PreGE2025 Wakili Mwabukusi: Ninatumiwa Jumbe za Vitisho "KUPOTEZWA" na namba 0792705831

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Feki tu hiyo hao vibaka hata number plate za gari wanafoji ije kuwa namba za simu .

Hapo tarajia hakuna chochote polisi watakachosema.
Hapana..

Kama Police wako serious na wanataka kukamata wahalifu hawa na kwa kushirikiana na kampuni ya simu yenye code number hizi, wanaweza tena hata haichukui hata siku Moja...!
 
Mtu smart aliezoea hizo dirty jobs, simcard na simu vyote vinachomwa moto.
 
Hata Mdudu alikuwa anasema hababaishwi na mtu!
 
Mapolisi wataanza uchunguzi saa ngapi?au itakuwa kama kwa Lissu alivyopigwa risasi Mapolisi wakakaa kimyaaa!!!! Mpaka leo.
 
Hii nchi bhana, kuna muda inabidi ucheke tu. Sijui hata tulifikaje huku
huyo Yezebeli amejaa majini. Majini ni mashetani. Na chakula kikuu cha mashetani ni damu za watu.

tutapiga majeshi majeshi katika ulimwengu wa roho, nusu mlingoti itaendelea. B4 July 2025.
 
Waambieni hawa vijana zipo kazi nyingi sana za kufanya kuliko kutisha, kuumiza na kuua watu bila sababu za msingi.

Mwambie hawa watu, binadamu anakawaida ya kuchoka na kutojali, mnapowaachia hawa wajinga kuendeleza haya mambo maana yake mnawapush watu kwenye kona ya visasi na kuwindana.
Watu wakichoka jamani hakuna atakayekuwa salama haijalishi watu mna ulinzi kiasi gani.

Siasa za Tanzania au kudeal na hawa wakosoaji na wapinzani wa Serikali wala haihitaji nguvu, ni akili Tu ya kujibu hoja zao na kuwaletea watu maendeleo.
 
Usingizi sasa basi
 
NAOMBA UNIAJIRI KAMA MLINZI WAKO NINA BLACK BELT NIMEBOBEA KWENYE KARATE,KUNGFU,TAIKONDO,MATIAL ART,PIA NINA MAFUNZO YA KININJA NINAUWEZO WA KUPOTEA MBELE YA MAANDUI NINA UWEZO WA KUTUMIA AINA YEYOTE YA SILAHA NINAUZOEFU WA KUTUMIA ORGANI ZA MWILI SEHEMU HATARISHI..SINA AJIRA YEYOTE NIPO MTAANI NAGONGA KOKOTO TU UKINIITAJI NI PM...
 
 
Wahehe wanasema ana Kidada(kiburi,)
 
Kizazi kimejaa majaume maogaa..xew
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…