King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Hii sheria yako ulisomea wapi?Imekua je tena? Huwezi kua hakimu kwenye shauri lako mwenyewe " you can't be a judge in your own case"....... its time wasting and officially legalising Dp world to take over the port watakua backed na support ya mahakama, hiyo mmejifunga wenyewe inaitwa own goal.....
Kabisaaa..Ifahamike, Tanganyika hatukumtuma Rais kusaini hizo takataka, hatuhusiki, wamalizane na mpwa wao wenyewe..., wasituhusishe.
Hata sisi wengine tuliokuwa hatupati chochote kutoka bandarini ??!!Tumeshaangamia.Hayupo wa kututetea zaidi ya kumwelekea Mwenyezi Mungu.
Na hili suala Mkuu watu wanalichukulia kimzaha lkn yaweza kuwa cheche au njiti ya kiberiti itakayokuja kuiteketeza msitu. Wacha waendelee kuziba masikio yao.
Ukiwasikiliza baadhi ya wanaCCM hawa wa enzi ya Rais wa sasa, huwezi kuamini kama ndio hawa hawa aliowaacha Magufuli. Huwezi kuamini kama ndio hawa hawa walitaka kutoana meno na watu kisa Makinikia. Huwezi kuamini kama ndio hawa hawa walikuwa wakiwaita wazungu mabeberu.
Nimesema baadhi kwasababu nafahamu WanaCCM wengi sana ambao wapo kinyume na huu ujinga wa kuwapa bandari waarabu!
Na hili suala Mkuu watu wanalichukulia kimzaha lkn yaweza kuwa cheche au njiti ya kiberiti itakayokuja kuiteketeza msitu. Wacha waendelee kuziba masikio yao.
Ngoma inogile:
View attachment 2677538
Kwenu chawa na watajwa wote habari ndiyo hivyo.
View attachment 2677540
Rasilimali ni za wananchi. Kwenye hilo tutaelewana tu!
Kwa hiyo Tulia anatudanganya kuwa haya ni Makubaliano wakati huu ni mkataba
johnthebaptist, Pascal Mayalla na chawa wote Kuna wito wenu hapa:
Nimekubalia walioko segerea wameonewa.Hapo kinachotakiwa ni wafunguliwe kesi ya uhujumu uchumi
Hii kitu inatakiwa Emarate ishitakiwe kwa kuharibu umoja wetu watanzania... pumbavu sana madevu wa Dubai
Ni kawaida ya watanzania kuuliza badala kwa kujibu kwa hoja.Hii sheria yako ulisomea wapi?
Ni kawaida ya watanzania kuuliza badala kwa kujibu kwa hoja.
Mkuu kuna principles za sheria "you can't be a judge in your own case" unaipinga hiyo ? Nchi za Africa zote ukiondoa chache mhimili wa mahakama hauko independent uko entangled na executive, sio kweli?Ila ni kawaida ya wana wa nchi ipi kujifanya majaji na kubariki hukumu ba mahitimishi yao hata kwenye wasiyoyajua badala ya kujibu kwa hoja?
Ngoma inogile:
View attachment 2677538
Kwenu chawa na watajwa wote habari ndiyo hivyo.
View attachment 2677540
Rasilimali ni za wananchi. Kwenye hilo tutaelewana tu!
Furaha yangu Nchi ilipuke.