzania watakaohamasisha vurugu au kulazimisha wananchi kutojitokezakupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa Rais,Wabunge na Madiwani kwani yeye hawezi kutumika wakati Maisha yake na familia yake yapo hapa hapa Tanzania.

Pia soma >> GE2025 - Rais wa TLS, wakili Mwabukusi: Anakwambia kinukishe, mwingine yupo Ulaya

Akifanya Mahojiano na kituo cha Televisheni cha Clouds asubuhi ya leo 15/09/2025 jijini Dar es Salaam Mwabukusi amesema kuna baadhi ya watu ambao wamekuwa akimshawishi na wengine kumtumia jumbe za simu zenye lengo la kumshawishi atoe matamko ambayo yana lengo la kuvuruga amani nayeye hayupo tayari kwa hilo….

"Mimi sifanyi kazi kwa kuburudisha watu. Nilimwambia mtu mmoja nyumbani kwangu ninapotoka kunajulikana, watoto wangu wanaposoma kunajulikana. Sijifichi

"Mwingine anayekwambia pambana. Kinukishe au kafanye hivi hajulikani anapoishi. Akikuandikia meseji anajiita Mti mkavu haweki jina lake halisi

* Yeye anajidai shujaa. Mwingine yupo Ulaya hayupo Tanzania"
Rais wa TLS, wakili Boniface Anyisile Kajunjumele Mwabukusi.

Na nataka niwaondoe Hofu watanzania kuwa tuna Rais Msikivu na Muungwana Sana kwani Tulipoenda kumwona alitupokea vizuri akatupa ushirikiano mkubwa ambao hatukutegemea,
niwahakikishie kuwa wewe ukiwa kiongozi Bo rana unayeelewa maana ya Uongozi Huwezi kumfokea Rais,

‘’Rais Samia Suluhu Hassan aliniahidi atafanyia kazi na alitusikiliza kwa kuvumilia unajua mambo mengine yanakera na mengine yalifika kwa maandishi na Rais Samia Suluhu alitusikiliza vizuri sana.

"Na baadhi alisema atayafanyia maelekezo na mengine inabidi tukae ili tuone namna gani ya kufanya ila ametusikia na amehaidi kuyafanyia kazi
.

"Na suala ya Tundu Lissu alisema atafanya ila hawataingilia kinachoendelea mahakamani"

Alimalizia Rais wa TLS, wakili Boniface Anyisile Kajunjumele Mwabukusi.

Uongo mmemuwekea maneno na amekanusha
 
Back
Top Bottom