Ciril
JF-Expert Member
- Jan 10, 2011
- 8,557
- 7,160
Inaonesha jinsi gani lissu anatumiwa na mabeberu kuvuruga amani ya nchi. Tunatakiwa kumkataa.
Mabeberu wapo tu na wamejaa ktk Raslimali zetu kupitia Mikataba ya kinyonyaji kwa kushirikiana na Serikali ya CCM tangu tulipo pata Uhuru mpaka sasa.Hii kauli ya kutumika na Mabeberu imekuwa kama kichaka cha wana CCM na Serikali yao kuficha udhaifu na uovu wao..