Wakili Mwambukusi huenda akashidwa kwenye kura uchaguzi wa TLS

Adv. @PKibatala, @AdvMahinyila, @Ntobi_, #Mtikila. The Legend at The Marz with DJ John Dilinger Matlou, Mikocheni.


We had a fantastic time yesterday. Spending quality time with good friends is the sole form of therapy. We came to a unanimous decision to support Mwabukusi.
 
Kwahiyo watamkwamisha kwa kueleza ukweli?
Nilitegemea mchawi akabidhiwe mwana ili tuone uwezo wake,sasa kama wanataka asiwe mwenyekiti wao basi wanaogopa asi wa-prove wrong
 
Bwashee ni mwaka mmoja tu. Akishinda kama ilivyo kwa tulia akson raisi wa CPU

Hii miamba miwili itakutana pale Jimbo la Mbeya mjini kwenye ubunge

Mmoja ni raisi wa CPU mwingine ni raisi wa TLS
Mkuu ni miaka mitatu. Mmoja ilikuwa kabla
 
huyu mwamba akishinda TLS itakuwa ni kama ameshinda urais wa JMT...kwa jinsi alivyo jasiri na kujiamini na anavyotetea wanyonge huko nje..ni balaa sana huyu
 


Wakili Boniface Mwabukusi akijibu maswali ya Chief Odemba wakati wa mdahalo kuelekea uchaguzi wa rais wa TLS, ambayo umepangwa kufanyika siku ya Jumanne...


View: https://m.youtube.com/watch?v=4UAp9ZZS_WU
 
Mawakili wengi sana walighairi kwenda Dodoma baada ya Mwambakusi kukatwa... kurejeshwa kwake ni shangwe na sasa inatosha kusema...tukutane Dodoma!
 
Sava bien et toi
 
Mmoja wa mawakili ambaye hakutaka jina lake litajwe amesema kuwa mawakili wengi wamejipanga kuhakikisha kuwa Mwambukusi hashindi kwenye uchaguzi huo
Sasa kama ni Chama cha Mawakili na umesema wengi wamepanga asishinde huoni kwamba kwa maneno machache umesema kwamba mawakili wengi hawataki ashinde hivyo wana haki ya kutokuongozwa na mtu wasiomtaka ?

Bora ungesema mawakili wanamtaka ila watu wa nje ndio wanamzibia cha muhimu uchaguzi huwe wa haki na atakayeshinda na ashinde..., hakuna mwenye hati miliki ya ushindi
 
Pamoja na watu wa nje kutomtaka kutokana na misimamo yake lakini pia kuna baadhi ya mawakili ambao ndio wapiga kura hawataki Mwambukusi ashinde hivyi wajipange kutomigia kura na kushawishi wenzao wengine wafanye hivyo
 
Pamoja na watu wa nje kutomtaka kutokana na misimamo yake lakini pia kuna baadhi ya mawakili ambao ndio wapiga kura hawataki Mwambukusi ashinde hivyi wajipange kutomigia kura na kushawishi wenzao wengine wafanye hivyo
Ila kama hawa ni wengi si ndio Demokrasia yenyewe ? Au wameshawishiwa kwa Mlungula and if that is the case hata Taasisi yenyewe itakuwa haina legitimacy....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…