ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Sasa ataitambuaje hiyo namba ?Anaandika Wakili Mwabukusi kupitia ukurasa wa X:
UYU MPUMBAVU mwenye No Hii 0792 705831 anajaribu kunitisha. Nimemtaarifu kuwa haitaji kunivizia kama alivhosema ninarudi mbeya kushughukikia sula la Mdude Nyagali na nimeaama hiki mdiyo kiyama vha ujinga huu na nina hamu ya kuonana naye. Huu ndiyo Ujumbe wake
Unapenda sifa sana jiandae kuacha mjane na yatima ww njoo mbeya kama ulivo sema tuowindane ulipo tupo njoo uone kama mdomo wako utakusaidia zaidi ya kukuangamiza **** nyoko kama uwakili umekushinda iambie familia yako na kuiaga kuwa uko vitani Mambo vip naona unabwabwaja sana unatakasifa au. Ww mwambie pengo ajiandae vizuri hii dunia ni ndogo mbeya iko kiganjani na ww acha kamdomo.
SINTA BABAISHWA,SINTA TETERESHWA NA SINA KIPAJI CHA WOGA.
Siasa ni fitaaaaa
Tena ni border pale ndio maana mara na musoma CCM wanapaogopa unakodi mtu kazi mpakani kuja kufyeka hata ndugu yake na yeye akili zikae sawaMbeya ikitolewa amri kwamba aliyemteka Mdude ashughulikiwe kuna viongozi watakimbia
Hivi mkamiliza hizi kazi huwa mnajisikiaje you don't feel any guilty?Jisomee mwenyewe kutoka mtandao wa Twitter (X)
View attachment 3330119
Hivi bado hawajui hali mbovu inayo wakabili wao kwa ujuha wa namna hii?Wataua wangapi?
Tumeshafika pabaya, kwa sasa sio tena tunakoelekea pabaya bali tumeshafika sehemu hatari/mbayaHata Mdude_Nyagali naye alileta ujumbe wake humu wa kutishww, na akapotezwa kweli. Tunakoelekea nadhani siyo mahali salama. Siku wananchi wakiamua na wenyewe kujitetea, tayari tutakuwa tumeingia kwenye episode nyingine kabisa.
Mitandao ya simu kuna Mkurugenzi "Askari wa Samia". Wewe unadhani hawajui wakifanyacho?Wakishirikisha mitandao ya simu, anadakwa fasta. Sema nini, wasiojulikana
Kuna watu ameshawapigia. Wanaweza anza na haoHuyo unakuta jina la simcard sio lake.
Wewe ni mmojawao!!!???huyu mtu kapata wapi namba ya mwambukusi? katumia line liyosajiriwa, huyu mtu hatanii. sasa boss una kazi nzuri tls una mshahara watoto wanasoma shule nzuri, unajiingiza kwenye haya mambo, hawa jamaa wakikukosa watapita hata na mwanao au mdogo wako au mamako, shida yote ya nini, mdude washamalizana nae, kama walimpata fr.kitima wewe watakushindwa kweli? haya komaa
Ila Police, TCRA na mitandao ya Simu bado wanao uwezo wa kui trace. Hiyo simu aliyoitumia waweza waka trace IME yake, waka trace anawasiliana na akina nani wengine(rafiki, jamaa ama ndugu zake wengine). Pia kwa kupata EMEI ya Simu husika wataweza kupata namba ya lain nyingine tu pindi atakapoiweka kwenye hiyo simu inayotrakiwa. Ambayo inaweza kuwa na utambulisho wake Halisi.Huyo unakuta jina la simcard sio lake.
mzanzibar amekuja kutuletea machafuko Tanganyika.Kinachoshangaza haya mauaji, vitisho, utekaji, na kupotezwa; tunafanyiwa raia wa Tanganyika tu! Huku Rais aliyeko madarakani akiwa na asili ya nchi jirani ya Zanzibar! Na binafsi sijawahi kumsikia akikemea au kuchukua hatua za kukomesha haya mauzauza!
Je, ndiyo kusema hana uchungu? Wangekuwa wanafanyiwa hivi Wazanzibari, angeendelea pia kufumba macho na kuziba masikio? Je, ni wakati sasa kwa Watanganyika kuamka na kukomesha haya maovu, au tuendelee kulala usingizi wa pono?
