Wakili Mwabukusi, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali wakamatwa na Polisi Mikumi wakiwa safarini kuelekea Dar es Salaam

Wakili Mwabukusi, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali wakamatwa na Polisi Mikumi wakiwa safarini kuelekea Dar es Salaam

mnawalaumu bure tu polisi! maelekezo yameanza tangu arehe 6, na tarehe 7 yakahitimishwa!

polisi wao ni kama remote tu kazi yao kubadilishia chaneli then wanakaa pembeni!
laiti mngelijua kazi ya polisi ni kutumwa tu mungeliacha kuwalaumu!
 
mnawalaumu bure tu polisi! maelekezo yameanza tangu arehe 6, na tarehe 7 yakahitimishwa!

polisi wao ni kama remote tu kazi yao kubadilishia chaneli then wanakaa pembeni!
laiti mngelijua kazi ya polisi ni kutumwa tu mungeliacha kuwalaumu!
na ukitumwa ni kutii. hata kama unaona sio! hivi kazi za hivi zinaweza kuwa na msomi?


Jesus is Lord
 
Wanaotishia kupindua serikali hawapigi kelele.
Nimeona nikukumbushe hilo pamoja na kwamba akili yako ni ndogo kujua hivyo.

Najua lengo ni kutia watu hofu/uoga, lakini hili hufikia mahala likawa halina vitisho tena kwa watu waliodhamiria kufanya kweli.

Na watu wamekwishadhamiria hivyo, hata mfanye nini, hatma yenu shaamuriwa.
Acha vitisho vya kitoto wewe. Serikali ni jitu kubwa
 
Acha vitisho vya kitoto wewe. Serikali ni jitu kubwa
Sasa hapoa niambie wewe, mwenye vitisho ni nani?

"Serikali jitu kubwa" ndiyo watu waliogope? Inaonekana akili yako haifanyi kazi sawasawa, na ushahidi unajionyesha kwenye michango yako mingi humu.

Hiyo serikali kesho fisadi Samia hayupo, na serikali itakuwa chini ya watu wenye akili za kuwatumikia wenye nchi na serikali yao, siyo kinyume na hivyo.
 
Hii ndio Taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Jeshi hilo , Kamanda Misiime , Shukrani nyingi sana kwa Wananchi kwa kupaza sauti kuu , maana mngenyamaza watu hawa wangeweza kupotea kama Ben Saanane .

Kamanda Misiime amedai kwamba , watu hao wamekamatwa kwa tuhuma za Uchochezi , na kwamba kuna watu wengine bado wanasakwa ili waunganishwe nao.

======
Bali kwa Tafsiri ya wananchi , wanaoitwa wachochezi ni wale wote wanaopinga Mkataba duni wa kudhalilisha wa milele wa Bandari za Tanganyika tu (siyo za Zanzibar) na DP WORLD ya Waarabu wa Dubai , kwahiyo tunatarajia watu wengi zaidi kukamatwa kwa tuhuma hizi , wakiwemo wanasiasa , wanaharakati na Viongozi wa dini wanaopinga uwekezaji huu wa kitumwa .

Lengo la yote haya ni kuwatisha wananchi ili wamuachie Mwarabu Bandari zetu .

Je lengo hili litafanikiwa ?
Ingekuwa vyema mngej8tokeza wote kwenda polisi kupinga kukamatwa kwao.

Mnachombeza wenzenu nyie mmejificha nyuma ya keyboard.

Mfyuuuu.
 
Sio kweli kwamba askari wa nchi hizi wameajiriwa wale wenye ufaulu hafifu kidato cha nne. Kuna degree na masters za kutosha. Kwa hiyo tuwatuhumu kivingine hawa askari wa nchi hii kwenye utendaji wao wa kazi na sio kutumia kiwango vyao vya elimu. Walioandaa mkataba huu ndio wale mnaowaita wanasheria wasomi, sasa ndio muone sifa mnazowapa hao wanasheria na hasara ambazo taifa la Tanzania inakutana nazo kwenye mahakama za ushuruhishi migogoro kimataifa
poor Mruma
 
Back
Top Bottom