Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
- Thread starter
-
- #201
Monopoly kivip mkuu, mbona vyama vya upinzani vipo vingi tu, sio Chadema pekeeUko sahihi wanajaribu kufanya monopoly ya upinzani
Resources.Kwani wewe unadhani ni kwa nini Slaa na Mwabukusi hawaanzishi chama cha siasa wanabaki kulaumu tu vyama vilivyopo?
Maana yake "ukuu" au "ukubwa" katika jamiiAhaa, maana yake ni nini mkuu?
Ukweli mtupu 100%"Vyama vyetu vya siasa nadhani aidha vimechoka sana vyote vinahitaji kupumzika au viongozi wake wamechoka sana wanahitaji kupumzika, na ndio maana wanapoteza ile hamu ya kulikomboa na kulisimamia taifa, wanakuwa watu wa kufukuzana na tuvyeo, ubunge, ruzuku, kugawana, kukaa kaa mezani.
Kila mmoja yuko bize, wanachotaka ni kugawana tu sio kupambana kwa ajili ya wananchi. Lakini kikubwa ninachojaribu kusema kwamba inawezekana katiba kupatikana bila wanasiasa.” – Wakili Boniphace Mwabukusi
Chanzo: Swahili Times
Watu wanawaza mambo ya mgom bea binafsi wewe bado unawaza wabunge.Hao wanaopinduaga serikali wanakuaga na wabunge wangapi?.Ukiwa smart wabunge ni kitu kidogo sana.Sawa.lakini kukiondoa chama madarakani should be a process angalau ya 10 years. Unaanza na kuwa na wabunge wengi ,then ndipo unaipata Kura nyingi za uraisi!!huwezi kusema utachukua Nchi bila ya kuwa na wabunge wengi
Ile siku 30 waliyotoaga yeye na akina Dkt Slaa haijaisha?! Au wanahesabu siku kwa kalenda gani?Huyu na genge lake wameshanunuliwa... Asitusumbue
Kwa bahati nzuri, Wakili Msomi kasema ukweli mtupu.Wakili Msomi na Mtetezi wa Tanganyika huru na Bandari zetu anasema vyama vyote vya Upinzani ni vitalu vya kuwindia Maokoto ya Ruzuku
Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
Very true, hata ajenda ya bandari ilikua makosa makubwa sana kuwaachia wanasiasa esp chadema kuisimamia."Vyama vyetu vya siasa nadhani aidha vimechoka sana vyote vinahitaji kupumzika au viongozi wake wamechoka sana wanahitaji kupumzika, na ndio maana wanapoteza ile hamu ya kulikomboa na kulisimamia taifa, wanakuwa watu wa kufukuzana na tuvyeo, ubunge, ruzuku, kugawana, kukaa kaa mezani.
Kila mmoja yuko bize, wanachotaka ni kugawana tu sio kupambana kwa ajili ya wananchi. Lakini kikubwa ninachojaribu kusema kwamba inawezekana katiba kupatikana bila wanasiasa.” – Wakili Boniphace Mwabukusi
Chanzo: Swahili Times
Yupo SAHIHI sanaaa.Anaanza kujifelisha mapema kwa kuwachokoza na kuanzisha vita na wanasiasa. come on adv.utakwama. dr slaa anakumisslead
Hapana.Huyo mwabukuzi kashalewa sifa, anaanza kuvamia watu. Watu walipopigwa risasi na kuvunjiwa vitega uchumi vyao alikuwa wapi?.
Mwamba nilikua napata walakini na wewe kwenye ule uzi wa Ukraine, baada ya kukusoma kwenye nyuzi mbili tatu tofauti nimegundua hamna kitu. Kuna uongo upi katika alichosema wakili?Kwa maneno hayo naona anaweza kupewa Kasi ya kijani wakati wowote.
Kuna vyama wanawindwa kama swala porini halafu yeye amekuja juzi TU anajitia anataka kuikomboa nchi..
Huyu Jamaa sijui anasubiri nini kuanzisha chama, angejizolea wafuasi lukuki!Haya aliyoyasema ni sahihi kabisa, hili tunaliona wananchi lakini je, tufanyaje? Mwambukusi hana chama lakini kiukweli namkubali sana. Hivyo sauti ya huyu mwamba itaeleweka pasipokuwa na chama!?
Kinachonishangaza ni watu Kila ukitajwa upinzani wazo linalowajia vichwani mwao ni CHADEMA.Huyu Jamaa sijui anasubiri nini kuanzisha chama, angejizolea wafuasi lukuki!
Kafika bei"Vyama vyetu vya siasa nadhani aidha vimechoka sana vyote vinahitaji kupumzika au viongozi wake wamechoka sana wanahitaji kupumzika, na ndio maana wanapoteza ile hamu ya kulikomboa na kulisimamia taifa, wanakuwa watu wa kufukuzana na tuvyeo, ubunge, ruzuku, kugawana, kukaa kaa mezani.
Kila mmoja yuko bize, wanachotaka ni kugawana tu sio kupambana kwa ajili ya wananchi. Lakini kikubwa ninachojaribu kusema kwamba inawezekana katiba kupatikana bila wanasiasa.” – Wakili Boniphace Mwabukusi
Chanzo: Swahili Times
Chaggademus is deadMonopoly kivip mkuu, mbona vyama vya upinzani vipo vingi tu, sio Chadema pekee