Wakili Mwabukusi na Mdude Nyagali kushtakiwa kwa makosa ya UHAINI

Maamuzi yepi hayo ya wananchi yaheshimiwe?

Sent from my ATU-L31 using JamiiForums mobile app
Maamuzi ya kukataa, kuibinafsisha, kuuza,kukodisha au kugawa Bure Bandari zetu.

Tunaweza kuziendesha wenyewe maana Nchi imekopa matrilioni, hivyo kumleta mwekezaji asotoa hata 100 mbovu Si sahihi.

Kama CCM na sirikali wameshindwa kuendesha wapishe.
 
Wawakilishi wenu ambao ni wabunge sii tayari wamesharidhia huo uwekezaji wa Bandari na mahkama pia imebariki

Sent from my ATU-L31 using JamiiForums mobile app
 
Wawakilishi wenu ambao ni wabunge sii tayari wamesharidhia huo uwekezaji wa Bandari na mahkama pia imebariki

Sent from my ATU-L31 using JamiiForums mobile app
Hatuna wawakilishi bungeni, uchaguzi uliporwa, hata kiongozi mkuu hatukumpigia kura.🙏🙏

Tupige kura ya WAZI kuamua ikiwa BANDARI zetu zibinafsishwe au la, tutapata UKWELI.
 
Mahakama zipi, hizi hizi zinazopigiwa simu moja? Ingekuwa mahakama za Kenya au kimataifa hapo kungekuwa na mahakama. Sio hizi mahakama za majaji wa mchongo.
Hao jamaa especially adv mwambukusi walijenga hoja nzuri sana za kisheria tatizo lilianzia pale kauli za kejeli, dharau kwa mamlaka kisha kutoa threats kitu ambacho ukikifumbia macho kinaweza kuwa na effect kubwa baadae.
 
Kwa taarifa yako hata wangejenga hoja vizuri vipi, na hata ikibidi kuwalamba miguu hao viongozi, bado hoja zao zisingefanyiwa kazi. Hiyo kujifanya eti lugha za kejeli ni kupatia sehemu ya kuchomokea tu.

Hizo lugha zingeleta effect gani kubwa kwa mfano, wakati watu wanaingia madarakani kwa kupora chaguzi na hakuna effect, ndio itakuwa hizo lugha unazoita za kejeli?

Inshort hizo lugha kali ndio zinaeleweka vizuri kwa viongozi wezi, na wananchi wengi kwa ujumla maana zinaacha rekodi ya kutosha nini kilitokea wakati wa mkataba huu wa wizi.
 
Kupitia mtandao wa X, MMM ameandika kuwa...

Taarifa kutoka kwa Adv. Philip Mwakilima na jopo; Wakili Mwabukusi na Mdude wamefikishwa Mbeya na hati yao ya mashtaka ni makosa ya UHAINI (siyo kutoa maneno ya uchochezi) kwa mujibu wa kifungu cha 39 cha kanuni ya adhabu sura ya 16. Adhabu ya kosa hilo ni KIFO

Pia soma > Wakili Mwabukusi, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali wakamatwa na Polisi Mikumi wakiwa safarini kuelekea Dar es Salaam

View attachment 2716177
Kosa lao kubwa ni kuwa wakristo na kupinga waislamu kutoka Zanzibar kuuza bandari za Tanganyika kwa waarabu
 
inaonekana watu wetu ni dhaifu sana, yaani mnawaogopa watu kama Mdude na Mwabukusi mpaka mnawakamata na kuwapa kesi za uhaini?..
 
kumobilize watu na wakakubali kuingia barabarani maana yake wanakubaliana na sababu iliyowaingiza barabarani.

Lamsingi ni Serikali kuacha kutumia ubabe na baadala yake kupima mtazamo wa watu juu ya kila kinachoendelea.
 
Kupitia mtandao wa X, MMM ameandika kuwa...

Taarifa kutoka kwa Adv. Philip Mwakilima na jopo; Wakili Mwabukusi na Mdude wamefikishwa Mbeya na hati yao ya mashtaka ni makosa ya UHAINI (siyo kutoa maneno ya uchochezi) kwa mujibu wa kifungu cha 39 cha kanuni ya adhabu sura ya 16. Adhabu ya kosa hilo ni KIFO

Pia soma > Wakili Mwabukusi, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali wakamatwa na Polisi Mikumi wakiwa safarini kuelekea Dar es Salaam

View attachment 2716177
Twende tu ,ila tegemea majitu anza anguka misiri ya kuku mwenye kideli , Mungu sio mwanadam
 
Back
Top Bottom