Hii ndio athari ya nchi kukaa muda mrefu bila kupigana vita, watu wanaanza kuua watu wao. Kungekuwa na uchokozi kama aliokuwa anafanya Amin haya mambo ya kuwavizia wakina kitima, mdude sijui akina mwabukusi wala yasingekuwepo.Anaandika Wakili Mwabukusi kupitia ukurasa wa X:
UYU MPUMBAVU mwenye No Hii 0792 705831 anajaribu kunitisha. Nimemtaarifu kuwa haitaji kunivizia kama alivhosema ninarudi mbeya kushughukikia sula la Mdude Nyagali na nimeaama hiki mdiyo kiyama vha ujinga huu na nina hamu ya kuonana naye. Huu ndiyo Ujumbe wake
Unapenda sifa sana jiandae kuacha mjane na yatima ww njoo mbeya kama ulivo sema tuowindane ulipo tupo njoo uone kama mdomo wako utakusaidia zaidi ya kukuangamiza **** nyoko kama uwakili umekushinda iambie familia yako na kuiaga kuwa uko vitani Mambo vip naona unabwabwaja sana unatakasifa au. Ww mwambie pengo ajiandae vizuri hii dunia ni ndogo mbeya iko kiganjani na ww acha kamdomo.
SINTA BABAISHWA,SINTA TETERESHWA NA SINA KIPAJI CHA WOGA.
Nenda kamwambie mwenyewe kama kweli wewe shujaamwambukusi, kaa lea wanao, huo mdomo wataupiga kweli, hii kazi waachie vijana wasiokuwa na familia, kufa sio kubadili makazi, hatutaki kuona mkeo akilia hadharani kama umbwa
Magufuri alikua mzalendo aliiendesha nchi kisasa sana,maana Lissua alipigwa risasi mchana kweupe,Ben saanane,azory gwanda hatujui walipo hadi leoNdiyo maana kwa upande wangu sioni umuhimu wowote ule wa huo muungano wao wa kipuuzi. Tungekuwa na Kiongozi mzalendo, asingekubali kamwe kuiendesha nchi kwa mfumo huu wa sasa.
kishindo cha mwambukusi kinawafanya wahaarishe,meseji za Nini,jitokezeni waziwazi sms za Nini,mnajificha niniAnaandika Wakili Mwabukusi kupitia ukurasa wa X:
UYU MPUMBAVU mwenye No Hii 0792 705831 anajaribu kunitisha. Nimemtaarifu kuwa haitaji kunivizia kama alivhosema ninarudi mbeya kushughukikia sula la Mdude Nyagali na nimeaama hiki mdiyo kiyama vha ujinga huu na nina hamu ya kuonana naye. Huu ndiyo Ujumbe wake
Unapenda sifa sana jiandae kuacha mjane na yatima ww njoo mbeya kama ulivo sema tuowindane ulipo tupo njoo uone kama mdomo wako utakusaidia zaidi ya kukuangamiza **** nyoko kama uwakili umekushinda iambie familia yako na kuiaga kuwa uko vitani Mambo vip naona unabwabwaja sana unatakasifa au. Ww mwambie pengo ajiandae vizuri hii dunia ni ndogo mbeya iko kiganjani na ww acha kamdomo.
SINTA BABAISHWA,SINTA TETERESHWA NA SINA KIPAJI CHA WOGA.
Upo sahibi hata kipindi cha JPM,namba zilizomtishia Ben saanane zilitrackiwa na kupatikanana kwa watuhuniwaNimeingiwa na jazba kubwa Sanaa kwa haya yanayo fanyika ni kipi kibaya mwabukusi kafanya/ anafanya.
Ufanyike mtego kwenye hiyo namba anayo tishwa nayo Kuna apps zipo kumdukua then ahojiwe na AUWAWE KIKATILI LABDA NDIO LITAKUA FUNZO
NIJUKUMU LETU TUWAJUE HAO MAHARAMIA WA KUUA WATU NA KUWATESA AMBAO JESHI LA POLISH LIMESHINDWA KUWABAINI NA KUWAKAMATA
MPAKA KIELEWEKE
Polisi walioagizwa wamuue Ben saanane ndio hao wajichunguze?Hata Ben Saanane uzi wake wa mwisho humu 2016 ilikuwa ni habari ya kutishiwa kuuwawa na namba iliyomtisha aliiandika , polisi wakakaa kimya hadi alipopotea miezi miwili mbele wakasema wanachunguza leo ni miaka 9 hakuna majibu ya uchunguzi.
Kama ulifatilia kesi ya bilionea wa madini kule Arusha.Kuna watu ameshawapigia. Wanaweza anza na hao