November 2025
Sayansi ya Siasa Inatufundisha Nini Kuhusu Uchaguzi feki na Vuguvugu la Maandamano Tanzania
View: https://m.youtube.com/watch?v=vxngqoBKIIs
Professor Constantine Manda wa sayansi ya siasa political science chuo kikuu cha University of California, Irvine nchini Marekani anadadavua utamaduni wa kutoandamana kuvunjwa na sababu zake
Je kwa mara ya kwanza katika uchaguzi mkuu wa vyama vingi tangu kuanzishwa 1992 , kufungiwa chama kikuu cha upinzani CHADEMA na pia kuzuiliwa kwa wagombea wakubwa kama Tundu Lissu na Luhanga Mpina ndiyo vilichochea maandamano ?
Je maandamano ya tarehe 29 October 2025 yamemalizwa kabisa kwa kutambulika kama tamati ya episode au kuna uwezekano wa maandamano mengine kutokea hivyo kuwa episode namba 2, hata 3 na kuendelea yaani maandamano yasiyo na kikomo ?
Je diaspora ndiyo waanzilishi wa maandamano haya ya tarehe 29 October 2025 au ni vijana wenyewe GenZ ndani ya Tanzanoa ndiyo wahusika wakuu ?
Tetesi za dola kufungia akaunti za kibenki za diaspora zilizopo katika mabenki ya Tanzania, mali zao diaspora zilizopo Tanzanoa kutaifishwa je ni kweli serikali gandamizi imeanza kutekeleza hayo kwa sababu ya uwoga wa watawala?
Jakaya Kikwete na mchango wake wa kiushawishi kwa Samia Suluhu Hassan katika siasa za Tanzania
Mchango wa TPDF / JWTZ , POLISI, Vyombo vingine na the elite (watu wenye ushawishi) ndiyo wamewezesha dola kutekwa (state capture) na genge la wachache ndani ya CCM
Uwezekano wa mapinduzi katika nchi mbalimbali husababishwa na mambo mengi ya kimkakati kama ...
Constantine Manda, UCI assistant professor of political science, studies religiosity in Africa and its political and economic implications.