Wakili Pasco Mayala ameshinda kesi zipi, au anaishia kugongesha muhuri mauziano ya viwanja tu?

Yah,kweli nishawaona wengi
Ila kusimama mahakamani kipaji nacho mkuu
Nna jamaa yangu mmoja ni wakili yeye ni mzuri kwenue ku draft ila mahakamani hapawezi,issue kubwa ana kigugumizi 😄

Ova
Poor him, mahakamani ndio kuna pesa na maujiko yote. Ila pia kama George Masaju na Elieza Feleshi waliweza kuwa ma AG hata kwake matumaini yapo.
 
Atakuwa hajapata wateja mkuu...nadhani soko ni gumu kwake sababu ya tabia yake ya ukigeugeu na kijikombakomba sana,hasa kwa Serikali.
Tena JF lilikuwa soko lake zuri kama angekuwa na ile misimamo yake ya awali ya kutoa kavukavu kama kina Madeleka walivyo na soko kupitia X (Twitter zamani).
Alivyo amua kubadili tabia na kusifia sifia kama kina Lucas Mwashambwa basi akajiharibia kila kitu. Acha aendelee kutangaza mabanda ya Sabasaba ila huko nako mvuto umepotea maana style zake ni old-fashioned
 
Wakili Pascal ana CV nene. Alisoma Ilboru na kupata division ONE. Hili huwa lazima aliseme. Pia kasoma UDSM na kufundishwa na spika kijana Tulia. Ni wakili mwenye uzoefu mkubwa wa kufeli kwenye ishu za kusaka fursa serikalini na CCM. Kila akijitokeza kuwania nafasi fulani lazima apigwe chini fasta. Mikeka yote ya Ikulu huwa wanasahau kuweka jina lake.
 
Sijaona haki yeyote ya mtu aliyoitetea

Kama Kuna ushaidi leta hapa
Mimi ni Shahidi na Mlalamikaji niliyetetewa na Wakili Msomi Pascal Mayalla

Ilikuwa hivi, yaani nilipeleka Ng'ombe yangu ikapandwe kwa Ng'ombe Dume wa jirani yangu anayeishi kijiji jirani namimi hapa Nkungulyabashashi...jirani akanifanyia uhuni wa mjini yaani Akanibadilishia Dume la Ng'ombe na kumpandisha Ng'ombe wangu kwa kadume kadhaifu ambako pia hamkuridhisha Ng'ombe wangu na sidhani kama aliingiza mbegu ndani

Nilipeleka malalamiko kwa Balozi na kwa Mwenyekiti wa kijiji, wakashindwa kesi nikapeleka kesi ofisi ya Kata...kisha Afisa Mtendaji akanishauri nikafungue jalada mahakamani na nimtafute Mwanasheria...

LA HAULA, Mungu si Athumani, nikakutana na Wakili Pascal Mayalla, naye akanishauri nisubiri ngombe ashike mimba na azae Mtoto kisha tuangalie kama atafanana na Dume lipi na hapo tutapata Ushahidi utaonipa nguvu ya kushinda kesi katika mahakama ya Wilaya alisisitiza

Ndugu yangu na Wakili Pascal Mayalla nakushukuru sana Ngosha
 
Wakili Pascal ana CV nene. Alisoma Ilboru na kupata division ONE. Hili huwa lazima aliseme. Pia kasoma UDSM na kufundishwa na spika kijana Tulia. Ni wakili mwenye uzoefu mkubwa wa kufeli kwenye ishu za kusaka fursa serikalini na CCM. Kila akijitokeza kuwania nafasi fulani lazima apigwe chini fasta. Mikeka yote ya Ikulu huwa wanasahau kuweka jina lake.
Kama na wewe kwa jina la Avatar yako una mponda...ndiye basi tena
 
Mimi ni Shahidi na Mlalamikaji aliyetetewa na Wakili Msomi Pascal Mayalla

Ilikuwa hivi, yaani nilipeleka Ng'ombe yangu ikapandwe kwa Ng'ombe Dume wa jirani yangu anayeishi kijiji jirani namimi pale Nkungulyabashashi...jirani akanifanyia uhuni wa mjini yaani Akanibadilishia Dume la Ng'ombe na kumpandisha Ng'ombe wangu kwa kadume kadhaifu ambako pia hamkuridhisha Ng'ombe wangu na sidhani kama aliingiza mbegu ndani

Nilipeleka malalamiko kwa Balozi na kwa Mwenyekiti wa kijiji, wakashindwa kesi nikapeleka kesi ofisi ya Kata...kisha Afisa Mtendaji akanishauri nikafungue jalada mahakamani na nimtafute Mwanasheria...

