THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,873
- 15,267
Samiah na Tulia AcksonHawa watu wanatumwa na nani ? Au wanajituma wenyewe..
Pumbavu kabisa wewe.Sasa yeye si anasema haogopi vitisho?
Why hiyo meseji Imshughulishe hadi kufikia hatua ya kushare na community,uoga tuuh...
Anatishia kujamba wakati anaugonjwa wa kuhara,mwabukusi mwehu sana kama Mdude tuh
katishwa anaanza tupepesa macho, mwambieni mke wake asijetulilia humu,Sasa yeye si anasema haogopi vitisho?
Why hiyo meseji Imshughulishe hadi kufikia hatua ya kushare na community,uoga tuuh...
Anatishia kujamba wakati anaugonjwa wa kuhara,mwabukusi mwehu sana kama Mdude tuh
Mabeyo kwanini hakuvunja KATIBA?? Huko alipo anapata USINGIZI NA FURAHA WATANGANYIKA KUUMIA.Samiah na Tulia Ackson
Haina budi watanganyika tuunganee hakika haki itashindaaWahehe wanasema ana Kidada(kiburi,)
kwanini unamtetea umejuaje sio yeye?Mara nyingi huwa wanatumia line zilizosajiliwa na watu, wengine.
Truecaller ndio haidanganyiMara nyingi huwa wanatumia line zilizosajiliwa na watu, wengine.
Wakati Mtanganyika Mkappa anaua Wazanzibar ulikuwepo Tanganyika ? Unafikiri Wazanzibar wamesahau ?
Mpaka tuwakamate ili mnyooke mmezoea kunyonya damu wakati wenu umefika mwisho.Hao kina Mwabukusi wanajitungia wenyewe kutafuta kiki.
Michezo ya kizamani hiyo
🤣🤣🤣 eti ameanza na Mambo vipHuyo Pengo anayeambiwa ajiandae ni nani?
Eti jambazi nae anasalimia mambo vip😀
Wangejituma wenyewe wasingetoboa hata siku Moja...shida ipo kwenye Imani ya wateule walioko madarakani...angetekwa mtu wao,hakika 12 hours Inteligensia ingempata muhusika..Hawa watu wanatumwa na nani ? Au wanajituma wenyewe..
Mpaka tuwakamate ili mnyooke mmezoea kunyonya damu wakati wenu umefika mwisho.Hao kina Mwabukusi wanajitungia wenyewe kutafuta kiki.
Michezo ya kizamani hiyo
Kwani huyo mtishaji ataishi milele?