Wakimbizi wa Kiafrika wapigwa mpaka kifo huko nchini Hispania

Wakimbizi wa Kiafrika wapigwa mpaka kifo huko nchini Hispania

Na ukitaka kujua akili za waafrika ni mbovu angalia hata ndani ya huu uzi.

Hapa kungekuwa ni picha za watu weupe au wanajeshi wa ukraine ungeona "rest in peace" na "walaze mahali pema peponi" kibao.

Cha ajabu ni Waafrika wenzao lakini hauoni chochote. kweli kabisa?

Waafrika wana nini vichwani mwao?
Ukweli ni kwamba waafrika tujenge mataifa yetu, viongozi wasioweza kuweka dira nzuri za maendeleo watolewe madarakani. Kila mmoja achape kazi. Kujiliza liza na kutaka kubembelezwa hakuwezi kuwa solution.
 
Kwa nchi zetu ni ngumu kubadilika na kuwa na utu na kuwaza kuwa na miradi na miji mikubwa ya kibiashara
Kuwa na viwanda vikubwa ni ndoto ya baadhi tu
Na anaetokea kuwa na msimamo anakufa kifo kibaya hata awe na nafasi ndogo tu
Akibana na kuhakikisha mradi unaisha bila kula nao Basi watamfanyia fitna hata kumfukuzisha kazi au kumuuwa kabisa

Tatizo letu ni mfumo wa wizi
 
Wewe na hao mna tofauti gani? na nini kinakufanya uamini wewe ukienda hapo hautafanyiwa walichofanyiwa hao?

Na wao kuwa waislamu kunawaondolea vipi uafrika wao?

Na nani amekwambia waislamu wana uhusiano wowote na waarabu?
Uislamu ni dini tu au unataka kusema wewe mkristo una uhusiano wowote na wazungu?

Kwamba kwakua wewe ni mkristo basi kiasili kwenu ni Europe na ukienda hawatokubagua sababu wewe ni mkristo haijalishi kama ni mwafrika mweusi?

Hakuna mtu anayejali dini yako na ukilinganisha huko nje mostly ni atheists au ni dini kama jina tu, ila watakubagua sababu wewe ni mweusi, au unaona wale black americans wanaokuwa oppressed na kubaguliwa kule marekani ni waislamu?

Waafrika wenyewe tunachukiana namna hii unafikiri nani kutoka race nyingine atakupenda na kukuthamini wewe.

Huna akili.
Umenena vizuri mkuu
 
Sehemu ambayo inakufanya ujihisi salama ni nyumbani, ukiona mtu anakimbia nyumbani kweli hakukaliki. Njaa mbaya sana watu wangekuwa wanakula wanashiba hata wasingekimbia. Serikali za Africa hazina huruma kabisa. .
We ndo umenena, Tatzo ni serkali zilizopo madarakan kushindwa kuwatendea haki na kuwalinda wanannchi wao, Nyumban ni bora lakini kufia nyumbani bora ujaribu kujitafutia msaada.
Sioni kama wakimbizi hawpapendi Africa. Kuna hali hazivumiliki hata Wazungu wanakimbia kwao pakinuka na kutafuta msaada mataifa jirani.
 
Wahamiaji 37 waliuawa na wengine 150 wakijeruhiwa vibaya na vikosi vya polisi katika mpaka wa Morocco na Hispania.

Kulingana na shirika la kutetea haki za wakimbizi UNHCR linaeleza kuwa wakimbizi hao wengi wao wakitokea katika nchi za Chad, Niger, Sudan kusini wangetakiwa kuchukuliwa kama watafuta hifadhi kulingana na sheria za kimataifa.

Kinachoendelea huko kinaumiza sana na mbaya zaidi dunia inaonekana kutokujali, wala vyombo vyote vya habari havioni uvunjifu huu wa haki za binadamu. It's shameful kwa kweli.
#PrayforUKRAIN ndicho dunia inakijua.

======

Hapa tunaweza kutambua ni namna gani waafrika wanachukuliwa wakiwa wakimbizi huko ulaya kulinganishwa na wakimbizi kutokea UKRAIN.

View attachment 2276572View attachment 2276573

View attachment 2276575
stay home/ on ur mother land safe
 
wengi ni wafuasi wa Mudy. Kutwa kucha kuwatukana wazungu , cha ajabu kila siku wanadakwa wakikimbilia kwa haohao wazungu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] kwani Saudi Arabia pamejaa??[emoji16][emoji16]
Hahahaha
 
We ndo umenena, Tatzo ni serkali zilizopo madarakan kushindwa kuwatendea haki na kuwalinda wanannchi wao, Nyumban ni bora lakini kufia nyumbani bora ujaribu kujitafutia msaada.
Sioni kama wakimbizi hawpapendi Africa. Kuna hali hazivumiliki hata Wazungu wanakimbia kwao pakinuka na kutafuta msaada mataifa jirani.
Ndio maana unaona wanakataa kuwepo kwa katiba imara. Kuna nchi mahakama inajitegemea hata ukiwa raisi unafungwa ili kulinda utawala wa kisheria. Kitendo cha kukosa uzalendo na kutofuata sheria athari zake ni kubwa. .
Huko nchi za magharibi ya Africa hata hao unaosikia Boko Haram wanafadhiliwa na watu wa serikali kwa maslai yao wenyew. Hujiulizi silaha wanatoa wapi? Zinaingiaje nnchini? Ndo utajua wanatengeneza vita ili wapige hela, hawana utu kabisa. .
 
