PreGE2025 Wakili Mwabukusi: Ninatumiwa Jumbe za Vitisho "KUPOTEZWA" na namba 0792705831

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Kazi kwenu Polisi kufuatilia tuhuma hizi nzito simu hiyo ili pitiia mnara gani, kampuni gani ya simu, muda, jina na namba.

TOKA MAKTABA :

Pia kwa nyongeza kujiwezesha kiufahamu, Ili kusadiki jinsi ya vyombo vya dola kwa kutumia teknolojia wanaweza kumfuatilia na kumbaini mwenye namba ya simu :

Jinsi mitandao ya simu inavyotumiwa na wasiojulikana kufuatilia nyendo za watu:

Jinsi ya Kuepuka Kutekwa nyara na watu wasiojulikana ambao pia hawajulikani na 'Serikali Nzima' - MORARA KEBASO AFICHUA​


View: https://m.youtube.com/watch?v=inj9f4BUxVwKifaa chako cha kieletroniki kinavyoweza kuwasaidia watu wasiojulikana kukufuatilia kwa njia zifuatazo :
  • Trailing and surveillance
  • Triangulation
  • SIM CARD
  • IMEI
  • LUKU malipo ya umeme kujua makazi
  • APPS za mikopo kuruhusu kufahamu contacts /picha / mikopo chechefu unayodaiwa kama ipo n.k
  • Hacking Software
  • Text msg
  • Dating sites
  • SIMU kuwa ya moto bila kuitumia
  • Microphone ya simu
  • Camera ya simu kuchukua mazingira uliyopo
  • Hata simu za kiswaswadu si salama
  • N.k
 
Watanganyika wa kuamka wako wapi? Hawa wanaosikiliza mpira kuanzia asubuhi mpaka jioni? Are you kidding me?

 
Jina lake ni SIKUJUA ELFAS.
Na data zinaonesha huyu ni mwenyeji wa mkoa wa Mbeya.
Tunamtahadharisha kuwa yeye na watekaji/wauaji wenzake pamoja na familia zao hawatadumu milele.
Amina.
Hawezi tumi simcard yenye jina lake, unless awe kilaza tu alituma ujumbe.
 
huyu mtu kapata wapi namba ya mwambukusi? katumia line liyosajiriwa, huyu mtu hatanii. sasa boss una kazi nzuri tls una mshahara watoto wanasoma shule nzuri, unajiingiza kwenye haya mambo, hawa jamaa wakikukosa watapita hata na mwanao au mdogo wako au mamako, shida yote ya nini, mdude washamalizana nae, kama walimpata fr.kitima wewe watakushindwa kweli? haya komaa
 
Hata Ben Saanane uzi wake wa mwisho humu 2016 ilikuwa ni habari ya kutishiwa kuuwawa na namba iliyomtisha aliiandika , polisi wakakaa kimya hadi alipopotea miezi miwili mbele wakasema wanachunguza leo ni miaka 9 hakuna majibu ya uchunguzi.
Kwa kweli inaendelea kusikitisha kwa hilo tukio.
 
Huyu 0792 705 831 namba yake ni ya mtandao wa Vodacom na imesajiliwa kwa jina la SIKUJUA ELFAS...
 
Unaona raha sana?
 
Aisee! Nadhani Mwabukusi asichukulie poa! Inaonekana hiyo mijamaa ikukuweka kwenye blacklist yao inatekeleza huo unyama!
Hiyo list ipo, na ukiona gov iko kimya wanasikilizia, wana support
 
Anavyosema mwambie Pengo anamzungumzia Pengo gani mbona sielewi
 
INABIDI TUTAFUTE SILAHA ZOTE ZA JADI IKIWEMO NA UCHAWI KUWAMALIZA KABISA HLI KUNDI LINALOTISHIA NA KUTEKA WATU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…