Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata huyo mwenye mtoto mmoja anaweza akawa alitoa mimba pia, that's a very wack point, Foolish, stupid manKwa hiyo nimuache mwanamke mwenye mtoto 1 au 2 nimfate mwanamke alietoa mimba 7 ...bro umechemka hapoooo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli mchunguHaya mjuje kwa wingi tumsaidie ndugu yetu amejitahidi sana kuomba ban.
Tumripoti weeee mpaka apate zawadi.
Mi nimeshaanza. Wewe je unasubiri niniii.
Ukweli mchungu mpaka unaniripoti nipigwe ban,Nina account sita tofauti,pole sanaHaya mjuje kwa wingi tumsaidie ndugu yetu amejitahidi sana kuomba ban.
Tumripoti weeee mpaka apate zawadi.
Mi nimeshaanza. Wewe je unasubiri niniii.
Ok in summary ,single mother waendelee kudanga ndoa big no.
NB : I don't agree with him
Hapo wadada huwa wanachagua kubet. Mi huwa nawaambia hata dada zangu ambao bado hawajaolewa, wasijaribu kubet katika kuolewa. Mimba haimfanyi mwanaume akuoe. Usibebe mimba ya mtu hajakuoa, kitakachofuata ni majuto.Habari zenu.
Ni uzembe wa hali juu sana kuzaa kabla ya ndoa. Ni mwanamke ndiye unayeamua ushike mimba au usishike. Sisi wanaume huwa tunatandika tu.....sasa kama you don't take care about yourself....who else will? Halafu unamlaumu mwanaume kakutia mimba na hajakuowa.
Asikulaghai kwa maneno matamu yoyote yale eti beba mimba kabla hajakuowa. Usikubali. Na mwisho wa siku uamuzi unao wewe wa kubeba mimba au lah. Sasa mnakwama wapi? Be smart.
"Asiponioa ntalea mwenyewe!" Huo ni uzembe.....tunajua mna vipato vyenu....mna pesa zenu, mnayamudu maisha....mnaweza kulea watoto wenu. Nikuulize, hivi kuna raha gani kulea mtoto peke yako? Mnapojitosheleza kiuchumi na kijamii (kutokuwa single mother), machaguo yanaongezeka. Hamuoni? Basi someni. Baadaye mnasema kuolewa bahati. Kuolewa sio bahati. Kuolewa mna haki wala msiite bahati....we unadhani wanangu mi ntalea na nani? R.I.P Ngwea
Meraki
Umechokoza mzinga wa nyuki, ukiwa tumbo wazi.Wanakuja Mkuuu ingawa uziii wako unakakwer Mkuuu kakubwa sanaaa
Trust me, kuna wadada wanasema condom zinawaumiza, and yet hatumii contraceptives. Wakati huo huo kahamishia makazi kwa mtoto wa kiume ambaye hajamuoa na pengine hana mpango huo. Ujue wanaume tunafkiria tofauti sana, yaweza kuwa ni tunachukulia kuwa ni regular sex tu lakini mdada ashawaza kuwa mke....hapo ndo tunapokataana. Besides, ni makosa kumuoa mtu sababu tu umezaa nae.Kama singo moms wanapewa mimba na mbuzi ni halali kuwasema ila kumbuka ni wanaume haohao mashababi na malijali ndo walio simamia ukucha kwenye show mpka mimba zikaingia na kwanini alaumiwe mwanamke wakati kwenye mtombano walikua wote....mnasema oooh wanatabia chafu nyie je ndo kusema watakatifu sana??? Me nadhani ungehamasisha wanaume kutumia mipira wakati wa mechi kama mtu huna future nae well condom hamziwez na kudinyana peku mnapenda so ni jukumu Lenu mnaodinyana kuchukua tahadhari juu ya kunasa mimba....na lawama asibebe mwanamke pekeake as if alijifinger na kujijaza mimba mwenyewe ....wengi umu mnajitia oooh hatuoi single maza lkn kila cku ao masingo maza wanaolewa vzuri tu...everything happen for a reason...
Subiri mapovuUKWELI MCHUNGU...Mimi nimeoa MWAKA JANA...na NIMEZALISHA wanawake 3 tofauti NJE YA NDOA,,na Hao niliowazalisha nao WAMEOLEWA NA WANAUME wengine....lakini ni kama Nina WAKE 4 ,,sababu bado NAWATAFUNA wale MAMA WATOTO WANGU,,niliowazalisha ingawa wapo kwa WAUME ZAO......na MUDA WOWOTE nikiwataka NAWABOMOA.....single mothers NOMA
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo nae nasubir niletewe supu hapa Azania Annex, nioge, nisepe
Yaani uanze kupambana na mwanaume mwenzio kisa mwanamke aliyeamua kuyachanganya mwenyewe?Huyo jamaa anayemsumbua sumbua mkeo kumfyekelea mbali ulisubili nini wacga atangulie mbele za haki
Oi nsaidie number za cheche wa ambiance,nikamwage oil leoNipo nae nasubir niletewe supu hapa Azania Annex, nioge, nisepe