Cherenganya
JF-Expert Member
- Jan 21, 2018
- 2,309
- 1,785
Nimemsikia akiipangia mahakama Cha kufanya. Hii ni style mpya na sijui itamfikisha wapi?
Anasema "kisutu nitakuja lakini no baada ya kujiridhisha kwamba Jambo hili la KIKATIBA ambalo linakuja kila baada ya miaka mitano ninajidhirisha kwamba Jambo hili limekamilika kikamilifu"
"Nawaomba Watanzania walio Dar es Salaam na mikoa jirani wajitokeze kwa wingi Kisutu siku ya jumatano"
Nimetafakari sana na kujiridhisha kwamba Tundu Lissu hayuko peke yake nyuma ya kauli na matendo take wapo watu wengi nyuma yake wasioitakia mema Tanzania na yeye ni kama chambo.
Aidha kwako Mwenyekiti Mbowe huyu Bwana kaja kukupaka kinyesi na kukipaka chama kinyesi hana Shida ya kuwa Rais wa Tanzania kwakua anajua Hilo haliwezekani, bali kaja kutumia CHADEMA Kama Daraja la kupata kile walichokipanga na walio nyuma yake.
Tahadhari Chama chako kisije kubeba dhima ya historia mbaya ya Udalali wa nchi yako kwa wazungu.
Mwisho, nijikumbushe pamoja na kuwakumbusha Watanzania wenzangu kwamba Tanzania ni kubwa kuliko mtu.
Wasalam