Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Hakuna mwenye picha zaidi ya blaa blaa tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna mwenye picha zaidi ya blaa blaa tu
Mbona gwajima na sirro wamemvimbia hadharani na hamna alichowafanya?Roho hiyo wameipanda chadema. Walivyoanza kumbip sasa kawapigia wanalia. Wanataka wapewe nn jaman, si tulisema ni mpole apende asipende atatupa katiba mpya? 😁😂🤣
Kama hiyo amri imetolewa na Rais, basi huyu Mama ni shetani ambaye hatujawahi kumshuhudia.Nawaambia hivi huyu mama ana roho mbaya sana, Kweli sura siyo roho.
Kwa jina la mwenyezi Mungu, huyo anayemtendea hivyo, atakufa kabla ya Mbowe.Anaandaliwa mazingira ya kufia mahabusu!kwanza kifo cha kiakili na kisaikolojia halafu akate tamaa afe kiroho baadae kimwili hata kwa homa ndogo tu ichukue uhai wake!!!
Yatapita tu, tuwe wavumilivuHii imenishtusha sana.
Wakili amekwenda kumtembelea mheshimiwa Mbowe huko jela, na cha ajabu amewekwa sehemu ambayo hukaa wafungwa wanaosubiri kunyongwa. Mheshimiwa Mbowe hajahukumiwa mahakama yoyote lakini anakuwa treated vibaya sana.
Kwa kweli huu ni ukatili usio na kifani.
Kosa la mheshimiwa Mbowe ni kudai katiba mpya tu, kitu ambacho kimsingi kipo kwa mujibu wa sheria, maana kuna sheria ya mabadiliko ya katiba ya mwaka 2012.
Kwa kweli sikudhani kuwa serikali hii ingekuwa katili kiasi hiki.
But hebu ngoja tuone mwisho wake.
-----------------------------------------------------
Anaandika Wakili Peter Madeleka
Serikali ya SSH inafanya mambo yasiyokubalika kwa Freeman Aikael Mbowe.
Nilienda gereza la Ukonga na kwa bahati mbaya Sana nilikataliwa kumuona Mbowe Ingawa ninafahamika mimi ni wakili na nimeenda pale kwa mambo ya kisheria.
Kitu Cha ajabu imetolewa amri kutoka sehemu fulani na uongozi wa magereza umemtenga Mbowe na mahabusu wenzake na badala yake amewekwa pamoja na wafungwa wanaosubiri kunyongwa
Hii haikubaliki na ni Lazima kila mtu apige Kelele kwa anachofanyiwa Mbowe
View attachment 1928334
Huyu mama muache tu ....muda utaingea haendi popote na ushauri kipuuzi anaukumbatiaWahusika wataondoka kama alivyoondoka Mwendazake.
Na mheshimiwa Sabaya je?
Hili limama lishetani kabisa
Aibu yenu MATAGA!Huyo wakili ni mwongo mnafiki huyo amepews chumba cha V.I.P
Tatizo anadaije?
Hata mimi mwananchi wa kawaida sikupenda sauti ya kibabe wakati utulivu ungeweza kuwa na nguvu zaidi.Ajifunze kuacha dharau huyu jamaa
Ishakuwa hivyo tena?Huyu mama ndie alikuwa anamwambia meko fanya hivi Fanya vile sasa kashika usukani
Wanaharakati mara nyingi wakifanya makosa na kuingia kwenye 18 za jela huzusha jambo la uongo la ajabu ili wapate sympathy kutoka kwa jamii na kuzua taharuki sii unakumbuka uamsho walizusha nini walipokuwa jela? Hivyo hata hili la mbowe ni uzushi ule ule tuuAibu yenu MATAGA!
Nahuko Marekani Atakutana na MABANGONawaambia hivi huyu mama ana roho mbaya sana, Kweli sura siyo roho.
Na huko Marekani yaandaliwe MABANGO pindi tu akituwa huko..Wahusika wataondoka kama alivyoondoka Mwendazake.