Wakili Mwabukusi na Mdude Nyagali kushtakiwa kwa makosa ya UHAINI

Wakili Mwabukusi na Mdude Nyagali kushtakiwa kwa makosa ya UHAINI

Lengo ni kutisha watu na kuhakikisha watu wanaozea jela na si ku-prove makosa ya Uhaini mahakamani.
Ni kweli. Ni ujinga ule ule wa kizamani wa kutisha watu ili waogope kusema. Hawa watu ni wapumbavu kuliko hata nguruwe. Badala ya kuboresha maisha ya wananchi yaliyojaa kila aina ya mateso, wao wanadhani kutishia watu ndiyo suluhisho. Kuna siku watu watanzania wote tutajuta na kusema kwa kwanini tuliachia viongozi wapumbavu namna hii wafanye wanavyotaka.
 
Duh

Wameshtakiwa leo Jumapili?!

Ikumbukwe mambo haya ya Uhaini huambatana na Njaa na Dhiki Kuu, si dalili njema

Nilikuwa Katumba Bar Kinondoni mkwajuni Wakati Tamimu alipofanya Uhaini 1980s, si jambo la kuombea kwa kweli
Yaani kila mtu anashangaa......kumbe IGP alimanisha hiki?

The end justified the meaning.
 
Hawawezi kuthibitisha hayo makosa, Shetani Samia atashindwa, na hata kama akibebwa na hizo mahakama za majaji wa hovyo, atambue watanganyika sio wajinga, ukweli wanaujua, mwanamke mzee ametusaliti.
 
Mananga kama wewe ni wa kusamehe kwa sababu kichwani hamna kitu. Civil unrest inatokeaje wakati mama anaupiga mwingi na tayari tuko kwenye uchumi wa kati? Itatokeaje wakati waarabu wanakuja kuchukuwa bandari waingize mamilini ya fedha ambazo zitabóresha maisha ya kila mwananchi? Au italetwa na mama yako?
Usijifanye mwerevu wakati unaokana mweupe tu kichwani maana unaongea kishabiki kama mlevi wa komoni. Wakitokea watu na kauli zenye utata ambazo zinaweza ku manipulate mob behavior kuja kuwa vengeful mob lazima police wafanye kazi yao.
 
Hawawezi kuthibitisha hayo makosa, Shetani Samia atashindwa, na hata kama akibebwa na hizo mahakama za majaji wa hovyo, atambue watanganyika sio wajinga, ukweli wanaujua, mwanamke mzee ametusaliti.
Huwa una hoja nzuri lakini kwa hizi kejeli na matusi yako inaonekana una depression sio bure.
 
Hata wafanyeje, hoja zijibiwe...

Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa

1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)

2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?

3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?

4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!

6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
 
Usijifanye mwerevu wakati unaokana mweupe tu kichwani maana unaongea kishabiki kama mlevi wa komoni. Wakitokea watu na kauli zenye utata ambazo zinaweza ku manipulate mob behavior kuja kuwa vengeful mob lazima police wafanye kazi yao.
Huwezi ku-manupulate watu milioni 60 kwa kauli tata ambazo hazina maana au haziakisi ukweli wa mambo. Ila kama kauli zako ni za kweli na zinaonyesha hali halisi basi watu watakusikiliza. Kuna ubaya gani kama serikali imejaa ufisadi na uzembe itaondolewa na kuingia serikali nyingine yenye kuwajibika? Angalia sana unaonekana kama idiot sasa!
 
Kwa mtu yeyote mwenye akili huru hawezi kuwa pamoja na aina ya ukosoaji wanayoifanya akina mdude na wenzake. Tupo wengi ambao tumependekeza mkataba ufanyiwe marekebisho lakini si aina hii ya ukosoaji waliyoufanya hawa akina Mdude.

Wapo ambao waliyowashambulia kwa sababu ya uchawa. Wapo ambao waliona aina ya ukosoaji wanaoufanya utawagharimu. Usimshambulie mtu, kosoa mkataba! Kama alivyofanya Prof. Issa Shivji kisha unaweka kimuktadha wa kitaifa faida ama hasara itakuwa ya namana gani!

Ila Chadema haya hawataki kuyasikia. Kama ndiyo njia waliyoichagua wasilalamike bali wapambane. Kulialia hakusaidii kama umechagua pambano!
 
Umelelewa vibaya sana kujiona una akili kuliko wengine. Hasira mpelekee mama yako kama hujafurahishwa na maoni yangu piti hivi
Hasira unazo wewe. Na mama yako yuko kazini anaogesha waarabu. Utampelekea nani hasira zako sasa?
 
Kwa mtu yeyote mwenye akili huru hawezi kuwa pamoja na aina ya ukosoaji wanayoifanya akina mdude na wenzake. Tupo wengi ambao tumependekeza mkataba ufanyiwe marekebisho lakini si aina hii ya ukosoaji waliyoufanya hawa akina Mdude.

Wapo ambao waliyowashambulia kwa sababu ya uchawa. Wapo ambao waliona aina ya ukosoaji wanaoufanya utawagharimu. Usimshambulie mtu, kosoa mkataba! Kama alivyofanya Prof. Issa Shivji kisha unaweka kimuktadha wa kitaifa faida ama hasara itakuwa ya namana gani!

Ila Chadema haya hawataki kuyasikia. Kama ndiyo njia waliyoichagua wasilalamike bali wapambane. Kulialia hakiusaidii kama umechagua pambano!
Onyesha kosa lolote lililo kwenye ukosoaji wao! Dont hit around the bush! Ukosoaji mzuri ni upi na ukosoaji mbaya ni upi?
 
Huwezi ku-manupulate watu milioni 60 kwa kauli tata ambazo hazina maana au haziakisi ukweli wa mambo. Ila kama kauli zako ni za kweli na zinaonyesha hali halisi basi watu watakusikiliza. Kuna ubaya gani kama serikali imejaa ufisadi na uzembe itaondolewa na kuingia serikali nyingine yenye kuwajibika? Angalia sana unaonekana kama idiot sasa!
Tatizo lako ni ushabiki ndio unakutesa unajikuta unapotaza objectivity kwenye maoni yako. Una kubali huku una kataa. Kwa akil

Tatizo unaendeshwa na ushabiki kiasi cha kupoteza objectivity kwenye maoni yako. Unashindwa kujua kuwa manipulation inaanzia kwa watu wachache kisha inasambaa. Unakubali mara unakataa, police lazima wachunguze motives ila waweze ku counter hatari yoyote inayoweza kutokea
 
Hasira unazo wewe. Na mama yako yuko kazini anaogesha waarabu. Utampelekea nani hasira zako sasa?
Wewe jamaa nimegundua bado mdogo sana kama sivyo una tatizo la akiri sio bure. Sitaki tena mjadala na wewe ulienda shule kujifunza ujinga.
 
Tatizo lako ni ushabiki ndio unakutesa unajikuta unapotaza objectivity kwenye maoni yako. Una kubali huku una kataa. Kwa akil

Tatizo unaendeshwa na ushabiki kiasi cha kupoteza objectivity kwenye maoni yako. Unashindwa kujua kuwa manipulation inaanzia kwa watu wachache kisha inasambaa. Unakubali mara unakataa, police lazima wachunguze motives ila waweze ku counter hatari yoyote inayoweza kutokea
Unazidi kuonyesha ulivyo idiot? Manipulation ya kusema ukweli mkataba ni mbaya? Kusema ukweli ni manipulation? Au?
 
Back
Top Bottom