Wakili Peter Madeleka akamatwa na polisi baada ya Mahakama Kuu kufuta Plea Bargain aliyoingia na DPP


Sasa Madeleka anaweza kuwa mjinga kuropoka that much wakati ajamalizia kulipa? Atakuwa mpumbavu wa karne
 
Wengi waliohoji bandari wanashughulikiwa....


Mimi mwenyewe nimeshaanza kupokea simu zisizoeleweka.

Siogopi
 
Aliyejuu ya serikali ni Mungu tu.

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Shida ni jeshi la polisi kuwa chini ya amri ya hawa wezi. Tukiwa makini na uandishi wa katiba haya yote tutaweza kuwadhibiti hawa wanasiasa chafu. Shida inakuja ni wana mamlaka juu ya polisi. So hata polisi akiwa na discipline na akatumia common sense bado sheria za kazi zinambana.
 
Polisi ndiyo wamefuta plea bargain?
 
Ile ilikuwa ripoti ya jumla. Mama kawapa tume majukumu mapya, kawaambia wajigawe kila kundi na specialisation yake na.kila kundi waje na recommendations na wahakikishe zinafanyiwa kazi.

Mama hatua zake faster, hakuna ngoja ngoja.

Watu wanaomtanguliza Mwenyezi Mungu wapo hivyo.
 
Kwani baada ya "plea bargain" kwa baadhi ya watuhumiwa tuliambiwa WENGINE hawakumaliza KULIPA MADENI YAO....

WENGINE hawakumaliza MADENI YAO.......

WENGINE hawakumaliza MADENI YAO......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…