Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujui waliouawa na huyo anayejiita MWENDAWAZIMU? Jiongeze Mkuu acha KUBWETEKA. Kauli za MUUAJI hazijifichi.
Huna lolote wewe vuvuzela
Mnaweka nadharia kwa sababu ya matatizo yenu. Huko ndio kuropoka.
Bubu Ataka Kusema aka BAK mzee wa kukariri.
https://www.jamiiforums.com/attachments/1581526/
Amemnyoosha jiwe mpk anaogopa kutaja jina la Lisu. Ushamsikia jiwe akatamka Lisu? Anaogopa kinoma.Hana lolote huyo! Hapa kwetu ameshachemka. Subiri baada ya 28/10/2020 ndiyo ataijua TZ vizuri.
Ushahidi gani wanataka, hawa wazungu saa nyingine sijui ni ujinga au nini. Saudi Arabia wamemuua Jamal Khashoggi Ubalozini, hao kina Amsterdam wamefanya nini? Tatizo la kushikilwa akili na wazungu ndio hilo. Atatishia mataifa dhoofu hapa kwetu hawezi kufanya lolote sisi ndio baba lao. Tuliwaambia wazungu tutakomboa Africa na tumefanya hivyo. Sasa ni wakati wa kujenga uchumi wetu, na tunafanya hivyo kama hawajui kilichomtoa kanga manyoya wajaribu.
Naona ulivyo panic boss, wewe mbona hujaja na jina lako?Joined Sep 12, 2020, njaa inakusumbua kwanini usiingie na jina lako la kawaida>
Pemba wameanza tayari CCM kutesa watu, wanayatengeza mazingira ya umwagaji damu wenyewe halafu wanakaa wanahubiri Amani!
Angalia nipo tangu lini?Naona ulivyo panic boss, wewe mbona hujaja na jina lako?
Una akili za kushikiwa wewe! Unauliza swali nakujibu unaenda kuweka ujinga ambao hauhusiani!
Mauaji kibao huyo KICHAA KIMYAAAA!
Anangoja kwenda kusafisha vibibi vya kizungu shift yake ya leo ni usiku. Basi lazima ale na msosi wa vizee maana anajaribu ku-serve pesa hata ndege masikini hana nauli tangu aondoke Bongo hajarudi.Hivi wewe unarudi lini uje ujenge nchi yako?? Au unaona fahari kubeba mabox huko US, umeshazeeka rudi mkuu.
Wa kuibiwa kura nani huyo kilema. Wacheni amalize kujenga hoteli yake kwa pesa za mafirauni.Ndo maana mnapanga kuiba kura? Sasa ibeni muine kitakacho fuata, msichukulie poa
Hawana nafasi lakini kila siku majukwaani mgombea mfokea watu anasema anataka Tanzania ifanane na ulaya kwa mabeberu kwa nini asiwe na vision yake mwenyewe tukaijenga nchi yetu bila kuhusianisha na mawazo ya wazungu ambayo tayari emage zake zipo zinaonekana. Watawezaje kuja kwetu kushangaa ilihali tunavitamani vya kwao?Mabeberu Hawana Nafasi
[emoji16][emoji23][emoji28][emoji1][emoji2][emoji3][emoji16][emoji23]
Ndiyo ulichobaki nacho! Mimi kama kutukana naweza sana lakini sitaki leo Moderator aniban lasivyo ningekunyosha! Thank u very much!Ndo Mwisho wa kuwaza kwako wewe Pimbi
Mods wamepewa instructions kufungia members bila sababu zozote za msingi. Amri kutoka kwa mlevi wa konyagi. Ukiwapiga nondo za uhakika wanakufungia Aibu!Ndiyo ulichobaki nacho! Mimi kama kutukana naweza sana lakini sitaki leo Moderator aniban lasivyo ningekunyosha! Thank u very much!
Sasa afrika imekomboka nnUshahidi gani wanataka, hawa wazungu saa nyingine sijui ni ujinga au nini. Saudi Arabia wamemuua Jamal Khashoggi Ubalozini, hao kina Amsterdam wamefanya nini? Tatizo la kushikilwa akili na wazungu ndio hilo. Atatishia mataifa dhoofu hapa kwetu hawezi kufanya lolote sisi ndio baba lao. Tuliwaambia wazungu tutakomboa Africa na tumefanya hivyo. Sasa ni wakati wa kujenga uchumi wetu, na tunafanya hivyo kama hawajui kilichomtoa kanga manyoya wajaribu.
Muuqji, mtekaji, na mwenye roho ya kishetani huyu ataisoma namba mwaka huuNi aibu sana kutaja Lissu mtetea ushoga!