Ha ha Mkuu hapo ni kuweka sheria tu na kuwa na msimamo thabiti na kumwambia achague kunyoa au kusuka!!kuna jamaa yeye amepanga sheria kwa mkewe issue za mtoto wawasiliane wao wanaume kwani ni mtoto wake piaSipendi mawasiliano ya single mother na baba mtoto
Jirani vitoto vingine vinakera sana, utadhani kafungwa kamba hapoJirani umenivunja mbavu aiseeeh
Wakikua wataacha jirani yangu.Jirani vitoto vingine vinakera sana, utadhani kafungwa kamba hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla ya kumpenda single mother anza kujifunza kulipenda ua kwanza kabla ya boga,Nashangaa single maza wanavotaka tuwape kipaumbele watoto waliokataliwa na baba zao yaani wanaona watoto wao kama mtaji fulani wa kuutunza kumbe ni mzigo kwetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lipo wapi kwenye kumuoa,kaka?katika wanawake ambao hawana shida kusex nao ni single madha. ila kumuoa ndio tatizo
ni kweli ila kumlea mwanae asiweke ndio condition ya kuwa naye mimi nimempenda yeye sio mwanaye kama namlea mwanaye ni msaada tu kwani wanagpi wanarudisha watto kwa bibi zao ili waishi kwenye ndoa mpya?Huwez mtenganisha mama na mwanae..so ni Aidha uwe nae yeye na mwanae au achana nae kabisa
Mkuu embu fafanua vzr, nisije tafsiri vibayaTatizo mna date na mayatima.
Badala ya kuwa mpenzi unageuzwa kuwa mzazi.
Laki moja kwa mwezi mbona ndogo sana mkuu?Nakupa laki moja kwa mwezi unaiona ndogo unaamua kunipeleka ustawi wa jamii napangiwa kukupa 50k kwa mwezi unakasirika unachukia unasusa. Unakimbilia kusema umetelekezewa mtoto. Aseee
Sent using Jamii Forums mobile app
Laki moja kwa mwezi mbona ndogo sana mkuu?
Au na yeye ana chanzo cha kipato?
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah kauli yako hiyo,, isije kuwa gharimu wana wa wanaoTatizo mna date na mayatima.
Badala ya kuwa mpenzi unageuzwa kuwa mzazi.
Muhamishie marekani, hawatawasiliana kamwe!Sipendi mawasiliano ya single mother na baba mtoto
Wahuni wanataka mchebwedee hawataki kuwa wazazi wa kijana!Kabla ya kumpenda single mother anza kujifunza kulipenda ua kwanza kabla ya boga,
Hakika ukiwa na mapenzi na mwanae single mother atakupenda wewe zaidi kuliko hata huyo mwanae maana anakua na uhakika mtoto wake tayari ameshapata upendo wa baba.
Maendeleo hayana chama