Wakili Peter Madeleka: Freeman Mbowe amechanganywa na wafungwa wanaosubiri kunyongwa gerezani

Roho hiyo wameipanda chadema. Walivyoanza kumbip sasa kawapigia wanalia. Wanataka wapewe nn jaman, si tulisema ni mpole apende asipende atatupa katiba mpya? 😁😂🤣
Mbona gwajima na sirro wamemvimbia hadharani na hamna alichowafanya?

Mama nampenda mno ila kwa hili la mbowe nitampinga mno
 
CCM wanawayawaya....nchi ishawashinda. Wanafikiri wanaweza ku frustrate hawa watu wasio na uwezo wa kuandika hata hati ya mashtaka kikamilifu.
 
Yatapita tu, tuwe wavumilivu
 
Kama Mbowe yuko kwa wanaongojewa kunyongwa wanampa psychological torture avunjike moyo. Lakini pia itakuwa ni amri ya Rais Samia. Yaani amewatoa magerezani watuhumiwa wa ugaidi toka Zanzibar (wa dini yake)harakaharaka na kumrukia Mbowe (sio wa dini yake) kwa tuhuma za kutunga. Ni siasa mbaya anacheza! Viongozi wa dini wote, hasa wa dini ya Mbowe msinyamazie uonevu mkubwa kiasi hiki. Msikimbie wito wenu wa kutafuta haki. Mkichelewa, hamtakwepa hukumu pia na Amani haitakuwepo. Usiku umeendelea sana....
 
Huyo wakili ni mwongo mnafiki huyo amepews chumba cha V.I.P
 
Viongozi wa aina ya Samia na Alhaji Mwinyi sawa tu.
Mwinyi alinyonga watu wengi sana, mpaka alifufua vitanzi vingi, nakumbuka mimi alifufua KITANZI CHA MAWENZI na kuna mtu namfahamu inasemekana alinyongwewa maweni Tanga.
 
Tatizo anadaije?

Hata mimi mwananchi wa kawaida sikupenda sauti ya kibabe wakati utulivu ungeweza kuwa na nguvu zaidi.Ajifunze kuacha dharau huyu jamaa

Tunaomba clip ya hiyo sauti ya kibabe mkuu? No evidence no right to condemn. Ok assume basi katumia sauti hiyo unayoita ya kibabe je hilo ni kosa kwa mujibu ya sheria zetu? Unaweza kutusaidia kifungu cha hiyo sheria?
 
Aibu yenu MATAGA!
Wanaharakati mara nyingi wakifanya makosa na kuingia kwenye 18 za jela huzusha jambo la uongo la ajabu ili wapate sympathy kutoka kwa jamii na kuzua taharuki sii unakumbuka uamsho walizusha nini walipokuwa jela? Hivyo hata hili la mbowe ni uzushi ule ule tuu
 
Anasema hajaonana nae halafu anasema kawekwa na watu wanaoaubiri kunyongwa, sasa hilo kajiaje kama hajaonana na Mbowe?

Ifahamike sitetei haya anayofanyiwa Mbowe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…