LA HAULA, Mungu si Athumani, nikakutana na Wakili Pascal Mayalla, naye akanishauri nisubiri ngombe ashike mimba na azae Mtoto kisha tuangalie kama atafanana na Dume lipi na hapo tutapata Ushahidi utaonipa nguvu ya kushinda kesi katika mahakama ya Wilaya alisisitiza

Ndugu yangu na Wakili Pascal Mayalla nakushukuru sana Ngosha
JF
 
Kuwa "PROBONO" lawyer ni option. Hata hivyo wanaojitokeza kwenye hizo kesi za kuvuta hisia wanataguta kiki au kuchangiwa KLABU HAUSI na AKINA DAYASIPORO. There is no free lunch
 
Mimi ni Shahidi na Mlalamikaji aliyetetewa na Wakili Msomi Pascal Mayalla

Ilikuwa hivi, yaani nilipeleka Ng'ombe yangu ikapandwe kwa Ng'ombe Dume wa jirani yangu anayeishi kijiji jirani namimi pale Nkungulyabashashi...jirani akanifanyia uhuni wa mjini yaani Akanibadilishia Dume la Ng'ombe na kumpandisha Ng'ombe wangu kwa kadume kadhaifu ambako pia hamkuridhisha Ng'ombe wangu na sidhani kama aliingiza mbegu ndani

Nilipeleka malalamiko kwa Balozi na kwa Mwenyekiti wa kijiji, wakashindwa kesi nikapeleka kesi ofisi ya Kata...kisha Afisa Mtendaji akanishauri nikafungue jalada mahakamani na nimtafute Mwanasheria...

LA HAULA, Mungu si Athumani, nikakutana na Wakili Pascal Mayalla, naye akanishauri nisubiri ngombe ashike mimba na azae Mtoto kisha tuangalie kama atafanana na Dume lipi na hapo tutapata Ushahidi utaonipa nguvu ya kushinda kesi katika mahakama ya Wilaya alisisitiza

Ndugu yangu na Wakili Pascal Mayalla nakushukuru sana Ngosha
Lakini mimi sikutaka tufike huku
 
Aaahaaa

Huyo ng'ombe alishazaaa?
 
Habari wana ndugu
Habari zinasema mwanahabari mwandamizi Pasco Mayala ni wakili msomi.
Kumekuwa na kesi mbalimbali zinazovuta hisia za watu ikiwemo zile kesi ambazo mawakili maarufu kama Madeleke, Kibatala, Matata hutokea kusaidia jamii ili kuweka mambo sawa na kuondoa uonevu kwa jamii inayoonewa na mafisadi. Lakini kwenye kesi hizi hatumsikii Pasco

Sasa najiuliza, yeye Pasco ameshinda kesi zipi?
Au bado yupo intern sehemu?
Au anaishia kugongesha mihuli tu kwenye mikataba ya mauziano ya mashamba na viwanja, ku certfy vyeti na kutengeneza Affidavit?

Naomba kuuliza Pascal Mayalla
Huyo ni kada hawezi kuwa against CCM,
 
Mwacheni aiseh mwacheni zile "voices from within " zinatosha kabisa kuwa hata namba moja sio uwakili msomi tu!!!

Moja kati ya watu makini wenye Bongo zinazosafiri mbele Kwa Kasi ya kipekee ni huyu jamaa!!!

"Could be john pombe Joseph magufuli"mgombea urais 2015!!!

Tena "mpango ndio mpango mzima"

"Japo tumeamua kwenda na mwanamke ,lakini amuachie kwanza mwanamme halafu ndio tuje na mwanamke !!!

Pascal mayala!
 
Mzee wangu pasco, ni moja kati ya watu muhimu na wenye upeo mkubwa hapa Jukwaani. Kiufupi ni hazina.

Japokuwa tunaweza kutofautiana mitazamo ila yuko vizuri sana.

Nadhani tatizo tunaliona kwake ni sababu ya KAZI anayoifanya.
Huwa ana jaribu kuwa neutral ila ndio hivyo.
 
Back
Top Bottom