Wakili Mwakubusi: Vyama vya Upinzani kazi yao ni kufukuzia tu ubunge na ruzuku, haviwezi kulikomboa Taifa

Wakili Mwakubusi: Vyama vya Upinzani kazi yao ni kufukuzia tu ubunge na ruzuku, haviwezi kulikomboa Taifa

Hayo maswali kuhusu kuundwa kwa Chama ni mazuri Ukiwauliza Daktari Slaa au Mwabukusi.

Ukija kwenye agenda, naona unachanganya mambo, unataka kuminimise. manake Ukisema agenda yao ya Kutafuta haki kwa Wamasai ndugu zetu na kulinda Rasilimali(Bandari) sio za maana, ina maana hata ile 255 okoa Bandari sio ya maana. Nafikiri suala lipo wazi, DK Slaa na Mwabukusi wapo zaidi kuumulika Mkataba wa Bandari. Hao wengine wapo wanafanya Jogging na wengine kwenye Maridhiano. Yani wapo hawapo.
Kwenye mkataba wa bandari ni kipi cha maana walichofanya dr slaa na mwakubusi zaidi ya kupiga makelele kama wengine acha upotoshaji

Ntajia mambo ya maana waliyoyafanya dr slaa na mwakubusi kwenye mkataba wa bandari
 
Unajua ccm kamwe hawawez ruhusu katiba nzuri na bora, na tume huru sababu wakikubali tu ndo mwisho wao
Huwa kuna wakati najiuliza Katiba nzuri na bora ndio ipi? CHADEMA haijawahi kuni shawishi kwa hoja zao, na sababu zao za uhitaji wa Katiba nzuri na bora. Lakini huo ni mjadala mwingine. Nakubaliana na haya ya uwepo na Tume huru, itoshe nilikuwa kimbelembele hapa kusema 'tumepigwa changa na maridhiano na kwamba Katiba mpya haina mda, yaani haiwezekani kabla ya 2025 Nikapigwa madongo hapa.... hatahivyo walakini unakuja kwenye yale Maridhiano. Kuna nini nyuma ya pazia? Haijalishi.
Unajua mbadiliko yanahitaji support ya wananchi mfano angalia odinga kenya akisema kesho tunaandamana support wanakuja kwa wingi
Huwezi kuwa Unawatukana wananchi na kuwaita wapumbavu, wajinga , hawana akili n.k ukategemea watoke kuja kuku support, ulisikia wapi Odinga anasema nyie Wakenya ni wajinga ndio maana mnaibiwa? au Nyie masikini mnafukuzana na Upepo au Ruto ni Raisi anayefaa... au Ruto sio mzalendo na sisi ni Wazalendo zaidi seriously? Unategemea waru wakasirike kwa kutukanwa utegemee waje tu. Lazima uaminiwe na Upendwe and there is no two way about it. Its a zero sum game.
Swala la katiba bora au tume huru sio swala la chadema huu ndo ujinga ambao wewe na watanzania wengi mnao mfano kwenye ripoti ya CAG watu wamekula hela mpaka leo wapo ofisini hio ni kwa sababu ya katiba mbovu na mambo mengine mengi ya hovyo yanayofanya lakin huo mzigo kabebeshwa chadema pekee yake tena analaumiwa as if sisi wengine hayatuhusu hii nchi tuna safari ndefu sana
Sasa, ndio yale yale ninayoyasema unanitukana halafu unaomba support. Safari ndefu unayo wewe ndugu.
 
Kwenye mkataba wa bandari ni kipi cha maana walichofanya dr slaa na mwakubusi zaidi ya kupiga makelele kama wengine acha upotoshaji

Ntajia mambo ya maana waliyoyafanya dr slaa na mwakubusi kwenye mkataba wa bandari
Dkt Slaa na Mwabukusi ni CHADEMA au sio CHADEMA?
 
Nilishangaa sana kwanini ule moto wa bandari Chadema walikua nyuma nyuma sana?Watu wanapewa kesi ya UHAINI wao wapo wapo tu,mtu aseme Chadema ni chama cha SIASA?No,hili ni genge la wahuni.
Wakati wa huo moto wa bandari ww ulikuwa wapi? Na hakuna popote cdm walipinga mtu yoyote kupinga chochote. Wao waliendelea kupinga uhuni ule sambamba na ajenda zao nyingine. Bandari haikuwa ajenda Yao pekee, Bali ajenda ya bandari ilikuwa ni pekee kwa Slaa na mwabukusi. Jitahidi kutofautisha ajenda za chama, na za mtu binafsi. Au ulitaka cdm watumie approach ya Slaa kisha mje mseme hapa hawana ajenda Bali wanarukia matukio, sijui na porojo kama hizo?
 
Kwenye mkataba wa bandari ni kipi cha maana walichofanya dr slaa na mwakubusi zaidi ya kupiga makelele kama wengine acha upotoshaji

Ntajia mambo ya maana waliyoyafanya dr slaa na mwakubusi kwenye mkataba wa bandari
Anaitwa Mwabukusi sio Mwakubusi
 
Hayo maswali kuhusu kuundwa kwa Chama ni mazuri Ukiwauliza Daktari Slaa au Mwabukusi.

