Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
- Thread starter
- #381
Unapigwa
Mnakamatwa Bila hatia?Ina hamjui Kwa nini mnakamatwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnakamatwa Bila hatia?Ina hamjui Kwa nini mnakamatwa?
Huwezi kusubiri katiba mpya kwa mambo kama haya.Yataisha pakiwa na katiba mpya
na ukitumwa ni kutii. hata kama unaona sio! hivi kazi za hivi zinaweza kuwa na msomi?mnawalaumu bure tu polisi! maelekezo yameanza tangu arehe 6, na tarehe 7 yakahitimishwa!
polisi wao ni kama remote tu kazi yao kubadilishia chaneli then wanakaa pembeni!
laiti mngelijua kazi ya polisi ni kutumwa tu mungeliacha kuwalaumu!
Acha vitisho vya kitoto wewe. Serikali ni jitu kubwaWanaotishia kupindua serikali hawapigi kelele.
Nimeona nikukumbushe hilo pamoja na kwamba akili yako ni ndogo kujua hivyo.
Najua lengo ni kutia watu hofu/uoga, lakini hili hufikia mahala likawa halina vitisho tena kwa watu waliodhamiria kufanya kweli.
Na watu wamekwishadhamiria hivyo, hata mfanye nini, hatma yenu shaamuriwa.
So sad [emoji26]
Na wewe tunakutafuta kamanda .kajifiche [emoji1787]Oneni hili punguani linalokula ugali wa bure Kwa shemeji ake, linalala sebleni kusikilizia miguno ya Dada ake akiwa anachezea dog style
Aah mlikua mnataka mkimwambia nchi tunaipindua awakenulie meno pumbavu sana.MAMA AMEFUNGULIA NCHI
MAMA ANAPENDA DEMOKRASIA
Kwa hiyo hoja za bandari zikijibiwa kesho itakuwa ni siku ya kazi sio?🤣Jibuni hoja za bandari...
Sasa hapoa niambie wewe, mwenye vitisho ni nani?Acha vitisho vya kitoto wewe. Serikali ni jitu kubwa
Watasingizia kuwa anatoa maelekezo kutoka kaburiniHaya sasa, haya yanafanywa na Pombe?
Uchawa kwa sasa nijanga niadui namba nne wa Taifa hii hali inapoteza maana halisi ya uanaumeWatafutwe wote wanaoitishia kupindua serikali wakae ndani kama uamsho angalau miaka 9 inatosha.
Ingekuwa vyema mngej8tokeza wote kwenda polisi kupinga kukamatwa kwao.Hii ndio Taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Jeshi hilo , Kamanda Misiime , Shukrani nyingi sana kwa Wananchi kwa kupaza sauti kuu , maana mngenyamaza watu hawa wangeweza kupotea kama Ben Saanane .
Kamanda Misiime amedai kwamba , watu hao wamekamatwa kwa tuhuma za Uchochezi , na kwamba kuna watu wengine bado wanasakwa ili waunganishwe nao.
======
Bali kwa Tafsiri ya wananchi , wanaoitwa wachochezi ni wale wote wanaopinga Mkataba duni wa kudhalilisha wa milele wa Bandari za Tanganyika tu (siyo za Zanzibar) na DP WORLD ya Waarabu wa Dubai , kwahiyo tunatarajia watu wengi zaidi kukamatwa kwa tuhuma hizi , wakiwemo wanasiasa , wanaharakati na Viongozi wa dini wanaopinga uwekezaji huu wa kitumwa .
Lengo la yote haya ni kuwatisha wananchi ili wamuachie Mwarabu Bandari zetu .
Je lengo hili litafanikiwa ?
Nchi gani duniani inaajiri polisi wenye ufaulu mkubwa pekee?Yote hii ni kwasababu ya kuajiri polisi wenye ufaulu mdogo wa kidato cha nne.
Mtampigania mkiwa nyuma ya keyboard?Tutampigania Mwabukusi hadi tone la mwisho
Utampigania hapa hapa jf ikifika usiku uko na familia yako kwa raha zako...Tutampigania Mwabukusi hadi tone la mwisho
poor MrumaSio kweli kwamba askari wa nchi hizi wameajiriwa wale wenye ufaulu hafifu kidato cha nne. Kuna degree na masters za kutosha. Kwa hiyo tuwatuhumu kivingine hawa askari wa nchi hii kwenye utendaji wao wa kazi na sio kutumia kiwango vyao vya elimu. Walioandaa mkataba huu ndio wale mnaowaita wanasheria wasomi, sasa ndio muone sifa mnazowapa hao wanasheria na hasara ambazo taifa la Tanzania inakutana nazo kwenye mahakama za ushuruhishi migogoro kimataifa