Wajinga ndiyo waliwao. Tanzania kumejaa wajinga tena mbaya zaidi wapo serikalini na vyeo vyao na maposho wanakula hadi wamevimbiana na wanashangilia hata Kama nchi inatumbukia kuzimunj.So sad Tanzania [emoji24]...tupo mahakamani kufanya kazi waliyoshindwa Wabunge,Mali za Tanganyika zimehatarishwa.!![emoji419][emoji375]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wajombaaa ni mama jamani, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Baada ya mwarabu kuwauza wazee wetu kama watumwa bila ridhaa yao enzi hizo, leo hii tunauzwa utumwani na ngozi nyeusi wenzetu tuliowaamini na kuwapa madaraka ya kutuongoza.......maisha yanaenda kasi sana.
Wajinga ndiyo waliwao. Tanzania kumejaa wajinga tena mbaya zaidi wapo serikalini na vyeo vyao na maposho wanakula hadi wamevimbiana na wanashangilia hata Kama nchi inatumbukia kuzimunj.So sad Tanzania [emoji24]Rasilimali ni za wananchi. Kwenye hilo tutaelewana tu![emoji419][emoji375]
Sent using Jamii Forums mobile app
Watanzania wengi ni Maskini wanaamka wanawaza kula yao ya cku inaishaje ndo mana waliyopo madarakani wanachezea mali za nchi, watanzania wengi hawana habari Kama tumeuzwaWatanzania wengi hawajui chochote wanaamka asubuhi kupambana na maisha maskini.
Wanawake inatakiwa mkae pembeni wakati wanaume wapo kazini.upuuzi mtupu.
hizo pesa wanazo tumia mawakili ni bora wange chimba visima wananchi wapate maji kuliko kupoteza muda na pesa.
Walivyo wa ajabu Hawa watawala wanajua kabisa wanasheria wa serikali kiingereza kwao ni mwiko alafu wameweka hayo mashariti. Yaani wamebariki ttuuzweeee kweupe duuuuuhMakubaliano yenye vifungu vya kufungana hadi kupelekana mahakamani South Africa na kesi kuendeshwa kwa kiingereza, makubaliano tu hadi kupelekana kwa koti, hii hata mtoto wa chekechea ngumu kumdanganya.
Ila kuhusu mpira wanajua kila kitu hasa vijana..Watanzania wengi hawajui chochote wanaamka asubuhi kupambana na maisha maskini.
Top wa nchi ndo shida wengine wanafuata alichowaagiza fuulll stoopMpuuzi ni nani sasa hapo, ni aliyesaini mkataba na kuja kutuambia si mkataba walisaini bali ni makubaliano, au mpuuzini yule anayesema serikali inadang'anya wananchi?
N.B:
Nimeona kwenye mkataba kuwa Mama alitoa kibali kwa waziri kusaini huo mkataba tar 3 october 2022, na waziri alisaini huo mkataba tar.25 october 2022.
Huyu bibi alipopata urais alielekea kwa wajomba zake huko kuchukua maelekezo ya namba bora ya kuusimika utawala wa Sultani Tanganyika. Yaonekana walimwelekeza akabidhi kila kitu cha Tanganyika kwa njia ya mikataba ya milele. Na atakapoumaliza ufalme wake huku Tanganyika, atapewa hadhi na heshima ya pekee kama mama wa kiarabu aliyefanikiwa kuwadidimiza vibaradhuli weusi waliojitia ujuaji na kuitawala Zanzibar.Baada ya mwarabu kuwauza wazee wetu kama watumwa bila ridhaa yao enzi hizo, leo hii tunauzwa utumwani na ngozi nyeusi wenzetu tuliowaamini na kuwapa madaraka ya kutuongoza.......maisha yanaenda kasi sana.
Own goal unaiona wapi ndugu?Imekua je tena? Huwezi kua hakimu kwenye shauri lako mwenyewe " you can't be a judge in your own case"....... its time wasting and officially legalising Dp world to take over the port watakua backed na support ya mahakama, hiyo mmejifunga wenyewe inaitwa own goal.....
Lakini nakuambia Mark ma word bro huu mkataba hata ukipita akija rais mwingine atauvunja kwa any cost hutaamin.Imekua je tena? Huwezi kua hakimu kwenye shauri lako mwenyewe " you can't be a judge in your own case"....... its time wasting and officially legalising Dp world to take over the port watakua backed na support ya mahakama, hiyo mmejifunga wenyewe inaitwa own goal.....
Locuta causa finita ! Kwa kilatini ! Katiba bora ndio mpango mzima mengine ni kujidanganya tu ! Mark my words !!Tanzania Sheria zipo za maonyesho,mtanzania yeyote makini anajionea namna katiba na Sheria za nchi zinavyochezewa Kama vumbi na ikulu na hakuna Cha kumfanya mtake msitake mahakamani mnapoteza mda wenu au mnataka muonekane kuwa mpo wanasheria .