TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Akili tegemezi haziwezi kukabidhiwa madaraka ya nchi. Ni kwa kushawishi wananchi kwa kuonyesha kujitegemea wewe binafsi na chama chako bila kuwa na connection ya nje yenye hila dhidi ya nchi yetu, wananchi kwa kauli, nia, malengo, na nguvu moja watakukabidhi madaraka ya nchi. Watanzania, wanajua vizuri namna Wahuni wa Benghazi huko Libya namna walivyoiangamiza nchi yao ya Libya. Bahati mbaya sana Lissu na wenzake ni kama wanataka kujivika uhusika wa Wahuni wa Benghazi. Pole sana kwao Lissu na wenzake!We are profoundly honored and exceedingly humbled to R. Amsterdam for his efforts to curb and stop all events being plotted to hamper mr. Lisu from exercising his political rights.