Pre GE2025 Wakili Mwabukusi: Mwaka 2020 nilikamata masanduku manne ya kura bandia za Rais

Pre GE2025 Wakili Mwabukusi: Mwaka 2020 nilikamata masanduku manne ya kura bandia za Rais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
..kwa uchaguzi uliotokea 2020 kuna tofauti gani kati ya aliyeshiriki na aliyesusa?

..sote tumejifunza kwa hiyo kama WAZALENDO kutengeneza mfumo wa uchaguzi utakaotoa haki sawa kwa vyama vyote.
Kungekuwa walau na hivyo vyama serious!, Wenyeviti wa vyama ndio mawakala wa CCM😅.
 
Kungekuwa walau na hivyo vyama serious!, Wenyeviti wa vyama ndio mawakala wa CCM😅.

..mfumo mbaya ndio unaozalisha vyama bandia / mawakala wa ccm.

..tukiweka mifumo mizuri inayoruhusu ushindani wa haki tuta-attract watu serious ktk siasa watakaounda vyama madhubuti.
 
Pombe mbaya sana, mtu akilewa anaongea chochote
 
Najaribu kuwaza kwa kina kuhusu hoja yako hii. Kwako wewe Reconciliation ya kweli ni kufanya kitu gani?
Je uundwaji wa hii miswada ya sheria siyo sehemu ya maridhiano?

Kwako wewe maridhiano ni kitu gani? Je, unataka CHADEMA wagawiwe masinia ya ubwabwa wale na familia zao?
Mimi nashauri CHADEMA warekebishe kwanza mambo yaliyo ndani ya CHAMA chao waondoe Ngugunization.

..kupeleka miswada bungeni ni reforms, sio reconciliation.

..lakini baada ya wadau kuisoma miswada hiyo wamebaini kwamba ina mapungufu mengi.
 
..kupeleka misaada bungeni ni reforms, sio reconciliation.

..lakini baada ya wadau kuisoma miswada hiyo wamebaini kwamba ina mapungufu mengi.
Hakuna sehemu nimesema kupelekwa kwa misaada bungeni. Misaada gani sasa wabunge wanataka?
Nimeongelea uundwaji wa sheria hizi mpya ni hatua baada ya reconciliation. Huwezi ukafanya reforms pasipo kuwa na maridhiano.
 
Wewe ni juha.
Ndio maana zaidi ya miaka 60 ya uhuru hadi leo hii hakuna jambo lolote la msingi lililofanyika kutokana na "hicho kijidaftari kinachoitwa katiba" kuwa "kijidaftari".
Kuna mambo ya msingi zaidi ya hicho kijidaftari kinachoitwa katiba
 
Ku

Hivi ninyi pro "mambuzi" huwa mna umakini kwenye nini hasa!!??
Kuandika "vilidhirikishwa" kunaonyesha jinsi usivyo makini kwa kile ukifanyacho, ndio maana tupo hapa tulipo, nchi kuongozwa na watu wasio na uwezo na wasio makini.
iyo ku apo juu inafanya nn kama kweli wew uko makini, eti Nyumbu residentura 🐒

kwahiyo ukizira au ukisusa tukusaidiaje? sie twasonga bila mbambamba ndrugu zangu Nyumbu 🐒
 
Alternative ni machafuko au mapinduzi ya kijeshi. Lakini kuendele kushiriki chaguzi zinazosimamiwa na tume ya rais ni upuuzi kama upuuzi mwingine.
Labda Jeshi la inzi utakaliongoza wewe 😅

Tafadhali sana kua na nidhamu na heshima kwa majeshi tiifu ya ulinzi na usalama ya Tz na tena yenye weledi na uadilifu wa hali ya juu sana sio tu Tanzania bali ulimwenguni pote 🐒
 
Kama ni kubadalika basi ccm wanapaswa sana kubadilika, kama Bado mnakimbiza mwenge ambao hata kizazi hiki hakioni maana yake, unaweza kugeuka mshauri wa watu kubadilika?!
ndio maana after 10yrs CCM kuna chairman mpya 🐒😅
 
Ni mtu mjinga tu ataendelea kushiriki upuuzi huku akisaka sifa ya kutokuoneka hasusi. Na kwa taarifa yako kususia ni mbinu sahihi ya kutaka mambo yafanyike kwa usahihi. Tuliwahi kuwasusia makaburu wa Africa kusuni kuhakikisha haki inapatikana. Ulikuwa hujazaliwa, hivyo hujui kususia maana yake ni Nini.
kweli ndezi ni wengi....
Ukisusa means umekata tamaa na hiyo ni ujinga in politics 😅
 
Fuatilia yanayojiri kwenye mkutano wa waandishi wa Habari wa Dkt. Slaa, Mdude na Wakili Mwabukusi.

