Wakili Mwabukusi na Mdude Nyagali kushtakiwa kwa makosa ya UHAINI

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Kupitia mtandao wa X, MMM ameandika kuwa...

Taarifa kutoka kwa Adv. Philip Mwakilima na jopo; Wakili Mwabukusi na Mdude wamefikishwa Mbeya na hati yao ya mashtaka ni makosa ya UHAINI (siyo kutoa maneno ya uchochezi) kwa mujibu wa kifungu cha 39 cha kanuni ya adhabu sura ya 16. Adhabu ya kosa hilo ni KIFO

Pia soma > Wakili Mwabukusi, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali wakamatwa na Polisi Mikumi wakiwa safarini kuelekea Dar es Salaam

Uhaini.png
 
Taarifa kutoka kwa Adv. Philip Mwakilima na jopo; Adv.
@Mwabuk2Boniface
na
@mdudechadematz
wamefikishwa Mbeya na hati yao ya mashtaka ni makosa ya UHAINI (siyo kutoa maneno ya uchochezi) kwa mujibu wa kifungu cha 39 cha kanuni ya adhabu sura ya 16. Adhabu ya kosa hilo ni KIFO
Shetani hajawahi kumshinda Mungu
 
Wanawaoneaaaa.....kosa lao nini ? Kweli mkataba mbovu bandari imeuzwaa hatutaki
Nenda kawatete mahakamani unafikili police niwajinga waliwaacha mda mrefu wakajisahau na matamshi yao yenye utata. Walikuwa na nia nzuri ila strategy yao haikuwa nzuri kwa afya ya umoja wetu wa kitaifa. Pakitokea civil unrest tutaenda wapi watu wako frustrated na maisha hawajui babdari wala nini kitakachotokea ni looting na uharifu mwingine. Hawa jamaa walijiamini sana mpaka kukosa hekima kwenye matamshi yao.
 
Taarifa kutoka kwa Adv. Philip Mwakilima na jopo; Adv.
@Mwabuk2Boniface
na
@mdudechadematz
wamefikishwa Mbeya na hati yao ya mashtaka ni makosa ya UHAINI (siyo kutoa maneno ya uchochezi) kwa mujibu wa kifungu cha 39 cha kanuni ya adhabu sura ya 16. Adhabu ya kosa hilo ni KIFO
Aisee hii nchi inatakiwa wajitokeze waasi ili Heshima irudi, yaani uhaini kwa kupinga Bandari kuuzwa milele?
 
Taarifa kutoka kwa Adv. Philip Mwakilima na jopo; Adv.
@Mwabuk2Boniface
na
@mdudechadematz
wamefikishwa Mbeya na hati yao ya mashtaka ni makosa ya UHAINI (siyo kutoa maneno ya uchochezi) kwa mujibu wa kifungu cha 39 cha kanuni ya adhabu sura ya 16. Adhabu ya kosa hilo ni KIFO
Mihimili mitatu ya dola ya nchi yetu ni "axis of evil" na ipo kwa ajili ya kulindana na wala si kwa "check & balance". Mmoja hutumika kuunda sheria kandamizi, mwingine hutumika kutoa tafsiri tata na potofu ili kuhalalisha udhalimu, na uliobakia na wenye kujichimbia kwa mingine ndiyo wenye kuendesha na kuutumikia uovu dhidi ya wananchi..
 
Nenda kawatete mahakamani unafikili police niwajinga waliwaacha mda mrefu wakajisahau na matamshi yao yenye utata. Walikuwa na nia nzuri ila strategy yao haikuwa nzuri kwa afya ya umoja wetu wa kitaifa. Pakitokea civil unrest tutaenda wapi watu wako frustrated na maisha hawajui babdari wala nini kitakachotokea ni looting na uharifu mwingine. Hawa jamaa walijiamini sana mpaka kukosa hekima kwenye matamshi yao.
Lakini mkataba wa bandari unausemaje
 
Back
Top Bottom