Abdul kalaam
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 441
- 565
Matokeo ndio hayaMAMA AMEFUNGULIA NCHI
MAMA ANAPENDA DEMOKRASIA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matokeo ndio hayaMAMA AMEFUNGULIA NCHI
MAMA ANAPENDA DEMOKRASIA
Sasa hivi wapo hadi wenye Phd.Yote hii ni kwasababu ya kuajiri polisi wenye ufaulu mdogo wa kidato cha nne.
Kwahiyo tuache siasa ili tuishi milele au tufanyaje?Muda mnaotumia kuwapigania ambao hawajawatuma mngetumia kwa mambo yenu, ndo yale yale ya unakufa unaacha watoto wanateseka kisa siasa
Mbwa ukimjua jina hakung'ati , hadi sasa tunayo orodha ya wote wanaotarajiwa kukamatwa na Polisi , yule aliyevujisha Mkataba wa Bandari ndiye katupa majina hayo .Umejuaje; kwani wewe ndio mwendesha mashtaka?
Yule dogo mkulima mkubwa TU sio kazubaa kama wewe unavozubaa mtandaoni humuMdude anapoteza sana muda kwenye harakati za kipuuzi. Hajui fainali uzeeni?
Inaonekana wewe una database ya maisha ya watuYule dogo mkulima mkubwa TU sio kazubaa kama wewe unavozubaa mtandaoni humu
Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
Samia anafanya kitu kibaya sana tena sana. Muda ni mwalimu mzuri!Hii ndio Taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Jeshi hilo , Kamanda Misiime , Shukrani nyingi sana kwa Wananchi kwa kupaza sauti kuu , maana mngenyamaza watu hawa wangeweza kupotea kama Ben Saanane .
Kamanda Misiime amedai kwamba , watu hao wamekamatwa kwa tuhuma za Uchochezi , na kwamba kuna watu wengine bado wanasakwa ili waunganishwe nao.
======
Bali kwa Tafsiri ya wananchi , wanaoitwa wachochezi ni wale wote wanaopinga Mkataba duni wa kudhalilisha wa milele wa Bandari za Tanganyika tu (siyo za Zanzibar) na DP WORLD ya Waarabu wa Dubai , kwahiyo tunatarajia watu wengi zaidi kukamatwa kwa tuhuma hizi , wakiwemo wanasiasa , wanaharakati na Viongozi wa dini wanaopinga uwekezaji huu wa kitumwa .
Lengo la yote haya ni kuwatisha wananchi ili wamuachie Mwarabu Bandari zetu .
Je lengo hili litafanikiwa ?
Wewe takataka jioga sana...................Muda mnaotumia kuwapigania ambao hawajawatuma mngetumia kwa mambo yenu, ndo yale yale ya unakufa unaacha watoto wanateseka kisa siasa
Hilo jeshi la polisi analogia linalosubiri kutumwa na viongozi CCM wana intelligence gani? Hilo jeshi bado sana, wao hutumia nguvu tu na akili kidogo sana.Polisi wana taarifa za kiintelijensia na bado mtatafutwa wote mpaka mpatikane si umemsikia kamanda wa polisi katika press. Hao wakina Mwambuzi na mdude wanatumwa tu serikali inataka wale waliojificha nyuma yao.
Kwani hao wanaokufa kwenye ajali huwa watoto wao wanaishi kwa raha? Je umewahi kuona watu wanaacha kusafiri kisa wanaweza kupata ajali? Kufa ni lazima, kuishi majaliwa boss. Hivyo acha kufundisha wanaume uoga.Muda mnaotumia kuwapigania ambao hawajawatuma mngetumia kwa mambo yenu, ndo yale yale ya unakufa unaacha watoto wanateseka kisa siasa
🤣 Amani kweli ipo mkuu, ila sidhani kama watu wanafurahishwa na hii Amani ya wezi na mafisadi kula bila kusaza ilihali wananchi wanapuuzwa na kuteswa na umaskini uliokithiri.Tunaishi kwa aman sasa akitokea panya mmoja na kutaka kuhalibu aman azibitiwe tafadhali
Wewe una cheo gani chadema?Hilo jeshi la polisi analogia linalosubiri kutumwa na viongozi CCM wana intelligence gani? Hilo jeshi bado sana, wao hutumia nguvu tu na akili kidogo sana.
Hawato amini macho yao.Nchi ngumu sana hii. Mwabukusi sasa hapa ndo ataujua unafiki wa watanzania.
Watanzania tuna laana ya kuzaliwa
Dah!!Hii ndio Taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Jeshi hilo , Kamanda Misiime , Shukrani nyingi sana kwa Wananchi kwa kupaza sauti kuu , maana mngenyamaza watu hawa wangeweza kupotea kama Ben Saanane .
Kamanda Misiime amedai kwamba , watu hao wamekamatwa kwa tuhuma za Uchochezi , na kwamba kuna watu wengine bado wanasakwa ili waunganishwe nao.
======
Bali kwa Tafsiri ya wananchi , wanaoitwa wachochezi ni wale wote wanaopinga Mkataba duni wa kudhalilisha wa milele wa Bandari za Tanganyika tu (siyo za Zanzibar) na DP WORLD ya Waarabu wa Dubai , kwahiyo tunatarajia watu wengi zaidi kukamatwa kwa tuhuma hizi , wakiwemo wanasiasa , wanaharakati na Viongozi wa dini wanaopinga uwekezaji huu wa kitumwa .
Lengo la yote haya ni kuwatisha wananchi ili wamuachie Mwarabu Bandari zetu .
Je lengo hili litafanikiwa ?