Wakili Robert Amsterdam ni nani?

Pemba wameanza tayari CCM kutesa watu, wanayatengeza mazingira ya umwagaji damu wenyewe halafu wanakaa wanahubiri Amani!

 
Hujui waliouawa na huyo anayejiita MWENDAWAZIMU? Jiongeze Mkuu acha KUBWETEKA. Kauli za MUUAJI hazijifichi.

Hivi wewe unarudi lini uje ujenge nchi yako?? Au unaona fahari kubeba mabox huko US, umeshazeeka rudi mkuu.
 
Hana lolote huyo! Hapa kwetu ameshachemka. Subiri baada ya 28/10/2020 ndiyo ataijua TZ vizuri.
Amemnyoosha jiwe mpk anaogopa kutaja jina la Lisu. Ushamsikia jiwe akatamka Lisu? Anaogopa kinoma.
 


ebu kunywa mbege apo ntalipa
 
Reactions: Ole
Pemba wameanza tayari CCM kutesa watu, wanayatengeza mazingira ya umwagaji damu wenyewe halafu wanakaa wanahubiri Amani!

Watu wamepigwa mapanga msikitini siku mbili tatu zilizopita huko Pemba, naona Polisi wapo kwenye uchunguzi.
 
Hivi wewe unarudi lini uje ujenge nchi yako?? Au unaona fahari kubeba mabox huko US, umeshazeeka rudi mkuu.
Anangoja kwenda kusafisha vibibi vya kizungu shift yake ya leo ni usiku. Basi lazima ale na msosi wa vizee maana anajaribu ku-serve pesa hata ndege masikini hana nauli tangu aondoke Bongo hajarudi.
 
Reactions: UCD
Ndo maana mnapanga kuiba kura? Sasa ibeni muine kitakacho fuata, msichukulie poa
Wa kuibiwa kura nani huyo kilema. Wacheni amalize kujenga hoteli yake kwa pesa za mafirauni.
 
Reactions: UCD
Mabeberu Hawana Nafasi
[emoji16][emoji23][emoji28][emoji1][emoji2][emoji3][emoji16][emoji23]
Hawana nafasi lakini kila siku majukwaani mgombea mfokea watu anasema anataka Tanzania ifanane na ulaya kwa mabeberu kwa nini asiwe na vision yake mwenyewe tukaijenga nchi yetu bila kuhusianisha na mawazo ya wazungu ambayo tayari emage zake zipo zinaonekana. Watawezaje kuja kwetu kushangaa ilihali tunavitamani vya kwao?
 
Ndiyo ulichobaki nacho! Mimi kama kutukana naweza sana lakini sitaki leo Moderator aniban lasivyo ningekunyosha! Thank u very much!
Mods wamepewa instructions kufungia members bila sababu zozote za msingi. Amri kutoka kwa mlevi wa konyagi. Ukiwapiga nondo za uhakika wanakufungia Aibu!
 
Sasa afrika imekomboka nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…