Wakili wa Tundu Lissu amwaga cheche kwa walivyojipanga dhidi ya mteja wao

Wakili wa Tundu Lissu amwaga cheche kwa walivyojipanga dhidi ya mteja wao

Inaonesha jinsi gani lissu anatumiwa na mabeberu kuvuruga amani ya nchi. Tunatakiwa kumkataa.

Mabeberu wapo tu na wamejaa ktk Raslimali zetu kupitia Mikataba ya kinyonyaji kwa kushirikiana na Serikali ya CCM tangu tulipo pata Uhuru mpaka sasa.Hii kauli ya kutumika na Mabeberu imekuwa kama kichaka cha wana CCM na Serikali yao kuficha udhaifu na uovu wao..
 
Ile tu kwamba unashabikiwa na kutetewa na vibebru kama hicho ki Amsterdam, tayari hufai kuwa kiongozi wa ngazi yeyote hata ya nyumba kumi popote barani Afrika.
Magufuli anawavuruga wanatamani kwa kulinda rasilimali za nchi yetu.

Kama wana mapenzi na binadamu wanaoteseka si waende kuwasaidia wasomalia wanaouana kila kila siku?

Mauaji ya Congo kwao ni burudani sababu wanachota madini sasa wanataka kutuletea ujinga hatukubali
 
Naona mapovu ya wapuuzi ambao hata robo hamuwezi fikia ujasiri wa LISSU mpo nyuma ya keyboard mnabwabaaja
 
Ombeni sana Mungu watanzania wawape kura nyingi ccm za halali ila kama ni za ubabaishaji mjiandae kumkabidhi Lissu Ikulu.
Lisu mwenyewe hujamsikia kasema majeshi yote hayako upande wake.usalama wa Taifa hauko upande wake na wafanyakazi wa serikali hawako upande wake unaelewa maana ya alichokisema?
 
Magufuli anawavuruga wanatamani kwa kulinda rasilimali za nchi yetu.

Kama wana mapenzi na binadamu wanaoteseka si waende kuwasaidia wasomalia wanaouana kila kila siku?

Mauaji ya Congo kwao ni burudani sababu wanachota madini sasa wanataka kutuletea ujinga hatukubali
Mkuu Lisu tutamfundisha adabu
 
Lisu mwenyewe hujamsikia kasema majeshi yote hayako upande wake.usalama wa Taifa hauko upande wake na wafanyakazi wa serikali hawako upande wake unaelewa maana ya alichokisema?
Hao wote wapo upande wake kwenye sanduku la kura ila kwa sasa wamejificha tu ili kukwepa shari za ccm.
 
Mimi ndio nilianza kupata wasiwasi juu ya utimamu wa huyu ndugu yetu kutoka ubeligiji

Anasema hatakusanya kodi hapo hapo anasema ataongeza mshahara

Kitu kingine alisema madini yote atawapatia Wazungu ili kudumisha Urafiki
Aliongea kwa kingereza ndio maana hamkuelewa
 
Hao wote wapo upande wake kwenye sanduku la kura ila kwa sasa wamejificha tu ili kukwepa shari za ccm.
Wawe upande wake kivipi Wakati anasema akishika madaraka atavunja majeshi na kuajiri upya
 
Watanzania waleo sio wakudanganyika na propaganda uchwara.jaribu Tena wakati mwingine.
Hivi sasa hivi unaweza kumdanganya mtu kijingajinga akakuelewa kweli?, huu nao ni uongo kama uongo mwingine tunaoambiwa tunajenga reli kwa pesa zetu za ndani kumbe mikopo tupu tena kutoka kwenye mabenki ya biashara.
 
Huyu jamaa wateja wake wote ni controversial figures.

Kifupi ni kuwa anaingia mahali akiwa na malengo ya kujinufaisha.

Ukimpigia kura lisu ni kumpa Amsterdam Nguvu za kumiliki uchumi wetu.
Bangi kuna muda inaonekana nzuriiii ila hii yako hapana
 
swali ,ndugu zangu ,katika mikutano yote ya lissu anayofanya sijamuona ndg LAZARO NYALANDU akishiriki je kunatatizo au
 
Back
Top Bottom