Mathayo Fungo
JF-Expert Member
- Nov 13, 2018
- 320
- 515
Kwani wakati wa DP World alikuwa anatoa matamshi gani?
Nilitegemea utatuwekea na hiyo clip ya video ya kutamka hayo maneno yote uliyo yaandika hapa, wakati anahojiwa! Badala yake umetuwekea tu risala yenye maelezo mengi huku ukiwa huna ushahidi wa kusababisha tukuamini!Rais wa Chama cha wanasheria Nchini (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi amesema hayupo tayari kuwa mmoja wa watanzania watakaohamasisha vurugu au kulazimisha wananchi kutojitokezakupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa Rais,Wabunge na Madiwani kwani yeye hawezi kutumika wakati Maisha yake na familia yake yapo hapa hapa Tanzania.
Akifanya Mahojiano na kituo cha Televisheni cha Clouds asubuhi ya leo 15/09/2025 jijini Dar es Salaam Mwabukusi amesema kuna baadhi ya watu ambao wamekuwa akimshawishi na wengine kumtumia jumbe za simu zenye lengo la kumshawishi atoe matamko ambayo yana lengo la kuvuruga amani nayeye hayupo tayari kwa hilo….
"Mimi sifanyi kazi kwa kuburudisha watu. Nilimwambia mtu mmoja nyumbani kwangu ninapotoka kunajulikana, watoto wangu wanaposoma kunajulikana. Sijifichi
"Mwingine anayekwambia pambana. Kinukishe au kafanye hivi hajulikani anapoishi. Akikuandikia meseji anajiita Mti mkavu haweki jina lake halisi
* Yeye anajidai shujaa. Mwingine yupo Ulaya hayupo Tanzania"
Rais wa TLS, wakili Boniface Anyisile Kajunjumele Mwabukusi.
Na nataka niwaondoe Hofu watanzania kuwa tuna Rais Msikivu na Muungwana Sana kwani Tulipoenda kumwona alitupokea vizuri akatupa ushirikiano mkubwa ambao hatukutegemea,
niwahakikishie kuwa wewe ukiwa kiongozi Bo rana unayeelewa maana ya Uongozi Huwezi kumfokea Rais,
‘’Rais Samia Suluhu Hassan aliniahidi atafanyia kazi na alitusikiliza kwa kuvumilia unajua mambo mengine yanakera na mengine yalifika kwa maandishi na Rais Samia Suluhu alitusikiliza vizuri sana.
"Na baadhi alisema atayafanyia maelekezo na mengine inabidi tukae ili tuone namna gani ya kufanya ila ametusikia na amehaidi kuyafanyia kazi.
"Na suala ya Tundu Lissu alisema atafanya ila hawataingilia kinachoendelea mahakamani"
Alimalizia Rais wa TLS, wakili Boniface Anyisile Kajunjumele Mwabukusi.
Huyu jamaa hakuondoka na begi la hela kweli pale ikulu?!Rais wa Chama cha wanasheria Nchini (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi amesema hayupo tayari kuwa mmoja wa watanzania watakaohamasisha vurugu au kulazimisha wananchi kutojitokezakupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa Rais,Wabunge na Madiwani kwani yeye hawezi kutumika wakati Maisha yake na familia yake yapo hapa hapa Tanzania.
Akifanya Mahojiano na kituo cha Televisheni cha Clouds asubuhi ya leo 15/09/2025 jijini Dar es Salaam Mwabukusi amesema kuna baadhi ya watu ambao wamekuwa akimshawishi na wengine kumtumia jumbe za simu zenye lengo la kumshawishi atoe matamko ambayo yana lengo la kuvuruga amani nayeye hayupo tayari kwa hilo….
"Mimi sifanyi kazi kwa kuburudisha watu. Nilimwambia mtu mmoja nyumbani kwangu ninapotoka kunajulikana, watoto wangu wanaposoma kunajulikana. Sijifichi
"Mwingine anayekwambia pambana. Kinukishe au kafanye hivi hajulikani anapoishi. Akikuandikia meseji anajiita Mti mkavu haweki jina lake halisi
* Yeye anajidai shujaa. Mwingine yupo Ulaya hayupo Tanzania"
Rais wa TLS, wakili Boniface Anyisile Kajunjumele Mwabukusi.
