Wakili Robert Amsterdam ni nani?

Wakili Robert Amsterdam ni nani?

Mbona Deni la taifa linaongezeka sio kila mtz Ni kilaza
Huwezi kukopa bila kuwa na uwezo wa kulipa deni hizo ndio economics zinzvysema . Weka ushahidi kwamba hatukopesheki.
 
Yeye ana dili na wateja wake, sasa kama hakuna mteja wake ataendaje kudili na Saudia?

Huyu msimchukulie poa, kasome CV yake kwanza
Nakwambia hivi; ukitumia elimu mzungu atakushinda, lakini ukitumia akili ni mwepesi tu. Kabisa, kabisa.

Usitishwe na CV yake, hiyo ni elimu tu. Mwache atumie elimu yake, nasi tutatumia akili zetu.
 
Huwezi kukopa bila kuwa na uwezo wa kulipa deni hizo ndio economics zinzvysema . Weka ushahidi kwamba hatukopesheki.
Deni letu si himilivu tumefika mwisho wa kukopa
 
What is CV by the way? Bro. don't confuse education with intelligence. You can have a degree and still be an idiot
You don’t know the meaning of a CV, wewe unadhani cv inahusu elimu ya darasani pekee, there are some people have never seen a class but have got strong CV.
 
Lowasa hawezi mikiki pia alikuwa pandikizi, thus alikubali mapema,Moto mnao this time
Umeambiwa uingie barabarani na huyo msaliti Lissu nasikia mnasubiriwa kwa hamu ile mbaya hiyo baada ya tarehe 28/10/2020
 
Deni letu si himilivu tumefika mwisho wa kukopa
Nani amekwambia huo uongo? Huyo mlevi wa konyagi na sacos yake anawahadaa tu. Weka ushahidi hapa wa wazi kwamba hatukopesheki wacha kuzunguka mbuyu.
 
Armstadam ni panya kama panya wengine,hana wala amiliki chochote cha kutisha taifa huru kama Tanzania.
Na kama anaweza aanze sasa, asibaki na kutweet maneno ya taarab.
 
  • Kicheko
Reactions: UCD
You don’t know the meaning of a CV, wewe unadhani cv inahusu elimu ya darasani peke.
Ngoja ni kueleze kwa lugha rahisi sana. CV ni wasifu kazi au rekodi za kazi while intelligence is the ability to acquire and apply knowledge and skills! Kwahiyo utaona CV is just records or short written description of your education, qualifications and previous jobs!
 
Nani amekwambia huo uongo? Huyo mlevi wa konyagi na sacos yake anawahadaa tu. Weka ushahidi hapa wa wazi kwamba hatukopesheki wacha kuzunguka mbuyu.
Mnakopa kwa mabeberu
 
Mnakopa kwa mabeberu
Nenda katafute maana ya Mabeberu kabla ya ku-post jambo lolote ambalo hulifahamu. Banking sector ni biashara siyo hisani, unakopa na unalipa kadiri mlivyokubaliana. Yesu alisema mpe Kaizari yaliyo ya Kaizari na mpe mwenyezi Mungu yaliyo ya mwenyezi Mungu
 
White elephant project hazirudishi hela
 
Yeye ana dili na wateja wake, sasa kama hakuna mteja wake ataendaje kudili na Saudia?

Huyu msimchukulie poa, kasome CV yake kwanza
CV akamwonyeshe mama yake hapa Tz ni shauri jingine, ngoja asogeze pua yake ndo atajua kuwa yeye ni shoga tu kama mwenzie.
 
Namuona Mwanasheria nguli kwa sasa anapambana kufa na kupona na Raisi wa Kameruni na kule kwa sasa kuna maandamano watu walisha choka na utawala wa Dikiteta Biya.

Ila huyu Jamaa kuna sehemi niliona amewalima Barua Ufaransa kwamba wana msaport Biya.

Huku kwetu ngoja tume iendelee kuibeba CCM tu.

View attachment 1581778
Muda si muda atatua hapa tena na makubwa zaidi, Lissu songa mbele.
 
Back
Top Bottom