Hebu tulieni makwenu huko.
Hata kama nchi ina machafuko huwa si nchi nzima ina machafuko, ama lah hamia nchi iliyo jirani na nchi yenu yenye uhusiano mzuri na nchi yako.

Kama bongo imechafuka basi twenzetu kenya, uganda, zimbabwe, malawi nk ila sio huko ulaya.

Kule Afrika kusini tu wazawa walikua wanatimua na kuua wageni sembuse huko ulaya kwa wazungu kabisa.

Unapoenda hizo nchi basi utapoka ajira za wazawa, utachafua mazingira maana huna pa kuishi, unaipa mzigo serikali yao iache kupambania mambo muhimu ikuangalie wewe mzamiaji.

Hebu fikiria tu hapa bongo ikajaa rece nyingine nyie wazawa si mtachafukwa nyongo, wachina tu walivyo wengi mnalalama, huko makazini wakiajiriana wahindi kwa wahindi lawama sasa ndo lije hilo kundi la zaidi ya watu 200 eti wakimbizi na wanaingia kinyemela tu, si ndo majambazi sasa hao.

Pole yao ila tujifunze sasa.
 
Kwanini wasingeshtakiwa kwa mujibu wa sheria? Mbona hapa Tanzania wahamiaji hawauawi?
 
Wahamiaji 37 waliuawa na wengine 150 wakijeruhiwa vibaya na vikosi vya polisi katika mpaka wa Morocco na Hispania.

Kulingana na shirika la kutetea haki za wakimbizi UNHCR linaeleza kuwa wakimbizi hao wengi wao wakitokea katika nchi za Chad, Niger, Sudan kusini wangetakiwa kuchukuliwa kama watafuta hifadhi kulingana na sheria za kimataifa.

Kinachoendelea huko kinaumiza sana na mbaya zaidi dunia inaonekana kutokujali, wala vyombo vyote vya habari havioni uvunjifu huu wa haki za binadamu. It's shameful kwa kweli.
#PrayforUKRAIN ndicho dunia inakijua.

======

Hapa tunaweza kutambua ni namna gani waafrika wanachukuliwa wakiwa wakimbizi huko ulaya kulinganishwa na wakimbizi kutokea UKRAIN.

View attachment 2276572View attachment 2276573

View attachment 2276575
Kwani Ulaya ni kwenu ninyi waafrika? Yaani mnakimbia home?
 
wengi ni wafuasi wa Mudy. Kutwa kucha kuwatukana wazungu , cha ajabu kila siku wanadakwa wakikimbilia kwa haohao wazungu 😁😁😁😁 kwani Saudi Arabia pamejaa??😁😁
Kuwa na adabu na heshima na imani za watu mkuu,usionyeshe watu kiwango ch ujinga ulicho nacho, why mtume Muhammad s.a.w umuite muddy? Unadhani huyo ni mtu tu kama watu wa kawaida?Halafu habari ulioisoma hakuna hata mahali imesema hao ni wafuasi wa muddy why ww unasema kisicho andikwa?Pia hizo nchi zilizo tajwa hapo sio za kiislamu kijiographia, Sudani kusini sio nchi ya kiislamu, Chad sio nchi ya kiislamu wala Niger sio nchi ya kiislamu, Punguza chuki na tuishi kwa kuvumiliana ,kila mtu aheshimu imani ya mwenzake.
 
Na ukitaka kujua akili za waafrika ni mbovu angalia hata ndani ya huu uzi.

Hapa kungekuwa ni picha za watu weupe au wanajeshi wa ukraine ungeona "rest in peace" na "walaze mahali pema peponi" kibao.

Cha ajabu ni Waafrika wenzao lakini hauoni chochote. kweli kabisa?

Waafrika wana nini vichwani mwao?
Tatizo wewe ni mwafrika unayejiona mzungu kama hao wenzetu, kwani ulaya kuna nini hadi mkimbilie, mnadhani wazungu ni watani zenu, au mmesahau ukoloni...
 
Kuna watu humu wamefundishwa chuki against Muslim na wazazi wao tangu wakiwa wadogo Nina uhakika
emoji817.png
na hata mafunzo ya kanisani pia
Wewe na hao wanaowasema waislam wote akili zenu ni sawa.

Ulishawahi kwenda kanisani ukakuta watoto wanafundishwa kuuchukia uislam??
Kama ulishawahi kuishi maeneo yenye wakristo wengi kama mbeya huko basi watoto wala hawajuagi kama kuna dini nyingine zaidi ya ukristo tu.

Sasa anapokua mkubwa akija kukutana na visa na mikasa na kujua hii dini ya pili ilhali ile ya kwanza imekaa vya basi huona hii dini ya pili (uislam) imepotoka, ndo hapo sasa kwa yule asiejielewa chuki, kebehi na maneno ya hovyo huanzia hapo.
 
Na ndio tatizo kubwa ambalo Mimi nimekuwa naliongelea kila siku yaani watu wasipokuwa na aKili hizi nchi za KiAfrica za kujua thamani ya mifumo Bora ya uongozi na maadili yake tutasubiri Sana , hizi nchi zinahitaji social revolution and system overhaul kabisa .
Wewe shukuru kwa kuwa unaishi kwenye nchi ambayo unaweza kuishi bila kuitegemea serikali, nchi tunayoishi bado ina rasilimali za ku support life.
All government world wide are the enermy of the people..
 
Back
Top Bottom