Na nataka niwaondoe Hofu watanzania kuwa tuna Rais Msikivu na Muungwana Sana kwani Tulipoenda kumwona alitupokea vizuri akatupa ushirikiano mkubwa ambao hatukutegemea,
niwahakikishie kuwa wewe ukiwa kiongozi Bo rana unayeelewa maana ya Uongozi Huwezi kumfokea Rais,
‘’Rais Samia Suluhu Hassan aliniahidi atafanyia kazi na alitusikiliza kwa kuvumilia unajua mambo mengine yanakera na mengine yalifika kwa maandishi na Rais Samia Suluhu alitusikiliza vizuri sana.
"Na baadhi alisema atayafanyia maelekezo na mengine inabidi tukae ili tuone namna gani ya kufanya ila ametusikia na amehaidi kuyafanyia kazi.
"Na suala ya Tundu Lissu alisema atafanya ila hawataingilia kinachoendelea mahakamani"
Alimalizia Rais wa TLS, wakili Boniface Anyisile Kajunjumele Mwabukusi.
Weka clip, isijekuwa mnamlisha maneno..Wakili Mwabukusi akataa kuvuruga amani ya nchi, asema Rais hafokewi
Acha UONGO, ameyakana hayo yote..nenda kwenye account yake ya X..ila lazima uwe na VPn
Mbona kakanunusha kuwa hajasema hivyo..Rais wa Chama cha wanasheria Nchini (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi amesema hayupo tayari kuwa mmoja wa watanzania watakaohamasisha vurugu au kulazimisha wananchi kutojitokezakupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa Rais,Wabunge na Madiwani kwani yeye hawezi kutumika wakati Maisha yake na familia yake yapo hapa hapa Tanzania.
Pia soma >> GE2025 - Rais wa TLS, wakili Mwabukusi: Anakwambia kinukishe, mwingine yupo Ulaya
Akifanya Mahojiano na kituo cha Televisheni cha Clouds asubuhi ya leo 15/09/2025 jijini Dar es Salaam Mwabukusi amesema kuna baadhi ya watu ambao wamekuwa akimshawishi na wengine kumtumia jumbe za simu zenye lengo la kumshawishi atoe matamko ambayo yana lengo la kuvuruga amani nayeye hayupo tayari kwa hilo….
"Mimi sifanyi kazi kwa kuburudisha watu. Nilimwambia mtu mmoja nyumbani kwangu ninapotoka kunajulikana, watoto wangu wanaposoma kunajulikana. Sijifichi
"Mwingine anayekwambia pambana. Kinukishe au kafanye hivi hajulikani anapoishi. Akikuandikia meseji anajiita Mti mkavu haweki jina lake halisi
* Yeye anajidai shujaa. Mwingine yupo Ulaya hayupo Tanzania"
Rais wa TLS, wakili Boniface Anyisile Kajunjumele Mwabukusi.
Na nataka niwaondoe Hofu watanzania kuwa tuna Rais Msikivu na Muungwana Sana kwani Tulipoenda kumwona alitupokea vizuri akatupa ushirikiano mkubwa ambao hatukutegemea,
niwahakikishie kuwa wewe ukiwa kiongozi Bo rana unayeelewa maana ya Uongozi Huwezi kumfokea Rais,
‘’Rais Samia Suluhu Hassan aliniahidi atafanyia kazi na alitusikiliza kwa kuvumilia unajua mambo mengine yanakera na mengine yalifika kwa maandishi na Rais Samia Suluhu alitusikiliza vizuri sana.
"Na baadhi alisema atayafanyia maelekezo na mengine inabidi tukae ili tuone namna gani ya kufanya ila ametusikia na amehaidi kuyafanyia kazi.
"Na suala ya Tundu Lissu alisema atafanya ila hawataingilia kinachoendelea mahakamani"
Alimalizia Rais wa TLS, wakili Boniface Anyisile Kajunjumele Mwabukusi.
Basi uwe unaleta taarifa sahihi ili kulinda HADHI na HESHIMA ya JFsisi wengine tuko na VPN wakati wote hata kabla pirika za uchaguzi