PostGE2025 Wakili Revocatus Kuuli: Hakuna nchi yoyote Mwanachama wa ICC inaweza kukwepa kuchunguzwa

PostGE2025 Wakili Revocatus Kuuli: Hakuna nchi yoyote Mwanachama wa ICC inaweza kukwepa kuchunguzwa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Bagamoyo

Platinum Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
32,522
Reaction score
37,398
Akiongea na Wakili TV Revocatus Kuuli wakili wa mahakama ya ICC amesema "Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) inaweza kumshtaki hata Rais akiwa madarakani"




  • Afafanua hali hiyo,
  • je wafungwa waliopatikana na hatia wanapelekwa jela ipi
  • Fedha za kuendesha kesi ICC hutoka wapi
  • Mawakili wa wahanga yaani victim counsel
  • Wakili Mshtakiwa fDefence counsel
  • ICC inawalipia gharama za mawakili wa, wahanga pia mawakili wa washtakiwa ikiwa hawana uwezo
  • Pia mshtakiwa au mhanga kama ana uwezo anaweza kuajiri wakili wake binafsi
  • Kulipa fidia watu walioathirika Victim compensation fund
  • Kufuatilia malipo ikiwemo kufilisi mali za mshtakiwa aliyepatikana na hatia kufidia waathirika yaani Reparation
  • N.k
 
PART 1 MAHAKAMA YA ICC ELIMU MAHAKAMA YA UHALIFU WA KIBINADAMU, UHALIFU WA KIVITA, UVAMIZI WA NCHI NYINGINE, WATU WENYE KINGA YA KUFIKIWA KIMASHTAKA KTK MATAIFA YAO N.K



View: https://m.youtube.com/watch?v=zrChZVdxHi8
Revocatus Lubigili Kimbwe Kuuli. LLM, PGD, LLB (Hons) (DAR) Advocate.

Uhalifu gani :
  • Genocide mauaji
  • War crime makosa ya kivita
  • Uhalifu dhidi ya binadamu
  • Aggression/ uvamizi
Wakili pekee wa Tanzania anayetambulika na Mahakama ya ICC anafafanua United Nation charter / mamlaka ya kuingilia na kushitaki popote duniani kwa madhila yanayofanya na nchi mwanachama

1998 Rome Statute kama treaty law nchi 160 zilikutana 2002 waliosaini kukubali ICC ifanye kazi katika nchi 125 na Tanzania ilikubali sheria hii itumike kwa makosa ndani ya Tanzania kama yalivyoainishwa na tamko la Rome Statute
Kazi zake ICC tangu 1980 uhalifu wa Bosnia Herzegovina, Rwanda kutokana na mauaji ya Nuremberg na Tokyo mwaka 1948 ..
 
Screenshot_20251120-220343~2.png
 
Sauti zazidi kutaka uwajibikaji wa watawala waliohusika na mauaji



View: https://m.youtube.com/watch?v=Wzf5gtIOc0E

On November 11, 2025, the United Nations openly demanded a comprehensive investigation into the killing of numerous protesters in Tanzania during the recent disputed elections. UN Human Rights Chief, Volker Türk, expressed deep concern over what he described as “an apparent attempt by the government to conceal evidence” regarding the deaths of protesters.

Türk stressed the urgency of transparency and accountability, emphasizing the need for the authorities to release the bodies of the deceased to their families for proper funerals. “Reports of families desperately searching everywhere for their loved ones, visiting one police station after another and one hospital after another are harrowing,” he said.The situation in Tanzania highlights the grim reality facing many countries where protests meet violent crackdowns.

Following the October 29, 2025 elections, widespread demonstrations erupted, met by security forces with lethal force.
 

November 2025​

Sayansi ya Siasa Inatufundisha Nini Kuhusu Uchaguzi feki na Vuguvugu la Maandamano Tanzania​



View: https://m.youtube.com/watch?v=vxngqoBKIIs

Professor Constantine Manda wa sayansi ya siasa political science chuo kikuu cha University of California, Irvine nchini Marekani anadadavua utamaduni wa kutoandamana kuvunjwa na sababu zake

Je kwa mara ya kwanza katika uchaguzi mkuu wa vyama vingi tangu kuanzishwa 1992 , kufungiwa chama kikuu cha upinzani CHADEMA na pia kuzuiliwa kwa wagombea wakubwa kama Tundu Lissu na Luhanga Mpina ndiyo vilichochea maandamano ?
Je maandamano ya tarehe 29 October 2025 yamemalizwa kabisa kwa kutambulika kama tamati ya episode au kuna uwezekano wa maandamano mengine kutokea hivyo kuwa episode namba 2, hata 3 na kuendelea yaani maandamano yasiyo na kikomo ?

