Wakili Robert Amsterdam ni nani?

Wakili Robert Amsterdam ni nani?

We are profoundly honored and exceedingly humbled to R. Amsterdam for his efforts to curb and stop all events being plotted to hamper mr. Lisu from exercising his political rights.
Akili tegemezi haziwezi kukabidhiwa madaraka ya nchi. Ni kwa kushawishi wananchi kwa kuonyesha kujitegemea wewe binafsi na chama chako bila kuwa na connection ya nje yenye hila dhidi ya nchi yetu, wananchi kwa kauli, nia, malengo, na nguvu moja watakukabidhi madaraka ya nchi. Watanzania, wanajua vizuri namna Wahuni wa Benghazi huko Libya namna walivyoiangamiza nchi yao ya Libya. Bahati mbaya sana Lissu na wenzake ni kama wanataka kujivika uhusika wa Wahuni wa Benghazi. Pole sana kwao Lissu na wenzake!
 
Huyo Robert yupo humu anakusoma?
Mwenzako anampiga mkwara rais wa tz wewe unampiga mkwara Robert Jf hata hasomi humu
 
Jmc06
Kwanza kabisa, kama wewe ni great thinker, unatakiwa usikurupuke kuandika kabla ya kujiridhisha na andiko husika. Kumbuka kuwa TL ni Makamu Mwenyekiti wa CDM. Hivyo atabaki kuwa kiongozi kwa nafasi hiyo hata akikosa Urais. Nadhani ni busara kuangalia maendeleo ya Teknolojia yalivyo na kuelewa maana ya "The World is watching" Usikurupuke Kiongozi. Blessings!!
 
.
Screenshot_20200825-181847_1598368761600.jpg
 
Hatuwezi kuongozwa na kibaraka wa Belgium. Hawa Belgians ndio walikuwa msatari wa mbele kumwua rais wa Kongo miaka ile sasa huyu raia wao wamemleta aje kuchafua tunawamulika tu na kurunzi.
 
Hawa wasioona ya kuwa haki za watu zinaminywa hata sasa hivi uchaguzi haujaanza,wanateswa na Kiongozi mkuu ni kimya. Wapiga kura inatukasirisha hata kama tunaipenda sana kasi yake. Tunataka abadilike na kuheshimu watu wote mabosi ni wananchi siyo rais!
 
Namuona Mwanasheria nguli kwa sasa anapambana kufa na kupona na Raisi wa Kameruni na kule kwa sasa kuna maandamano watu walisha choka na utawala wa Dikiteta Biya.

Ila huyu Jamaa kuna sehemi niliona amewalima Barua Ufaransa kwamba wana msaport Biya.

Huku kwetu ngoja tume iendelee kuibeba CCM tu.

20200926_082825.jpeg
 
Ushahidi gani wanataka, hawa wazungu saa nyingine sijui ni ujinga au nini. Saudi Arabia wamemuua Jamal Khashoggi Ubalozini, hao kina Amsterdam wamefanya nini?

Tatizo la kushikiliwa akili na wazungu ndio hilo. Atatishia mataifa dhoofu hapa kwetu hawezi kufanya lolote sisi ndio baba lao.

Tuliwaambia wazungu tutakomboa Africa na tumefanya hivyo. Sasa ni wakati wa kujenga uchumi wetu, na tunafanya hivyo kama hawajui kilichomtoa kanga manyoya wajaribu.
 
Back
Top Bottom