Hakuna nchi yoyote duniani including Marekani na China ambazo haziogopi sera mbaya za nje dhidi ya nchi yao sembuse nchi maskini kama Tanzania ambayo fedha karibu 50% zinatoka nje. Tumeona nchi nyingi tu tena zenye nguvu kama Russia, China, Iraq, etc zikiathirika vibaya na sunctions kutoka nje.
Kuiangusha Tz ni rahisi mno hata baadhi ya watu binafsi wakiamua tu kufunga viwanda au biashara zao tayari nchi inayumba sembuse nchi matajiri. Lakini kwanini Robert unamsapoti magu na yote haya ya hovyo anayofanya? Natumaini wewe ni msomi flani lakini sioni unakwama wapi kuhusu uongozi mbovu wa kidikteta tulio nao, kwanini unasapoti udikteta na ukandamizi uliopo? Unafaidika nao? Basi jua kuna wengi sana wanaumia.
Either ni mnufaika au ni mkomunisti ndie anaweza msapoti wacomunist sababu ya inferiority complex hawawezi ongoza matajiri na wasomi wanaogopa kukosolewa sababu hawana iq ya kujibu hoja kinzani bila kutumia bunduki.Thus ujihisi salama Sana kutawala masikini na wanyonge thus ni lzm wawasomeshe watu namba ili waweze kutawala kwa kuwafanya kuwa masikini ili wale wachache watakaowaabudu ndo wanapewa pesa bahati mbaya na viongozi wa dini wamezishusha heshima zao kwa kuangukia huko.So kina herier wote ni ndege wafananao.