Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole baba. Imbombo nu ubhukifu.Sijasoma sheria ila naelewa kuhusu neno "Tetesi" Tatizo la ndugu yangu hakuonesha kipaumbele kwa wanasheria vijana kuwa atawasaidiaje bila kujuwa wao ndiyo wengi kuliko wazee.
Pole Sweetbert! Imbombo nu ubhukifu mwaisa!Sijasoma sheria ila naelewa kuhusu neno "Tetesi" Tatizo la ndugu yangu hakuonesha kipaumbele kwa wanasheria vijana kuwa atawasaidiaje bila kujuwa wao ndiyo wengi kuliko wazee.
Kwel kabisa ume eleza kila kitu nkuba atulieMwizi akihisi kuibiwa inauma sana c CCM huyo au? Wanavyoibaga na yeye kusaport ushindi eti wa kishindo Huwa anajisikiaje? Kama wakala wake ndo katoa taarifa kabla tutaaminije?. Huyo atakuwa katoa mulungula watu wamepiga na kura wamemnyima! Inauma hiyo balaaaaa! Hiyo kesi hata mimi naweza kumshinda! Siyo kazi ya mitandao kutangaza matokeo kama aliyepost kabet na kapatia anashangaa nn? Ataje mtandao wa kwanza alioona yeye umetoa matokeo kabla ya matokeo. Na siku alipoulizwa mshindi akitangazwa atakubali mbona alisema atakubali. Atulie tu dawa iingie. Walifanya figisu Mwabukusi aenguliwe wakachemka. Bado haridhiki.
Tatizo alikuja na mbinu zote za ki-ccm zikafeli.
"Mojawapo ni kuona karatasi za kupigia kura kuisha na kwenda kuchapishwa zingine, kufanyiwa vurugu na kusambaa taarifa mitandaoni ushindi wa mpinzani wangu kabla ya kutangazwa na msimamizi wa uchaguzi," amesema Nkuba.
Tatizo la mawakili wengi wanapenda sana debate hata pasipokuwepo na hoja ya msingi!!Kama wanasheria nao wanalalamika hivi kwenye chaguzi zao, je kwenye chaguzi za viongozi wa mitaa na vitongoji hapa Kizuramimba na Kakonko itakuwaje?
Sanaa tupu!!Sikuwahi kujua mwanasheria ana mwanasheria wake!
Imbombo nghafu😅😅Pole Sweetbert! Imbombo nu ubhukifu mwaisa!
Labda anaamini anaweza ishawishi Mahakama na taarifa za mitandaoni,mwisho wa siku Mahakama itaziweka hizo taarifa kwenye mizani, na majibu ya Mahakama yatatoka kwa wahusika!!Yaani unaenda mahakamani kwa kigezo cha taarifa za mitandaoni. Huyu Wakili wa wapi?
Mbona wengine nimesikia humu wanasema ni msukuma!!??Wa Kilimanjaro [emoji2]
Hata mimi aisee!!Sikuwahi kujua mwanasheria ana mwanasheria wake!
Miss Tanzania ni watamu sana.Ni kweli katelekeza familia kisa miss Tanzania ?
Sukari ya warembo kwa kiswahil ndiyo maana yake!!Jina lake linasadifu akili zake. Mwanaume mzima ataitwaje Sweetbert?