Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo amsterdam ni nchi?Tanzania ni nchi dhaifu sana linapokuja suala la kupambana na giant countries labda kama huijui dunia vizuri.
Mwambie huyo!Endelea kuota.. Kama ambavyo mnasemaga kuwa serikali ina mkono mrefu, hivyohivyo na dunia ina wenyewe..where is Gadaf? Where is Mubarak, Ben al and the like? Heshimu haki ya wenziyo.
Huyo unayemuita muhuni anaweza kuifanya Tanzania kama Zimbabwe kwa kushawishi wafadhiri kuinyima Tanzania misaadaTanzania kama Taifa huru itakuwa ni aibu ya mwaka kutishiwa nyau na mtu mmoja na kakampuni kake kwa vile yuko ulaya ni mzungu na ni mwanasheria. Mbaya zaidi pengine ni punga/shoga.
Hii tabia ya eti mtu anakuwa kibaraka na anaowahuni nyuma yake wanaomkingia kifua na na wapiga propoganda za kutishia nchi lazima ikomeshwe kwa utaratibu na njia ambayo itakuwa ni fundisho kwa wapuuzi wa aina hii wengine wote. Mtu mmoja anapayuka kutishia serikali halafu angaliwe tu. Hii si sahihi hata kidogo.
Kwetu uchumi haujakwama kwa sababu we are free from corona? Msaada tafadhali.Hao "amsterdam"wakitweet Lisu na ufipa yote inalipuka kwa shangwe wandgani dunia nzima ina habari na wao, kumbe watu hawana hata mpango nyie, wapo busy na yao uchumi umekwama kwa sababu ya Corona, watu wanafikiria namana ya kucover loss na kugungua mipaka ya nchi zao, subirini october tutavyo wanyoosha
Inferiority complex ratherHuyo Robert Armsterdam yupo Nairobi au ameshakuwa Robert Nairobi huyu Tundu Lisu anahangaika sana nafikiri ana matatizo yanayoitwa SUPERIORITY COMPLEX
Huyo unayemuita muhuni anaweza kuifanya Tanzania kama Zimbabwe kwa kushawishi wafadhiri kuinyima tanzania misaada
Ofcoz Kenya wangependa Sana huku pavurugike kidogo ili twende sawa...na target ya Kenya siku zote ni kupambana kuwa gateway ya kuingia kwenye parks zetu na ofcoz mt kili.Kenya once again
Nani kakwambia Robert Amsterdam ni giant countries. Kumbe siyo wakili mwenye ofisi London!Tanzania ni nchi dhaifu sana linapokuja suala la kupambana na giant countries labda kama huijui dunia vizuri.
Mkopo wao wa kupambana na COVID-19 umeishia mifukoni mwa wajanja..mtaani wananzengo wameamua kuingia barabarani!Ofcoz Kenya wangependa Sana huku pavurugike kidogo ili twende sawa...na target ya Kenya siku zote ni kupambana kuwa gateway ya kuingia kwenye parks zetu na ofcoz mt kili.
Wanaita covid 19 billionairesMkopo wao wa kupambana na COVID-19 umeishia mifukoni mwa wajanja..mtaani wananzengo wameamua kuingia barabarani!
Hatari Sana watu wale... watz wangepata treatment wanayopewa raia wa Kenya na Viongozi wao sijui ingekuaje.Mkopo wao wa kupambana na COVID-19 umeishia mifukoni mwa wajanja..mtaani wananzengo wameamua kuingia barabarani!
Uzuri wake sijaona kiongozi yeyote w selikali aliyehangaika kujibishana nao hata mmoja!Tanzania kama Taifa huru itakuwa ni aibu ya mwaka kutishiwa nyau na mtu mmoja na kakampuni kake kwa vile yuko ulaya ni mzungu na ni mwanasheria. Mbaya zaidi pengine ni punga/shoga.
Hii tabia ya eti mtu anakuwa kibaraka na anaowahuni nyuma yake wanaomkingia kifua na wapiga propoganda za kutishia nchi lazima ikomeshwe kwa utaratibu na njia ambayo itakuwa ni fundisho kwa wapuuzi wa aina hii wengine wote. Mtu mmoja anapayuka kutishia serikali halafu angaliwe tu. Hii si sahihi hata kidogo.