Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Haya mjuje kwa wingi tumsaidie ndugu yetu amejitahidi sana kuomba ban.

Tumripoti weeee mpaka apate zawadi.

Mi nimeshaanza. Wewe je unasubiri niniii.
 
UKWELI MCHUNGU...Mimi nimeoa MWAKA JANA...na NIMEZALISHA wanawake 3 tofauti NJE YA NDOA,,na Hao niliowazalisha nao WAMEOLEWA NA WANAUME wengine....lakini ni kama Nina WAKE 4 ,,sababu bado NAWATAFUNA wale MAMA WATOTO WANGU,,niliowazalisha ingawa wapo kwa WAUME ZAO......na MUDA WOWOTE nikiwataka NAWABOMOA.....single mothers NOMA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo wadada huwa wanachagua kubet. Mi huwa nawaambia hata dada zangu ambao bado hawajaolewa, wasijaribu kubet katika kuolewa. Mimba haimfanyi mwanaume akuoe. Usibebe mimba ya mtu hajakuoa, kitakachofuata ni majuto.
Wasichana wanajifariji kuitwa single mom, hakuna faraja yeyote kulea mtoto peke yako. Mtoto anastahili malezi ya wote wawili.
 
Trust me, kuna wadada wanasema condom zinawaumiza, and yet hatumii contraceptives. Wakati huo huo kahamishia makazi kwa mtoto wa kiume ambaye hajamuoa na pengine hana mpango huo. Ujue wanaume tunafkiria tofauti sana, yaweza kuwa ni tunachukulia kuwa ni regular sex tu lakini mdada ashawaza kuwa mke....hapo ndo tunapokataana. Besides, ni makosa kumuoa mtu sababu tu umezaa nae.
 
Subiri mapovu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…