Mabadiliko ya Sheria yanayotaka kufanyika yanapasaswa kuendana na mabadiliko ya katiba. Huwezi kujenga. Tunashauri kwamba katiba ibadilishwe, tazama sheria inayohusu sheria ya uchaguzi, kilichofanyika wamekopi ibara ya 74 ya Katiba ikaitwa sheria ya uchaguzi. Hakuna kilichotatuliwa, uundwaji na uhuru wa tume bado haujashughulikiwa.

Katiba ya sasa haikujadiliwa hata kwa masaa 4 kwenye kuandokwa kwake, sasa ina umri wa mtu mzima. Katiba ndio msingi wa mamlaka tunayokabidhi kwa viongozi, sasa wewe tunakupa mamlaka kwa katiba hii unakwendaje kujipa mamlaka makubwa kuliko yale tuliyokupa?

Kinachotakiwa ni kutunga sheria kukwamua mchakato wa jaji Warioba, kuna sarakasi zilipigwa bungeni enzi hizo kukwamisha mchakato huo. Hapo ndipo kwenye mkwamo. Kazi hii ukiwapa watu serious inachukua miezi 3 tu, wao wanasema kila siku kuwa muda hautoshi, katiba ya India iliandikwa miaka 2 tu na mwezi 1 na ndio katiba kubwa zaidi duniani.

Yale niliyoshuhudia mimi, wanaoratibu wizi wakura ni maafisa wa uchaguzi, na wale wanasoma nyaraka za mahakamani, niliomba scrutiny of vote, huwezi amini afisa alirudi kwenye kituo cha kupiga kura akaanza kuchoma moto kura zangu. Nikaiandikia tume ya uchaguzi kwa barua kuwa nipo mahakamani, afisa wenu anachoma kura zangu, tume ikanijibu nipo mahakamani haiwezi kuingilia. Nimejaribu kuonesha experience yangu.

Mimi jimbo langu ni dogo sana, lakini nilikamata masanduku manne ya kura bandia za Rais. Mimi niliibiwa kizembe 2015, lakini 2020 niliibiwa. Unadhani sasa hivi nikiibiwa kuna kesi itaenda mahakamani? Hapana. Itaenda Manslaughter.

Daah Yule Jamaa alitenda mambo yasiyofaa ktk jamii za Kibinadam
 
Si "iyo", bali ni "hiyo".
"nn" ni kitu gani!!?
"wew" !!!???
"ndrugu"!!!???

Wewe unahitaji "EWAWA" au "MEMKWA".
iyo ku apo juu inafanya nn kama kweli wew uko makini, eti Nyumbu residentura 🐒

kwahiyo ukizira au ukisusa tukusaidiaje? sie twasonga bila mbambamba ndrugu zangu Nyumbu 🐒
 
Si "iyo", bali ni "hiyo".
"nn" ni kitu gani!!?
"wew" !!!???
"ndrugu"!!!???

Wewe unahitaji "EWAWA" au "MEMKWA".
hakuna haja ya kujitambulisha kisela kwamba wewe ni mwalimu mustaafu wa UPE wa kiswahili na kuacha kujadili hoja ya msingi 🐒
 
Hakuna sehemu nimesema kupelekwa kwa misaada bungeni. Misaada gani sasa wabunge wanataka?
Nimeongelea uundwaji wa sheria hizi mpya ni hatua baada ya reconciliation. Huwezi ukafanya reforms pasipo kuwa na maridhiano.

..samahani.

..nilimaanisha miswada.

..ile ni reforms, sio reconciliation.

..reconciliation ina taratibu na utamaduni wake na mojawapo ni uundwaji wa Tume ya Ukweli, Haki, na Maridhiano.
 
Mimi nashangaa sana Comrade wangu kile unachokiongea kinanitia wasiwasi kwa namna fulani. Hivi kwenye mkutano wa vyama vya siasa hukumuona Salum Mwalimu akitoa michango yake? Hukumuona akipongeza 4R. Sasa wewe unataka, mtu fulani tu ambaye hana responsibility yoyote kwenye jamii ndiye atupatie direction!!! Sasa Slaa ni kiongozi wa kitu gani? Kwanza Slaa ameshazeeka anatakiwa akae nyumbani ale pensheni yake.

Unakosea. Salim Mwalimu ndio nani CHADEMA?. Huyo ni sympasither wa Samiah. Nani hajui?. Acha kutaja majina ya watu na kuyafanya ndio imani ya CHADEMA.
 
Unakosea. Salim Mwalimu ndio nani CHADEMA?. Huyo ni sympasither wa Samiah. Nani hajui?. Acha kutaja majina ya watu na kuyafanya ndio imani ya CHADEMA.
CHADEMA NI F.A. MBOWE full stop 🐒
 
Back
Top Bottom