Ole
JF-Expert Member
- Dec 16, 2006
- 2,157
- 976
Huwezi kukopa bila kuwa na uwezo wa kulipa deni hizo ndio economics zinzvysema . Weka ushahidi kwamba hatukopesheki.Mbona Deni la taifa linaongezeka sio kila mtz Ni kilaza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwezi kukopa bila kuwa na uwezo wa kulipa deni hizo ndio economics zinzvysema . Weka ushahidi kwamba hatukopesheki.Mbona Deni la taifa linaongezeka sio kila mtz Ni kilaza
Nakwambia hivi; ukitumia elimu mzungu atakushinda, lakini ukitumia akili ni mwepesi tu. Kabisa, kabisa.Yeye ana dili na wateja wake, sasa kama hakuna mteja wake ataendaje kudili na Saudia?
Huyu msimchukulie poa, kasome CV yake kwanza
Deni letu si himilivu tumefika mwisho wa kukopaHuwezi kukopa bila kuwa na uwezo wa kulipa deni hizo ndio economics zinzvysema . Weka ushahidi kwamba hatukopesheki.
You don’t know the meaning of a CV, wewe unadhani cv inahusu elimu ya darasani pekee, there are some people have never seen a class but have got strong CV.What is CV by the way? Bro. don't confuse education with intelligence. You can have a degree and still be an idiot
Umeambiwa uingie barabarani na huyo msaliti Lissu nasikia mnasubiriwa kwa hamu ile mbaya hiyo baada ya tarehe 28/10/2020Lowasa hawezi mikiki pia alikuwa pandikizi, thus alikubali mapema,Moto mnao this time
Nani amekwambia huo uongo? Huyo mlevi wa konyagi na sacos yake anawahadaa tu. Weka ushahidi hapa wa wazi kwamba hatukopesheki wacha kuzunguka mbuyu.Deni letu si himilivu tumefika mwisho wa kukopa
Zombies on duty!View attachment 1581861
Hayo ni matokeo tangu JK aondoke uchumi umekua mara dufu, kama hupendi nenda kajinyonge.
Talk about yourself.Zombies on duty!
Ngoja ni kueleze kwa lugha rahisi sana. CV ni wasifu kazi au rekodi za kazi while intelligence is the ability to acquire and apply knowledge and skills! Kwahiyo utaona CV is just records or short written description of your education, qualifications and previous jobs!You don’t know the meaning of a CV, wewe unadhani cv inahusu elimu ya darasani peke.
Mnakopa kwa mabeberuNani amekwambia huo uongo? Huyo mlevi wa konyagi na sacos yake anawahadaa tu. Weka ushahidi hapa wa wazi kwamba hatukopesheki wacha kuzunguka mbuyu.
Jiwe na uchumi wapi na wapiHuwezi kukopa bila kuwa na uwezo wa kulipa deni hizo ndio economics zinzvysema . Weka ushahidi kwamba hatukopesheki.
Nenda katafute maana ya Mabeberu kabla ya ku-post jambo lolote ambalo hulifahamu. Banking sector ni biashara siyo hisani, unakopa na unalipa kadiri mlivyokubaliana. Yesu alisema mpe Kaizari yaliyo ya Kaizari na mpe mwenyezi Mungu yaliyo ya mwenyezi MunguMnakopa kwa mabeberu
Hadithi njoo utamu kolea.Jiwe na uchumi wapi na wapi
Aaise sio kwa propaganda hizo,usomeshe watu namba,uuwe sekta binafsi then uchumi ukue hii principal mpya ya uchumi
White elephant project hazirudishi helaNenda katafute maana ya Mabeberu kabla ya ku-post jambo lolote ambalo hulifahamu. Banking sector ni biashara siyo hisani, unakopa na unalipa kadiri mlivyokubaliana. Yesu alisema mpe Kaizari yaliyo ya Kaizari na mpe mwenyezi Mungu yaliyo ya mwenyezi Mungu
White elephant project hazirudishi hela
CV akamwonyeshe mama yake hapa Tz ni shauri jingine, ngoja asogeze pua yake ndo atajua kuwa yeye ni shoga tu kama mwenzie.Yeye ana dili na wateja wake, sasa kama hakuna mteja wake ataendaje kudili na Saudia?
Huyu msimchukulie poa, kasome CV yake kwanza
White elephant project hazirudishi hela
Muda si muda atatua hapa tena na makubwa zaidi, Lissu songa mbele.Namuona Mwanasheria nguli kwa sasa anapambana kufa na kupona na Raisi wa Kameruni na kule kwa sasa kuna maandamano watu walisha choka na utawala wa Dikiteta Biya.
Ila huyu Jamaa kuna sehemi niliona amewalima Barua Ufaransa kwamba wana msaport Biya.
Huku kwetu ngoja tume iendelee kuibeba CCM tu.
View attachment 1581778