Je diaspora ndiyo waanzilishi wa maandamano haya ya tarehe 29 October 2025 au ni vijana wenyewe GenZ ndani ya Tanzanoa ndiyo wahusika wakuu ?

Tetesi za dola kufungia akaunti za kibenki za diaspora zilizopo katika mabenki ya Tanzania, mali zao diaspora zilizopo Tanzanoa kutaifishwa je ni kweli serikali gandamizi imeanza kutekeleza hayo kwa sababu ya uwoga wa watawala?

Jakaya Kikwete na mchango wake wa kiushawishi kwa Samia Suluhu Hassan katika siasa za Tanzania

Mchango wa TPDF / JWTZ , POLISI, Vyombo vingine na the elite (watu wenye ushawishi) ndiyo wamewezesha dola kutekwa (state capture) na genge la wachache ndani ya CCM

Uwezekano wa mapinduzi katika nchi mbalimbali husababishwa na mambo mengi ya kimkakati kama ...

Constantine Manda, UCI assistant professor of political science, studies religiosity in Africa and its political and economic implications.
 
Akiongea na Wakili TV Revocatus Kuuli wakili wa mahakama ya ICC amesema "Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) inaweza kumshtaki hata Rais akiwa madarakani"




  • Afafanua hali hiyo,
  • je wafungwa waliopatikana na hatia wanapelekwa jela ipi
  • Fedha za kuendesha kesi ICC hutoka wapi
  • Mawakili wa wahanga yaani victim counsel
  • Wakili Mshtakiwa fDefence counsel
  • ICC inawalipia gharama za mawakili wa, wahanga pia mawakili wa washtakiwa ikiwa hawana uwezo
  • Pia mshtakiwa au mhanga kama ana uwezo anaweza kuajiri wakili wake binafsi
  • Kulipa fidia watu walioathirika Victim compensation fund
  • Kufuatilia malipo ikiwemo kufilisi mali za mshtakiwa aliyepatikana na hatia kufidia waathirika yaani Reparation
  • N.k
Tunaisubiri hiyo ICC lakini wale jamaa hawaachi kuhonga ma wakachomoa
 
Tunaisubiri hiyo ICC lakini wale jamaa hawaachi kuhonga ma wakachomoa

Samia na genge lake wataandikiwa historia ya rais wa pili baada ya Charles Taylor kutiwa hatiani na kukatiwa kifungo kirefu cha gerezani

CHARLES TAYLOR AKIJITETEA MBELE YA MAHAKAMA YA ICC MWAKA 2012
The ICC Prosecutor v. Charles Ghankay Taylor. ... International Criminal Court Documents. [ + ]. Other International ..

View: https://m.youtube.com/watch?v=E0ip-74e-pI
The United Nations-backed Special Court for Sierra Leone (SCSL) today (30 May) sentenced convicted former Liberian President Charles Taylor to 50 years in prison

ICC pia ina mamlaka ya kutaifisha mali za waliotiwa hatiani kufikia waathirika, hivyo nyumba za Samia zilizopo kijiji cha Kizimkazi ZNB, Mbweni DSM, Muscat Oman, Dubai n.k zitataifishwa

TOKA MAKTABA :


Toka maktaba :

14 June 2023

NDANI YA KASRI LA MBABE WA KIVITA NA ALIYEKUWA RAISI WA LIBERIA CHARLES G TAYLOR HOUSE


View: https://m.youtube.com/watch?v=8inadNWPsUY
katika video ya leo nimetembelea jumba kubwa mfano wa hekalu / kasri lililojengwa na Rais wa Zamani wa Liberia mbabe wa kivita Charles G. Taylor House katika mji aliozaliwa wa Arthington Liberia. Charles G. Taylor alikuwa Rais wa 22 wa Jamhuri ya Liberia.
 
Back
Top Bottom