Wakili Nassoro Katuga kuwa makini yasije kukukuta kama yaliyomkuta jaji aliyemuhukumu Sadam Hussein

Kumlaumu Katuga ni kumuonea tu.
Kumlaumu DPP ni kumuonea tu.

Labda kama tuwashangae tu kwa kukubali kuendelea kufanya kazi kwa kuingiliwa uhuru wao na wanasiasa. Kwa maoni yangu sidhani kama hii kesi wanaiendesha wakiwa huru.

​
 
Waache kazi!
 
Niko salama saaaana, njoo unuteke Illinois -USA
Walio Illinois wanajua kiswahili, hawaandiki "unuteke" badala ya 'uniteke' 😅
Btw, umesikia habari ya jamaa aliyeua kwa risasi huko Washington State akakimbia kuja Kenya na amedabwa?
 
Kumlaumu Katuga ni kumuonea tu.
Kumlaumu DPP ni kumuonea tu.

Labda kama tuwashangae tu kwa kukubali kuendelea kufanya kazi kwa kuingiliwa uhuru wao na wanasiasa. Kwa maoni yangu sidhani kama hii kesi wanaiendesha wakiwa huru.

​
Wako huru ndo maana alimwambia Lissu kuwa watamkomesha
 
Walio Illinois wanajua kiswahili, hawaandiki "unuteke" badala ya 'uniteke' 😅
Btw, umesikia habari ya jamaa aliyeua kwa risasi huko Washington State akakimbia kuja Kenya na amedabwa?
So Illinois tunatumia kiswahili, in USA you can run but you can't escape
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…