Wakili Robert Amsterdam ni nani?

Wakili Robert Amsterdam ni nani?

Pemba wameanza tayari CCM kutesa watu, wanayatengeza mazingira ya umwagaji damu wenyewe halafu wanakaa wanahubiri Amani!

Hujui waliouawa na huyo anayejiita MWENDAWAZIMU? Jiongeze Mkuu acha KUBWETEKA. Kauli za MUUAJI hazijifichi.

Hivi wewe unarudi lini uje ujenge nchi yako?? Au unaona fahari kubeba mabox huko US, umeshazeeka rudi mkuu.
 
Hana lolote huyo! Hapa kwetu ameshachemka. Subiri baada ya 28/10/2020 ndiyo ataijua TZ vizuri.
Amemnyoosha jiwe mpk anaogopa kutaja jina la Lisu. Ushamsikia jiwe akatamka Lisu? Anaogopa kinoma.
 
Ushahidi gani wanataka, hawa wazungu saa nyingine sijui ni ujinga au nini. Saudi Arabia wamemuua Jamal Khashoggi Ubalozini, hao kina Amsterdam wamefanya nini? Tatizo la kushikilwa akili na wazungu ndio hilo. Atatishia mataifa dhoofu hapa kwetu hawezi kufanya lolote sisi ndio baba lao. Tuliwaambia wazungu tutakomboa Africa na tumefanya hivyo. Sasa ni wakati wa kujenga uchumi wetu, na tunafanya hivyo kama hawajui kilichomtoa kanga manyoya wajaribu.

ebu kunywa mbege apo ntalipa
 
  • Kicheko
Reactions: Ole
Pemba wameanza tayari CCM kutesa watu, wanayatengeza mazingira ya umwagaji damu wenyewe halafu wanakaa wanahubiri Amani!

Watu wamepigwa mapanga msikitini siku mbili tatu zilizopita huko Pemba, naona Polisi wapo kwenye uchunguzi.
 
Hivi wewe unarudi lini uje ujenge nchi yako?? Au unaona fahari kubeba mabox huko US, umeshazeeka rudi mkuu.
Anangoja kwenda kusafisha vibibi vya kizungu shift yake ya leo ni usiku. Basi lazima ale na msosi wa vizee maana anajaribu ku-serve pesa hata ndege masikini hana nauli tangu aondoke Bongo hajarudi.
 
  • Kicheko
Reactions: UCD
Ndo maana mnapanga kuiba kura? Sasa ibeni muine kitakacho fuata, msichukulie poa
Wa kuibiwa kura nani huyo kilema. Wacheni amalize kujenga hoteli yake kwa pesa za mafirauni.
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Mabeberu Hawana Nafasi
[emoji16][emoji23][emoji28][emoji1][emoji2][emoji3][emoji16][emoji23]
Hawana nafasi lakini kila siku majukwaani mgombea mfokea watu anasema anataka Tanzania ifanane na ulaya kwa mabeberu kwa nini asiwe na vision yake mwenyewe tukaijenga nchi yetu bila kuhusianisha na mawazo ya wazungu ambayo tayari emage zake zipo zinaonekana. Watawezaje kuja kwetu kushangaa ilihali tunavitamani vya kwao?
 
Ndiyo ulichobaki nacho! Mimi kama kutukana naweza sana lakini sitaki leo Moderator aniban lasivyo ningekunyosha! Thank u very much!
Mods wamepewa instructions kufungia members bila sababu zozote za msingi. Amri kutoka kwa mlevi wa konyagi. Ukiwapiga nondo za uhakika wanakufungia Aibu!
 
Ushahidi gani wanataka, hawa wazungu saa nyingine sijui ni ujinga au nini. Saudi Arabia wamemuua Jamal Khashoggi Ubalozini, hao kina Amsterdam wamefanya nini? Tatizo la kushikilwa akili na wazungu ndio hilo. Atatishia mataifa dhoofu hapa kwetu hawezi kufanya lolote sisi ndio baba lao. Tuliwaambia wazungu tutakomboa Africa na tumefanya hivyo. Sasa ni wakati wa kujenga uchumi wetu, na tunafanya hivyo kama hawajui kilichomtoa kanga manyoya wajaribu.
Sasa afrika imekomboka nn
 
Back
Top Bottom