Na hii ndiyo sababu serikali haitaki kuweka mifumo thabiti ya usajili wa line za simu maana wanajua kuwa namba zao bandia ndizo wanazo tumia kutishia watu ili wasijuliane na ndio maana hiyo namba ukiifuatilia utakuta jina ni HAWA KIWEMBE KIKALI 🤣🤣🤣Anaandika Wakili Mwabukusi kupitia ukurasa wa X:
UYU MPUMBAVU mwenye No Hii 0792 705831 anajaribu kunitisha. Nimemtaarifu kuwa haitaji kunivizia kama alivhosema ninarudi mbeya kushughukikia sula la Mdude Nyagali na nimeaama hiki mdiyo kiyama vha ujinga huu na nina hamu ya kuonana naye. Huu ndiyo Ujumbe wake
Unapenda sifa sana jiandae kuacha mjane na yatima ww njoo mbeya kama ulivo sema tuowindane ulipo tupo njoo uone kama mdomo wako utakusaidia zaidi ya kukuangamiza **** nyoko kama uwakili umekushinda iambie familia yako na kuiaga kuwa uko vitani Mambo vip naona unabwabwaja sana unatakasifa au. Ww mwambie pengo ajiandae vizuri hii dunia ni ndogo mbeya iko kiganjani na ww acha kamdomo.
SINTA BABAISHWA,SINTA TETERESHWA NA SINA KIPAJI CHA WOGA.
Ameshatishwa hivyo hivyo Dr NshalaHii nchi sasa tumefika pataam. Kuna siku hadi mawakili wa Lissu watatishwa vilevile.
Serikali ipi hiyo mkuu,ya Zanzibar au Tanganyika?Serikali isipomfuatilia aliyetuma huu ujumbe na kumtia hatiani, sasa ndio tutahitimisha rasimi kuwa serikali ya Samia inahusika kwa 100% kwenye matukio yote machafu ya utekaji na mauaji yanayohusishwa na siasa kipindi hiki.
Na pia pia vile tutatambua rasimi sasa kuwa Serikali ndio adui mkubwa wa usalama wa raia.
SIKUJUA ELIAS ndio jina la line
But also ni fake id, anaetumia si jina hilo
Ikiwa Pdri Kitima alishambuliwa vile na hajatia neno wala kumjulia hali unategemea nini ndugu yangu?Kinachoshangaza haya mauaji, vitisho, utekaji, na kupotezwa; tunafanyiwa raia wa Tanganyika tu! Huku Rais aliyeko madarakani akiwa na asili ya nchi jirani ya Zanzibar! Na binafsi sijawahi kumsikia akikemea au kuchukua hatua za kukomesha haya mauzauza!
Je, ndiyo kusema hana uchungu? Wangekuwa wanafanyiwa hivi Wazanzibari, angeendelea pia kufumba macho na kuziba masikio? Je, ni wakati sasa kwa Watanganyika kuamka na kukomesha haya maovu, au tuendelee kulala usingizi wa pono?
Anaandika Wakili Mwabukusi kupitia ukurasa wa X:
UYU MPUMBAVU mwenye No Hii 0792 705831 anajaribu kunitisha. Nimemtaarifu kuwa haitaji kunivizia kama alivhosema ninarudi mbeya kushughukikia sula la Mdude Nyagali na nimeaama hiki mdiyo kiyama vha ujinga huu na nina hamu ya kuonana naye. Huu ndiyo Ujumbe wake
Unapenda sifa sana jiandae kuacha mjane na yatima ww njoo mbeya kama ulivo sema tuowindane ulipo tupo njoo uone kama mdomo wako utakusaidia zaidi ya kukuangamiza **** nyoko kama uwakili umekushinda iambie familia yako na kuiaga kuwa uko vitani Mambo vip naona unabwabwaja sana unatakasifa au. Ww mwambie pengo ajiandae vizuri hii dunia ni ndogo mbeya iko kiganjani na ww acha kamdomo.
SINTA BABAISHWA,SINTA TETERESHWA NA SINA KIPAJI CHA WOGA.
SIKUJUA ELIAS ndio jina la line
But also ni fake id, anaetumia si jina hilo
Wakishirikisha mitandao ya simu, anadakwa fasta. Sema nini, wasiojulikana
Mara nyingi huwa wanatumia line zilizosajiliwa na watu, wengine.
Na hii ndiyo sababu serikali haitaki kuweka mifumo thabiti ya usajili wa line za simu maana wanajua kuwa namba zao bandia ndizo wanazo tumia kutishia watu ili wasijuliane na ndio maana hiyo namba ukiifuatilia utakuta jina ni HAWA KIWEMBE KIKALI 🤣🤣🤣
Wauaji wa kweli huwa hawasemi. Wakishaua, hujifanya kumuonea huruma mhanga wao. Angalia serikali ya watekaji inavyofanya hapa na kule Kenya.
Jinab lake ni:Sim card imesajiliwa kwa hilo jina la SIKUJUA ELFAS. alinunua kijoti huyo. Ni mfanyakazi ofisi ya mkuu wa mkoa. Pia ni dereva wa task force mkoani humo.
Chura kiziwi anataka aupore uchaguzi wote apate 99.99% na anaamini kijani ndio maadui zake kama alivyoambiwa na yule Mzee wa makamo.
Inaweza kudanganya endapo kama mtumiaji aliweka taarifa za uwongo tangu Siku ya kwanza alipoanza kutumia SIM Card hiyo.Truecaller ndio haidanganyi
What is the hell about this woman????????Hao kina Mwabukusi wanajitungia wenyewe kutafuta kiki.
Michezo ya kizamani hiyo
Inawezekana likatolea jina SAHIHI inategemea watu wake wamemsevujeKweli ila wanataumia line mpya na wala Truecaller haitasoma na ikisoma ujue ametengeneza Account fake.
Truecaller si inaleta hata hiyo namba imeseviwaje na watu wake WA karibu? Nimeangalia imeandikwa 'work'. Kwahyo inawezaka kuna MTU kamsave work na ndio anampa hizo kazi za Israel mtoa rohoInaweza kudanganya endapo kama mtumiaji aliweka taarifa za uwongo tangu Siku ya kwanza alipoanza kutumia SIM Card hiyo.
Aidha, kama SMS hiyo ilitumwa kwa mhusika kwa kutumia Teknolojia ya 'Phone Spoofing,' basi pia utapata matokeo yasiyokuwa sahihi kwenye hiyo True Caller
Ni kwamba kwa muda wote huo Izrael Mtoa roho atakuwa likizo ya bila malipo, au!!Unaumia ukiwa wapi mkuu?SAMIA ni mpaka 2030
Tulia wewe. Unafikiri tunafurahia kuona mgeni akinyanyasa wazawa!Ukabila Hatutaki , acheni kauli zenu