Poor him, mahakamani ndio kuna pesa na maujiko yote. Ila pia kama George Masaju na Elieza Feleshi waliweza kuwa ma AG hata kwake matumaini yapo.Yah,kweli nishawaona wengi
Ila kusimama mahakamani kipaji nacho mkuu
Nna jamaa yangu mmoja ni wakili yeye ni mzuri kwenue ku draft ila mahakamani hapawezi,issue kubwa ana kigugumizi 😄
Ova
Hili linawezekana kwa wakili?Hajawahienda hata law school
Duh..!
Tena JF lilikuwa soko lake zuri kama angekuwa na ile misimamo yake ya awali ya kutoa kavukavu kama kina Madeleka walivyo na soko kupitia X (Twitter zamani).Atakuwa hajapata wateja mkuu...nadhani soko ni gumu kwake sababu ya tabia yake ya ukigeugeu na kijikombakomba sana,hasa kwa Serikali.
Mimi ni Shahidi na Mlalamikaji niliyetetewa na Wakili Msomi Pascal MayallaSijaona haki yeyote ya mtu aliyoitetea
Kama Kuna ushaidi leta hapa
Kama na wewe kwa jina la Avatar yako una mponda...ndiye basi tenaWakili Pascal ana CV nene. Alisoma Ilboru na kupata division ONE. Hili huwa lazima aliseme. Pia kasoma UDSM na kufundishwa na spika kijana Tulia. Ni wakili mwenye uzoefu mkubwa wa kufeli kwenye ishu za kusaka fursa serikalini na CCM. Kila akijitokeza kuwania nafasi fulani lazima apigwe chini fasta. Mikeka yote ya Ikulu huwa wanasahau kuweka jina lake.
JFMimi ni Shahidi na Mlalamikaji aliyetetewa na Wakili Msomi Pascal Mayalla
Ilikuwa hivi, yaani nilipeleka Ng'ombe yangu ikapandwe kwa Ng'ombe Dume wa jirani yangu anayeishi kijiji jirani namimi pale Nkungulyabashashi...jirani akanifanyia uhuni wa mjini yaani Akanibadilishia Dume la Ng'ombe na kumpandisha Ng'ombe wangu kwa kadume kadhaifu ambako pia hamkuridhisha Ng'ombe wangu na sidhani kama aliingiza mbegu ndani
Nilipeleka malalamiko kwa Balozi na kwa Mwenyekiti wa kijiji, wakashindwa kesi nikapeleka kesi ofisi ya Kata...kisha Afisa Mtendaji akanishauri nikafungue jalada mahakamani na nimtafute Mwanasheria...
LA HAULA, Mungu si Athumani, nikakutana na Wakili Pascal Mayalla, naye akanishauri nisubiri ngombe ashike mimba na azae Mtoto kisha tuangalie kama atafanana na Dume lipi na hapo tutapata Ushahidi utaonipa nguvu ya kushinda kesi katika mahakama ya Wilaya alisisitiza
Ndugu yangu na Wakili Pascal Mayalla nakushukuru sana Ngosha
Lakini mimi sikutaka tufike hukuMimi ni Shahidi na Mlalamikaji aliyetetewa na Wakili Msomi Pascal Mayalla
Ilikuwa hivi, yaani nilipeleka Ng'ombe yangu ikapandwe kwa Ng'ombe Dume wa jirani yangu anayeishi kijiji jirani namimi pale Nkungulyabashashi...jirani akanifanyia uhuni wa mjini yaani Akanibadilishia Dume la Ng'ombe na kumpandisha Ng'ombe wangu kwa kadume kadhaifu ambako pia hamkuridhisha Ng'ombe wangu na sidhani kama aliingiza mbegu ndani
Nilipeleka malalamiko kwa Balozi na kwa Mwenyekiti wa kijiji, wakashindwa kesi nikapeleka kesi ofisi ya Kata...kisha Afisa Mtendaji akanishauri nikafungue jalada mahakamani na nimtafute Mwanasheria...
LA HAULA, Mungu si Athumani, nikakutana na Wakili Pascal Mayalla, naye akanishauri nisubiri ngombe ashike mimba na azae Mtoto kisha tuangalie kama atafanana na Dume lipi na hapo tutapata Ushahidi utaonipa nguvu ya kushinda kesi katika mahakama ya Wilaya alisisitiza
Ndugu yangu na Wakili Pascal Mayalla nakushukuru sana Ngosha
Sahivi amekuwa kupe wa CCMAnasubiri kesi zitakazoihusu Chadema na Mbowe.
AaahaaaMimi ni Shahidi na Mlalamikaji aliyetetewa na Wakili Msomi Pascal Mayalla
Ilikuwa hivi, yaani nilipeleka Ng'ombe yangu ikapandwe kwa Ng'ombe Dume wa jirani yangu anayeishi kijiji jirani namimi pale Nkungulyabashashi...jirani akanifanyia uhuni wa mjini yaani Akanibadilishia Dume la Ng'ombe na kumpandisha Ng'ombe wangu kwa kadume kadhaifu ambako pia hamkuridhisha Ng'ombe wangu na sidhani kama aliingiza mbegu ndani
Nilipeleka malalamiko kwa Balozi na kwa Mwenyekiti wa kijiji, wakashindwa kesi nikapeleka kesi ofisi ya Kata...kisha Afisa Mtendaji akanishauri nikafungue jalada mahakamani na nimtafute Mwanasheria...
LA HAULA, Mungu si Athumani, nikakutana na Wakili Pascal Mayalla, naye akanishauri nisubiri ngombe ashike mimba na azae Mtoto kisha tuangalie kama atafanana na Dume lipi na hapo tutapata Ushahidi utaonipa nguvu ya kushinda kesi katika mahakama ya Wilaya alisisitiza
Ndugu yangu na Wakili Pascal Mayalla nakushukuru sana Ngosha
Amepewa kitengo Gani?Ni chawa wa CCM sahivi anakula asali
Huyo ni kada hawezi kuwa against CCM,Habari wana ndugu
Habari zinasema mwanahabari mwandamizi Pasco Mayala ni wakili msomi.
Kumekuwa na kesi mbalimbali zinazovuta hisia za watu ikiwemo zile kesi ambazo mawakili maarufu kama Madeleke, Kibatala, Matata hutokea kusaidia jamii ili kuweka mambo sawa na kuondoa uonevu kwa jamii inayoonewa na mafisadi. Lakini kwenye kesi hizi hatumsikii Pasco
Sasa najiuliza, yeye Pasco ameshinda kesi zipi?
Au bado yupo intern sehemu?
Au anaishia kugongesha mihuli tu kwenye mikataba ya mauziano ya mashamba na viwanja, ku certfy vyeti na kutengeneza Affidavit?
Naomba kuuliza Pascal Mayalla