Wakili Mwabukusi na Mdude Nyagali kushtakiwa kwa makosa ya UHAINI

Wakili Mwabukusi na Mdude Nyagali kushtakiwa kwa makosa ya UHAINI

Unataka shetani aitwe malaika?

Tupingane kwa hoja kama unazo..
Leo umeharibu brother umeongea kwa hasira badala ya kumwaga madini watu wasome wajifunze. Criticism ni kitu cha kawaida kwenye siasa lakini mambo ya sheni sijui mama mzee sio ustaarabu.
 
Wewe jamaa nimegundua bado mdogo sana kama sivyo una tatizo la akiri sio bure. Sitaki tena mjadala na wewe ulienda shule kujifunza ujinga.
Akiri = akili. Tuanze kwanza na ujinga wako ulioenda kusomea shule. Huwezi hata kuandika maneno rahisi kabisa ya kiswahili!
 
Kwa mtu yeyote mwenye akili huru hawezi kuwa pamoja na aina ya ukosoaji wanayoifanya akina mdude na wenzake. Tupo wengi ambao tumependekeza mkataba ufanyiwe marekebisho lakini si aina hii ya ukosoaji waliyoufanya hawa akina Mdude.

Wapo ambao waliyowashambulia kwa sababu ya uchawa. Wapo ambao waliona aina ya ukosoaji wanaoufanya utawagharimu. Usimshambulie mtu, kosoa mkataba! Kama alivyofanya Prof. Issa Shivji kisha unaweka kimuktadha wa kitaifa faida ama hasara itakuwa ya namana gani!

Ila Chadema haya hawataki kuyasikia. Kama ndiyo njia waliyoichagua wasilalamike bali wapambane. Kulialia hakusaidii kama umechagua pambano!
We huna akili, huwezi chagua njia ile ile ambayo haileti matokeo. Ujinga ni muda wa kwenda tu.
 
We huna akili, huwezi chagua njia ile ile ambayo haileti matokeo. Ujinga ni muda wa kwenda tu.
Hahaha 🤣🤣

Kama unavyoishi ndivyo utakavyoelekea. Sasa ikiwa hiyo ndiyo njia iliyoamuliwa ya aina ya uishiji muhimu ni kupambana na si kutia huruma. Mara sijui Mungu ata........

Chadema bado hawana msingi wa siasa: Tunasema ni katiba lakini tunajua viongozi wakiamua kuikanyaga wanaikanyaga kweli sababu ilishasemwa kuwa kwa katiba yetu rais akiamua kuwa dikteta anakuwa tu.

Hekima ya sasa ya kurudisha siasa majukwaani na utu imegeuka na kuwa dhihaka, kejeli na personal kwa Samia na serikali yake. Chadema msingi wa siasa hawana! Wafanye siasa kwa kuangalia mbali zaidi si hizi wanazozifanya. Huu muda wangeutumia kwa yale yanayowagusa raia moja kwa moja kama kipindi cha Mbowe 2005 watafika mbali.
 
Hawawezi kuthibitisha hayo makosa, Shetani Samia atashindwa, na hata kama akibebwa na hizo mahakama za majaji wa hovyo, atambue watanganyika sio wajinga, ukweli wanaujua, mwanamke mzee ametusaliti.
Keyboard hero acha maneno mengi jitokezeni mahakamani kesho mkapinge hadharani, hii kucomment kwa kujificha haiwasaidii.
 
Unajua kusoma ?
20230731_234928.jpg
 
Back
Top Bottom