Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Ukweli ni kwamba waafrika tujenge mataifa yetu, viongozi wasioweza kuweka dira nzuri za maendeleo watolewe madarakani. Kila mmoja achape kazi. Kujiliza liza na kutaka kubembelezwa hakuwezi kuwa solution.Na ukitaka kujua akili za waafrika ni mbovu angalia hata ndani ya huu uzi.
Hapa kungekuwa ni picha za watu weupe au wanajeshi wa ukraine ungeona "rest in peace" na "walaze mahali pema peponi" kibao.
Cha ajabu ni Waafrika wenzao lakini hauoni chochote. kweli kabisa?
Waafrika wana nini vichwani mwao?
Ukweli ni kwamba waafrika tujenge mataifa yetu, viongozi wasioweza kuweka dira nzuri za maendeleo watolewe madarakani. Kila mmoja achape kazi. Kujiliza liza na kutaka kubembelezwa hakuwezi kuwa solution.
Umenena vizuri mkuuWewe na hao mna tofauti gani? na nini kinakufanya uamini wewe ukienda hapo hautafanyiwa walichofanyiwa hao?
Na wao kuwa waislamu kunawaondolea vipi uafrika wao?
Na nani amekwambia waislamu wana uhusiano wowote na waarabu?
Uislamu ni dini tu au unataka kusema wewe mkristo una uhusiano wowote na wazungu?
Kwamba kwakua wewe ni mkristo basi kiasili kwenu ni Europe na ukienda hawatokubagua sababu wewe ni mkristo haijalishi kama ni mwafrika mweusi?
Hakuna mtu anayejali dini yako na ukilinganisha huko nje mostly ni atheists au ni dini kama jina tu, ila watakubagua sababu wewe ni mweusi, au unaona wale black americans wanaokuwa oppressed na kubaguliwa kule marekani ni waislamu?
Waafrika wenyewe tunachukiana namna hii unafikiri nani kutoka race nyingine atakupenda na kukuthamini wewe.
Huna akili.
We ndo umenena, Tatzo ni serkali zilizopo madarakan kushindwa kuwatendea haki na kuwalinda wanannchi wao, Nyumban ni bora lakini kufia nyumbani bora ujaribu kujitafutia msaada.Sehemu ambayo inakufanya ujihisi salama ni nyumbani, ukiona mtu anakimbia nyumbani kweli hakukaliki. Njaa mbaya sana watu wangekuwa wanakula wanashiba hata wasingekimbia. Serikali za Africa hazina huruma kabisa. .
Naona kama maiti ni nyingi kuzidi hiyo 37Wahamiaji 37 waliuawa na wengine 150 wakijeruhiwa vibaya
stay home/ on ur mother land safeWahamiaji 37 waliuawa na wengine 150 wakijeruhiwa vibaya na vikosi vya polisi katika mpaka wa Morocco na Hispania.
Kulingana na shirika la kutetea haki za wakimbizi UNHCR linaeleza kuwa wakimbizi hao wengi wao wakitokea katika nchi za Chad, Niger, Sudan kusini wangetakiwa kuchukuliwa kama watafuta hifadhi kulingana na sheria za kimataifa.
Kinachoendelea huko kinaumiza sana na mbaya zaidi dunia inaonekana kutokujali, wala vyombo vyote vya habari havioni uvunjifu huu wa haki za binadamu. It's shameful kwa kweli.
#PrayforUKRAIN ndicho dunia inakijua.
======
Hapa tunaweza kutambua ni namna gani waafrika wanachukuliwa wakiwa wakimbizi huko ulaya kulinganishwa na wakimbizi kutokea UKRAIN.
