Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Shetani hajawahi kumshinda MunguTaarifa kutoka kwa Adv. Philip Mwakilima na jopo; Adv.
@Mwabuk2Boniface
na
@mdudechadematz
wamefikishwa Mbeya na hati yao ya mashtaka ni makosa ya UHAINI (siyo kutoa maneno ya uchochezi) kwa mujibu wa kifungu cha 39 cha kanuni ya adhabu sura ya 16. Adhabu ya kosa hilo ni KIFO
HakikaMungu ana makusudi na kila jambo.
Nenda kawatete mahakamani unafikili police niwajinga waliwaacha mda mrefu wakajisahau na matamshi yao yenye utata. Walikuwa na nia nzuri ila strategy yao haikuwa nzuri kwa afya ya umoja wetu wa kitaifa. Pakitokea civil unrest tutaenda wapi watu wako frustrated na maisha hawajui babdari wala nini kitakachotokea ni looting na uharifu mwingine. Hawa jamaa walijiamini sana mpaka kukosa hekima kwenye matamshi yao.Wanawaoneaaaa.....kosa lao nini ? Kweli mkataba mbovu bandari imeuzwaa hatutaki
Aisee hii nchi inatakiwa wajitokeze waasi ili Heshima irudi, yaani uhaini kwa kupinga Bandari kuuzwa milele?Taarifa kutoka kwa Adv. Philip Mwakilima na jopo; Adv.
@Mwabuk2Boniface
na
@mdudechadematz
wamefikishwa Mbeya na hati yao ya mashtaka ni makosa ya UHAINI (siyo kutoa maneno ya uchochezi) kwa mujibu wa kifungu cha 39 cha kanuni ya adhabu sura ya 16. Adhabu ya kosa hilo ni KIFO
Yana mwishoTaarifa kutoka kwa Adv. Philip Mwakilima na jopo; Adv.
@Mwabuk2Boniface
na
@mdudechadematz
wamefikishwa Mbeya na hati yao ya mashtaka ni makosa ya UHAINI (siyo kutoa maneno ya uchochezi) kwa mujibu wa kifungu cha 39 cha kanuni ya adhabu sura ya 16. Adhabu ya kosa hilo ni KIFO
Mihimili mitatu ya dola ya nchi yetu ni "axis of evil" na ipo kwa ajili ya kulindana na wala si kwa "check & balance". Mmoja hutumika kuunda sheria kandamizi, mwingine hutumika kutoa tafsiri tata na potofu ili kuhalalisha udhalimu, na uliobakia na wenye kujichimbia kwa mingine ndiyo wenye kuendesha na kuutumikia uovu dhidi ya wananchi..Taarifa kutoka kwa Adv. Philip Mwakilima na jopo; Adv.
@Mwabuk2Boniface
na
@mdudechadematz
wamefikishwa Mbeya na hati yao ya mashtaka ni makosa ya UHAINI (siyo kutoa maneno ya uchochezi) kwa mujibu wa kifungu cha 39 cha kanuni ya adhabu sura ya 16. Adhabu ya kosa hilo ni KIFO
Lakini mkataba wa bandari unausemajeNenda kawatete mahakamani unafikili police niwajinga waliwaacha mda mrefu wakajisahau na matamshi yao yenye utata. Walikuwa na nia nzuri ila strategy yao haikuwa nzuri kwa afya ya umoja wetu wa kitaifa. Pakitokea civil unrest tutaenda wapi watu wako frustrated na maisha hawajui babdari wala nini kitakachotokea ni looting na uharifu mwingine. Hawa jamaa walijiamini sana mpaka kukosa hekima kwenye matamshi yao.