Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 6,170
- 7,710
Simba wa Yuda sio killa!!Angetishiwa kuuwawa na wangemuuwa kweli.
SI UNAJUA YULE JAMAA ALIKUWA NI SIMBA WA YUDA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba wa Yuda sio killa!!Angetishiwa kuuwawa na wangemuuwa kweli.
SI UNAJUA YULE JAMAA ALIKUWA NI SIMBA WA YUDA.
Alikuwa anamuogopa Magufuli.Mbona Bwawa la Nyerere,walipewa waarabu,na hakusema kitu.Rasilimali za Tanganyika zimetolewa bure kwa mwarabu milele, hii ndio sababu inayomfanya Adv. Mwabukusi na wengine kina Dr. Nshalla kujitokeza hadharani kupinga uovu huu usiokuwa na kifani kwa mtanganyika, ukiuliza alikuwa wapi wakati wa Magufuli, ikiwa umeshasema Mwabukusi ndie man of the moment, hapo naona umeshapata jibu la swali lako.
Mbona Bwawa la Nyerere,walipewa waarabu,na alikuwa kimya ,wakati wa Magufuli.Ni kweli, wengi wamesema kuhusu DPW lkn Boniface Mwabukusi amesema zaidi.
Bwawa la Nyerere,walipews waarabu,hakusema kitu,alikuwa anamuogopa Magufuli.Ni wazi hakuna ubishi Man of The Moment (MOTM) kwa sasa ni Wakili Boniface Mwabukusi kutokana na namna alivyolibeba suala la Bandari/DP WORLD kwa mabega mawili. Wanasiasa na Wanaharakati wengi wameongea kama kina Lissu, Mbowe, Slaa, Tibaijuka, Shivji, Binti Sarungi, Madeleka na Nshala. Lakini ni Wakili Boniphace Mwabukusi ndiyo maneno yake na haiba yake yana mvuto kuliko mtu yeyote. Mwabukusi ana uwezo wa kuwasilisha mada kwenye hadhara kama Wahubiri wa Kilokole akina Mwamposa/ Gwajima, ana maneno makali kama Mdude na ana uwezo kuchambua sheria kama Lissu.
Swali:
Je, huyu Bwana alikuwa wapi wakati wa Dikteta Magufuli 2015-21? Alipobana kabisa uhuru wa maoni na kukanyaga katiba
Je, kwa huu ubingwa wake, nini ingekuwa hatma yake kipindi cha Magufuli?
Kwamba dhalimu hakuwa mwanasiasa, au baada ya kuona haziwezi siasa na siasa hazimtaki, ndio akasema yeye sio mwanasiasa?We unaona huyu ni mwanasiasa? Huyu ni mtetezi wa rasilimali za taifa, kitu ambacho Magu alikipigania hadi anakufa.
Mambo sijui ya demokrasia aliwaachia wanasiasa.
Tafuta clip ya Magu akiizungumzia Bandari ya bagamoyo alafu uje tenaSwali:
Je, huyu Bwana alikuwa wapi wakati wa Dikteta Magufuli 2015-21? Alipobana kabisa uhuru wa maoni na kukanyaga katiba
Najuwa Magufuli hakupenda Bagamoyo Port na alitoa pumba nyingi tu. Lakini pia Magufuli alikuwa na UHAYAWANI wake kama kulidhibiti Bunge, Kuitisha Mahakama, kuvibana vyombo vya habari na kuua wakosoaji kama kina Ben Saanane au kumjeruhi Tundu Lissu.Tafuta clip ya Magu akiizungumzia Bandari ya bagamoyo alafu uje tena
✍️
Swali lako sijajua linataka nini kilichotokea sasa ni ufafanuzi wa kisheria kuhusu mkataba wa TZ GOv na DPWSasa huyu Mwabukusi alikuwa wapi hayo yakitendeka?
huyu ni mbwa kunguru tu, na ni mpumbavu kwasababu anashindwa kutofautish Urais na mtu. Ni mshamba tu anayetafuta umaarufu wa kipuuzi.Ni wazi hakuna ubishi Man of The Moment (MOTM) kwa sasa ni Wakili Boniface Mwabukusi kutokana na namna alivyolibeba suala la Bandari/DP WORLD kwa mabega mawili. Wanasiasa na Wanaharakati wengi wameongea kama kina Lissu, Mbowe, Slaa, Tibaijuka, Shivji, Binti Sarungi, Madeleka na Nshala. Lakini ni Wakili Boniphace Mwabukusi ndiyo maneno yake na haiba yake yana mvuto kuliko mtu yeyote. Mwabukusi ana uwezo wa kuwasilisha mada kwenye hadhara kama Wahubiri wa Kilokole akina Mwamposa/ Gwajima, ana maneno makali kama Mdude na ana uwezo kuchambua sheria kama Lissu.
Swali:
Je, huyu Bwana alikuwa wapi wakati wa Dikteta Magufuli 2015-21? Alipobana kabisa uhuru wa maoni na kukanyaga katiba
Je, kwa huu ubingwa wake, nini ingekuwa hatma yake kipindi cha Magufuli?
Hata mimi nimewaza sana mbonaNi wazi hakuna ubishi Man of The Moment (MOTM) kwa sasa ni Wakili Boniface Mwabukusi kutokana na namna alivyolibeba suala la Bandari/DP WORLD kwa mabega mawili. Wanasiasa na Wanaharakati wengi wameongea kama kina Lissu, Mbowe, Slaa, Tibaijuka, Shivji, Binti Sarungi, Madeleka na Nshala. Lakini ni Wakili Boniphace Mwabukusi ndiyo maneno yake na haiba yake yana mvuto kuliko mtu yeyote. Mwabukusi ana uwezo wa kuwasilisha mada kwenye hadhara kama Wahubiri wa Kilokole akina Mwamposa/ Gwajima, ana maneno makali kama Mdude na ana uwezo kuchambua sheria kama Lissu.
Swali:
Je, huyu Bwana alikuwa wapi wakati wa Dikteta Magufuli 2015-21? Alipobana kabisa uhuru wa maoni na kukanyaga katiba
Je, kwa huu ubingwa wake, nini ingekuwa hatma yake kipindi cha Magufuli?
Sasa wewe unayesoma na kujibizana na mbwa utakuwa ni mnyama gani? Basi na wewe ni mbwa tu ndiyo maana unaelewa lugha ya mbwa na kunguruhuyu ni mbwa kunguru tu, na ni mpumbavu kwasababu anashindwa kutofautish Urais na mtu. Ni mshamba tu anayetafuta umaarufu wa kipuuzi.