View attachment 2276572View attachment 2276573
View attachment 2276575
Gaidi huwezi kujifichaWakome
HahahahaWengi wa hao ni waswali Ijumaa
Hahahahawengi ni wafuasi wa Mudy. Kutwa kucha kuwatukana wazungu , cha ajabu kila siku wanadakwa wakikimbilia kwa haohao wazungu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] kwani Saudi Arabia pamejaa??[emoji16][emoji16]
Ndio maana unaona wanakataa kuwepo kwa katiba imara. Kuna nchi mahakama inajitegemea hata ukiwa raisi unafungwa ili kulinda utawala wa kisheria. Kitendo cha kukosa uzalendo na kutofuata sheria athari zake ni kubwa. .We ndo umenena, Tatzo ni serkali zilizopo madarakan kushindwa kuwatendea haki na kuwalinda wanannchi wao, Nyumban ni bora lakini kufia nyumbani bora ujaribu kujitafutia msaada.
Sioni kama wakimbizi hawpapendi Africa. Kuna hali hazivumiliki hata Wazungu wanakimbia kwao pakinuka na kutafuta msaada mataifa jirani.
Kwani Ulaya ni kwenu ninyi waafrika? Yaani mnakimbia home?Wahamiaji 37 waliuawa na wengine 150 wakijeruhiwa vibaya na vikosi vya polisi katika mpaka wa Morocco na Hispania.
Kulingana na shirika la kutetea haki za wakimbizi UNHCR linaeleza kuwa wakimbizi hao wengi wao wakitokea katika nchi za Chad, Niger, Sudan kusini wangetakiwa kuchukuliwa kama watafuta hifadhi kulingana na sheria za kimataifa.
Kinachoendelea huko kinaumiza sana na mbaya zaidi dunia inaonekana kutokujali, wala vyombo vyote vya habari havioni uvunjifu huu wa haki za binadamu. It's shameful kwa kweli.
#PrayforUKRAIN ndicho dunia inakijua.
======
Hapa tunaweza kutambua ni namna gani waafrika wanachukuliwa wakiwa wakimbizi huko ulaya kulinganishwa na wakimbizi kutokea UKRAIN.
View attachment 2276572View attachment 2276573
View attachment 2276575
Kuwa na adabu na heshima na imani za watu mkuu,usionyeshe watu kiwango ch ujinga ulicho nacho, why mtume Muhammad s.a.w umuite muddy? Unadhani huyo ni mtu tu kama watu wa kawaida?Halafu habari ulioisoma hakuna hata mahali imesema hao ni wafuasi wa muddy why ww unasema kisicho andikwa?Pia hizo nchi zilizo tajwa hapo sio za kiislamu kijiographia, Sudani kusini sio nchi ya kiislamu, Chad sio nchi ya kiislamu wala Niger sio nchi ya kiislamu, Punguza chuki na tuishi kwa kuvumiliana ,kila mtu aheshimu imani ya mwenzake.wengi ni wafuasi wa Mudy. Kutwa kucha kuwatukana wazungu , cha ajabu kila siku wanadakwa wakikimbilia kwa haohao wazungu ππππ kwani Saudi Arabia pamejaa??ππ
Tatizo wewe ni mwafrika unayejiona mzungu kama hao wenzetu, kwani ulaya kuna nini hadi mkimbilie, mnadhani wazungu ni watani zenu, au mmesahau ukoloni...Na ukitaka kujua akili za waafrika ni mbovu angalia hata ndani ya huu uzi.
Hapa kungekuwa ni picha za watu weupe au wanajeshi wa ukraine ungeona "rest in peace" na "walaze mahali pema peponi" kibao.
Cha ajabu ni Waafrika wenzao lakini hauoni chochote. kweli kabisa?
Waafrika wana nini vichwani mwao?
Wewe na hao wanaowasema waislam wote akili zenu ni sawa.Kuna watu humu wamefundishwa chuki against Muslim na wazazi wao tangu wakiwa wadogo Nina uhakikana hata mafunzo ya kanisani pia
Wewe shukuru kwa kuwa unaishi kwenye nchi ambayo unaweza kuishi bila kuitegemea serikali, nchi tunayoishi bado ina rasilimali za ku support life.Na ndio tatizo kubwa ambalo Mimi nimekuwa naliongelea kila siku yaani watu wasipokuwa na aKili hizi nchi za KiAfrica za kujua thamani ya mifumo Bora ya uongozi na maadili yake tutasubiri Sana , hizi nchi zinahitaji social revolution and system overhaul kabisa .