Ukija kwenye agenda, naona unachanganya mambo, unataka kuminimise. manake Ukisema agenda yao ya Kutafuta haki kwa Wamasai ndugu zetu na kulinda Rasilimali(Bandari) sio za maana, ina maana hata ile 255 okoa Bandari sio ya maana. Nafikiri suala lipo wazi, DK Slaa na Mwabukusi wapo zaidi kuumulika Mkataba wa Bandari. Hao wengine wapo wanafanya Jogging na wengine kwenye Maridhiano. Yani wapo hawapo.
Kwani wewe unadhani ni kwa nini Slaa na Mwabukusi hawaanzishi chama cha siasa wanabaki kulaumu tu vyama vilivyopo?
 
Kama wanafanya wanavyotaka na nyie wananchi mmeridhia msiwalaumu chadema ambao mnawaita matapeli
Tulieni sindani iwaingie ikiwemo ya mgao wa umeme
Hao CHADEMA umesikia hata wakiongelea mkataba wa DP WORLD au mgao wa umeme?
Tutafute njia nyingine za kupambana na CCM sio kutegemea hawa matapeli, wazee wa kucheza na fursa.
Uchaguzi wa 2015 ulionesha dhahiri jinsi tunavyo chezewa akili na hawa wahuni.
Vyama vya upinzani vilivyopo sasa vyote ni matawi ya CCM ili kuilinda isitoke madarakani.
 
Hao Wananchi hawawezi kuunda chama cha maana?
Naamini kitaundwa, ila sio rahisi kihivyo maana msajili wa vyama ni mteule wa mwenyekiti wa CCM.

Uchaguzi ujao wazalendo wa kweli wataungana kupambana na hawa wanasiasa wahuni.
Itatumika njia yoyote
 
Naamini kitaundwa, ila sio rahisi kihivyo maana msajili wa vyama ni mteule wa mwenyekiti wa CCM.

Uchaguzi ujao wazalendo wa kweli wataungana kupambana na hawa wanasiasa wahuni.
Itatumika njia yoyote
Visingizio tu hivi, kama wananchi wengi wanaichukia CCM kweli basi huyo msajili asingeweza kuwazuia kusajili chama cha siasa, shinikizo la wananchi lingefanyika na angekisajili chama kwa lazima tu

Wananchi wengi bado wana imani kubwa na CCM, na hawaamini kitatokea chama cha maana kuzidi CCM
 
Yupo sahihi 100%.Umesikia upinzani ukiongelea mgao wa umeme unaondelea?Umesikia upinzani ukipinga vikali mkataba wa bandari?Hii serikali ni ya ovyo kuwahi kutokea lakini upinzani upo kama haupo.
Ni kwa sababu n wao wamemegewa
 
Sio kila anayepinga Chadema ni ccm,wengine tumechoshwa na ufedhuri wa ccm lakini tukiangalia upinzani tunaona hawana la maana.
True kabisa wapinzani wakishaapata ruzuku huwa wanapumzika
 
Usianzishe mambo mapya,vipi kwanza yale maandamano yetu au mwezi bado haujakamilika?au CHADEMA wamekataa kukuunga mkono mshikaji wao?
 
Sio kila anayepinga Chadema ni ccm,wengine tumechoshwa na ufedhuri wa ccm lakini tukiangalia upinzani tunaona hawana la maana.
Hujachoshwa na ufedhuli we mzinzi na mlevi... wanaochoshwa na ufedhuli huingia barabarani bila vyama... endelea kuchakata mbususu kima wewe!
 
Wakati wa huo moto wa bandari ww ulikuwa wapi? Na hakuna popote cdm walipinga mtu yoyote kupinga chochote. Wao waliendelea kupinga uhuni ule sambamba na ajenda zao nyingine. Bandari haikuwa ajenda Yao pekee, Bali ajenda ya bandari ilikuwa ni pekee kwa Slaa na mwabukusi. Jitahidi kutofautisha ajenda za chama, na za mtu binafsi. Au ulitaka cdm watumie approach ya Slaa kisha mje mseme hapa hawana ajenda Bali wanarukia matukio, sijui na porojo kama hizo?
Hawa malaya wametumwa na bwana wao CCM kuuvuruga upinzani hasa CHADEMA maana message iliyotumwa na CDM toka kanda ya Victoria na Serengeti ni nzito sana kiasi cha kutuletea Naibu waziri mkuu!

Hizi kelele za akina Mwabukusi kuwa ni zaidi ya upinzani zinajulikana zinakotoka tusiwape airtime hao malaya.
 
Kuikomboa nchi si anaamanisha kuitoa CCM madarakani!! ? Sasa hapo CCM haiwezi kuingia tena sababu CCM tunaamini nchi hii iliisha kombolewa na ni nchi huru, anaananisha vyama vya upinzani

Ccm inaamini? Seriously
Hao wabunge wanaopitisha vitu vya ajabu ni wa chama gani?
Majority ya maamuzi ya hovyo nchi hii yanatokea kwa viongozi wa chama gani?

The truth is ccm kwenye hili ipo pia. Hizo narrative kuwa tuaamini hivi tunaini vile it all bullshit.
 
Mkuu Chadema ni Genge la matapeli. Na uelewe mimi sio CCM.Saizi Chadema ni tawi kificho la CCM ndio maana huwezi kuta wako na wananchi kupambana juu ya udharimu wa CCM.Mbowe na genge lake wamefeli, bora kije chama kingine cha upinzani. Haiwezekani Nchi yenye upinzani imara tukawa tunalala giza huku utawala unakuja na hoja za kipuuz.
Uko sahihi wanajaribu kufanya monopoly ya upinzani
 
Back
Top Bottom