Wakili Mwabukusi, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali wakamatwa na Polisi Mikumi wakiwa safarini kuelekea Dar es Salaam

mnawalaumu bure tu polisi! maelekezo yameanza tangu arehe 6, na tarehe 7 yakahitimishwa!

polisi wao ni kama remote tu kazi yao kubadilishia chaneli then wanakaa pembeni!
laiti mngelijua kazi ya polisi ni kutumwa tu mungeliacha kuwalaumu!
 
na ukitumwa ni kutii. hata kama unaona sio! hivi kazi za hivi zinaweza kuwa na msomi?

Jesus is Lord
 
Acha vitisho vya kitoto wewe. Serikali ni jitu kubwa
 
Acha vitisho vya kitoto wewe. Serikali ni jitu kubwa
Sasa hapoa niambie wewe, mwenye vitisho ni nani?

"Serikali jitu kubwa" ndiyo watu waliogope? Inaonekana akili yako haifanyi kazi sawasawa, na ushahidi unajionyesha kwenye michango yako mingi humu.

Hiyo serikali kesho fisadi Samia hayupo, na serikali itakuwa chini ya watu wenye akili za kuwatumikia wenye nchi na serikali yao, siyo kinyume na hivyo.
 
Ingekuwa vyema mngej8tokeza wote kwenda polisi kupinga kukamatwa kwao.

Mnachombeza wenzenu nyie mmejificha nyuma ya keyboard.

Mfyuuuu.
 
poor Mruma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…